LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Sasa walizitengeneza sababu gani? Acha zitumike tujue moja
 
Una akili sawa? Yaan NATO watangaze kupeleke vikosi afu wewe ucheke??
Ni binadamu Mwoga mwenye silaha hatari kwa dunia. NATO katangaza kulinda nchi washirika wake, hawajatangaza kuvamia Urusi. Mambo ya nuclear anayaleta ya nini?

Huku tunakoelekea kama tunafika huko basi bora internet izimwe dunia nzima hao wakuu wakutane hata mwezini huko waelewane wakirudi ndo wawashe.
 
Mkuu, una shida mahali.

Unashindwaje kuona maiti za watoto Kongo, Somalia, Sudani hata hapo Msumbiji tu, ukajengea hoja za Middle East?

Je, sisi weusi sio watu bali hao waarabu wenu na wazungu? Punguzeni Utumwa vichwa mwenu, mnakera sana.
Ndio nlichokua namaanisha hiyo middle east ni mfano tu .. tupo uelekeo mmoja anko
 
⚡️Ukrainian Presidential Office confirms negotiations near Pripyat River


Earlier the the leaders of Ukraine and Belarus agreed the meeting with the Russian delegation on the Pripyat River without preconditions.


The area is located right across the frontier between Belarus and Ukraine, and the waterway then runs down to Chernobyl in the south.


The Belarusian leader reportedly is making sure all aviation forces in the area are grounded.


RT
 
Kwa kifupi kashindwa mpaka saivi, ndio maana anataka kuhamia kwenye nuclear.

Dharau zina mponza[emoji3]
Wewe inaonekana taarifa unapata hapahapa JF. UK, SWEDEN, UHOLANZI, POLAND, UJERUMANI WAMESEMA WANATUMA MSAADA WA ASKARI KWA UKRAINE. PUTIN AMEWAAGIZA MAKAMANDA WAKE WAWE MGUU SAWA KWA NYUKLIA KUPAMBANA NA VITISHO HIVYO.
 
We kwa akili yako HIZO SILAHA NI KWA AJILI YA KUULIA MBUZI?? Tumia akili vizuri, yaan unapigana na unapangiwa SILAHA??
 
Wewe inaonekana taarifa unapata hapahapa JF. UK, SWEDEN, UHOLANZI, POLAND, UJERUMANI WAMESEMA WANATUMA MSAADA WA ASKARI KWA UKRAINE. PUTIN AMEWAAGIZA MAKAMANDA WAKE WAWE MGUU SAWA KWA NYUKLIA KUPAMBANA NA VITISHO HIVYO.
Hizo zote nazifahamu.. Niko well updated.

Ila ukweli utabaki pale pale jamaa atashindwa tena vibaya labda aache mapema
 
Africa yote kwa makubaliano gani tuliyofanya, uko pamoja na urusi na China ikiwa misaada ya ARV anatupatia USA kweli unamsaliti mtu huyu leo,🤔🤔
 
We kwa akili yako HIZO SILAHA NA KWA AJILI YA KUULIZA MBUZI?? Tumia akili vizuri, yaan unapigana na unapangiwa SILAHA??
Huyo kama una mahaba nae sawa kuwa nayo tu ila ninauhakika hata warusi hawapo tayari na vita vya nuclear.
NATO hawajaingiza majeshi kwenye operation yake, Ukrain hawana nuclear. NATO hawajasema wanakuvamia wala hawajazungumza lolote kuhusu matumizi ya silaha zao za Nuclear. Kwanini utishie usalama wa dunia na silaha hatari namna hiyo kwa binadamu? Akamalizie kilichompeleka Ukraine. Hata mambo ya mazungumzo aliyotangaza hayajaisha keshahamia kwenye nuclear? UPUMBAVU.
 
Watu wa ukumbi huu muda mrefu naona kimya sijaona thread ya mashambulizi ya russia dhidi ya Ukraine hapa, kama Russia ameamua kusimamisha vita kutoka na ugumu wa Kiev pia andikeni hapa tujue mana wako waliosema Russia ndio baba wa ulimwengu kwamba silaha anatengeneza mwenyewe na hakuna wa kumzia Putini, regarded leo ni siku ya 4 vita lakini bado Zelensky anatamba katika miji ya Kiev ikiwemo ile kauli yake ya maadui hawataona migongo yetu bali nyuso zetu.

Kuna tetesi Russia ana wakati mgumu sana kiev emu leteni hizi taariza hapa tuone, mana leo asubuhi nimesoma kwenye Televishen moja yanapita haya maneno "Pentagon denies Russia's calim that it's "highly likely" US used surveillance drones to help Ukranian Navy".

Natanguliza shukurani
 
China ni ndumilakuwili ila siyo rahisi kumtambua.

Kidume ni yule Kiduku wa North Korea.
IRAN, INDIA, CHINA na NORTH KOREA wako upande wa URUSI.
Hapa kuna kitu kama nakiona ila sina uhakika.
NAONA DUNIA INATAKA KURUDI MIKONONI MWA BARA LA ASIA. Kwa sababu kijografia URUSI iko bara la Asia.
Sijui ila nimehisi kitu far deep.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…