Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Tatizo mtu anakuita muongo wakati anaweza ku google na kujua ukweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa walizitengeneza sababu gani? Acha zitumike tujue mojaAcha ushabiki maandazi Kila mtu akiwekiwasha Nyuklia plants kama siraha hakuna mtu atasurvive chini ya jua nakuambia Soon Dunia itageuka mithili ya masimulizi ya Jehanum
Maana Kila mtu anazo Tena huyu Marekani mbaya sana Yale madude aliyopiga Hiroshima na Nagasaki ilikua surprise Kwa ulimwengu wa vita Sasa ukitaka Kila mbabe atoe hayo madude
Hata huu upupu na ushabiki unaotumia humu sidhani kama utapata nafasi Tena katika maisha Yako kupost Tena!
Vita mbaya muraaa!
Ni binadamu Mwoga mwenye silaha hatari kwa dunia. NATO katangaza kulinda nchi washirika wake, hawajatangaza kuvamia Urusi. Mambo ya nuclear anayaleta ya nini?Una akili sawa? Yaan NATO watangaze kupeleke vikosi afu wewe ucheke??
Ndio nlichokua namaanisha hiyo middle east ni mfano tu .. tupo uelekeo mmoja ankoMkuu, una shida mahali.
Unashindwaje kuona maiti za watoto Kongo, Somalia, Sudani hata hapo Msumbiji tu, ukajengea hoja za Middle East?
Je, sisi weusi sio watu bali hao waarabu wenu na wazungu? Punguzeni Utumwa vichwa mwenu, mnakera sana.
Iko hivo,,, na Ukraine ndio uwanja wa Vita, Mrusi akiona kazidiwa atakuwa Kama mbwa kichaa, atarusha makombora kila upande atakaona ni adui yake,,,Hii SASA ni WW3
Wewe inaonekana taarifa unapata hapahapa JF. UK, SWEDEN, UHOLANZI, POLAND, UJERUMANI WAMESEMA WANATUMA MSAADA WA ASKARI KWA UKRAINE. PUTIN AMEWAAGIZA MAKAMANDA WAKE WAWE MGUU SAWA KWA NYUKLIA KUPAMBANA NA VITISHO HIVYO.Kwa kifupi kashindwa mpaka saivi, ndio maana anataka kuhamia kwenye nuclear.
Dharau zina mponza[emoji3]
NomaBongo bana![]()
![]()
![]()
We kwa akili yako HIZO SILAHA NI KWA AJILI YA KUULIA MBUZI?? Tumia akili vizuri, yaan unapigana na unapangiwa SILAHA??Ni binadamu Mwoga mwenye silaha hatari kwa dunia. NATO katangaza kulinda nchi washirika wake. Mambo ya nuclear anayaleta ya nini?
Huku tunakoelekea kama tunafika huko basi bora internet izimwe dunia nzima hao wakuu wakutane hata mwezini huko waelewane wakirudi ndo wawashe.
====BREAKING: Putin amekiamuru kikosi cha Urussi kitengo cha "nuclear" kikae TAYARI. [emoji24][emoji24]View attachment 2133099
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Hizo zote nazifahamu.. Niko well updated.Wewe inaonekana taarifa unapata hapahapa JF. UK, SWEDEN, UHOLANZI, POLAND, UJERUMANI WAMESEMA WANATUMA MSAADA WA ASKARI KWA UKRAINE. PUTIN AMEWAAGIZA MAKAMANDA WAKE WAWE MGUU SAWA KWA NYUKLIA KUPAMBANA NA VITISHO HIVYO.
China ni ndumilakuwili ila siyo rahisi kumtambua.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] CHINA nae naona anajisogeza RUSIA
Africa yote kwa makubaliano gani tuliyofanya, uko pamoja na urusi na China ikiwa misaada ya ARV anatupatia USA kweli unamsaliti mtu huyu leo,🤔🤔Putin kawabana pumbu haswaaaa!!,marekani anatamani aingilie lkn anaogopa akitia mguu tu,China nae anam join Russia hapo Sasa mtanange utakuwa mtamu zaidi!! Ila mm naombea zipigwe huko ulaya Hadi wachakae. namkubali Putin ,Africa yote tuko pamoja na Putin ,na China.
Huyo kama una mahaba nae sawa kuwa nayo tu ila ninauhakika hata warusi hawapo tayari na vita vya nuclear.We kwa akili yako HIZO SILAHA NA KWA AJILI YA KUULIZA MBUZI?? Tumia akili vizuri, yaan unapigana na unapangiwa SILAHA??
IRAN, INDIA, CHINA na NORTH KOREA wako upande wa URUSI.China ni ndumilakuwili ila siyo rahisi kumtambua.
Kidume ni yule Kiduku wa North Korea.