LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Breaking news kakubali yale aliyokataa kukutana Belarus sasa anaenda.
 
Reactions: Tsh
Africa! wewe na nani![emoji16]

Aliewaambia Russia ni mwema kwa ngozi nyeusi ni nani?

Calc misaada mingi unayopata inatokea wapi..
 
Nchi yangu pendwa ipo hapo, maabara yao iko wapi nijitolee kuwasaidia kazi

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Nakurekebisha Ukraine wanazo nuclear

Russian troops strike a deal with Ukrainian soldiers to jointly maintain the safety of reactors at the Chernobyl nuclear power plant, according to Russian Defense Ministry.


Na kuna moja jana ilichukuliwa na Urusi kisha ikarudi tena kwa Ukraine
 
Reactions: Tsh
Asante mkuu. Ila hawajaonyesha nia ya kuzitumia pamoja na kuvamiwa.
 
IRAN, INDIA, CHINA na NORTH KOREA wako upande wa URUSI.
Hapa kuna kitu kama nakiona ila sina uhakika.
NAONA DUNIA INATAKA KURUDI MIKONONI MWA BARA LA ASIA. Kwa sababu kijografia URUSI iko bara la Asia.
Sijui ila nimehisi kitu far deep.
Haupo sawa Urusi upande moja ipo bara la Ulaya na upande mwingine ipo bara la Asia.
 
Sasa kwa mtu ambaye yuko weak na anipigwa hadi kachakaa,hiki kiburi cha kuchagua wapi mazungumzo yafanyikie anakitoa wapi?
 
IRAN, INDIA, CHINA na NORTH KOREA wako upande wa URUSI.
Hapa kuna kitu kama nakiona ila sina uhakika.
NAONA DUNIA INATAKA KURUDI MIKONONI MWA BARA LA ASIA. Kwa sababu kijografia URUSI iko bara la Asia.
Sijui ila nimehisi kitu far deep.
Russia uchumi umeshatikiswa.

Sasa atakuwa chini ya wahindi .

Putin hakutegemea kama hata Mjerumani angemgeuka.

Wajerumani wamesema gesi watanunua kwingineko duniani siyo Urusi tena hapo ndio Putin pichu imembana!
 
Africa! wewe na nani![emoji16]

Aliewaambia Russia ni mwema kwa ngozi nyeusi ni nani?

Calc misaada mingi unayopata inatokea wapi..
Kwa akili yako misaada inatokana na kodi za wazungu au makombo ya zile mali walizoiba
ili waibe zaidi?
Ukitaka kujua mchango wa russia militry ndio wanajua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…