LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Weka ushabiki pembeni. Kugoma maana yake ni kukataa. Sasa kama nimekuomba mazungumzo halafu ukanipa masharti na nikakataa sharti lako si ndo kugoma huko? Ukiwa na upande utapatwa hasira tu zisizo na maana na Russia yenyewe ikishashinda Eukrain wewe huku nyumbani hawakupi tuzo ya chawa bora.
Breaking news kakubali yale aliyokataa kukutana Belarus sasa anaenda.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Putin kawabana pumbu haswaaaa!!,marekani anatamani aingilie lkn anaogopa akitia mguu tu,China nae anam join Russia hapo Sasa mtanange utakuwa mtamu zaidi!! Ila mm naombea zipigwe huko ulaya Hadi wachakae. namkubali Putin ,Africa yote tuko pamoja na Putin ,na China.
Africa! wewe na nani![emoji16]

Aliewaambia Russia ni mwema kwa ngozi nyeusi ni nani?

Calc misaada mingi unayopata inatokea wapi..
 
View attachment 2132849
Angalia kama nchi yako ipo hapo kwenye hii Ramani.
Kisha uendelee kumshabikia Mmarekani aliyejenga vituo 25 vya maabara za silaha za kibaiolojia duniani kote kituo cha majaribio cha silaha hizo kikiwepo Georgia na Ukraine kwa sasa.....Katika nchi zilizokuwa wanawachama wa kisoviet kajenga vituo 11 vya maabara za silaha za kibaolojia target kubwa ni kuanza na Russia.
Marekani wanatengeneza magojnwa ya hatari kwa ajili ya kuangamiza binadamu kwa miradi inayogharimu mabilioni ya dola,lengo ni kuuwa watu na kuwa super power anayewapangia watu maisha,inawezekana Putin anataka kusambaratisha maabara hizo hapo Ukraine....maana inasemekana wanapandikiza magonjwa kwa mmbu na wadudu wengine kisha wanatumwa Russia.

Magonjwa kama Ebola,Zica,Corona,Mers, na mengine mengi yanatengenezwa kwenye maabara hizo kwa tafiti za mabilioni ya dola chini ya mpango wa Pentagon project uliochini ya jeshi la marekani DOD- department of diffence.
Nchi yangu pendwa ipo hapo, maabara yao iko wapi nijitolee kuwasaidia kazi

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Huyo kama una mahaba nae sawa kuwa nayo tu ila ninauhakika hata warusi hawapo tayari na vita vya nuclear.
NATO hawajaingiza majeshi kwenye operation yake, Ukrain hawana nuclear. NATO hawajasema wanakuvamia wala hawajazungumza lolote kuhusu matumizi ya silaha zao za Nuclear. Kwanini utishie usalama wa dunia na silaha hatari namna hiyo kwa binadamu?
Nakurekebisha Ukraine wanazo nuclear

Russian troops strike a deal with Ukrainian soldiers to jointly maintain the safety of reactors at the Chernobyl nuclear power plant, according to Russian Defense Ministry.


Na kuna moja jana ilichukuliwa na Urusi kisha ikarudi tena kwa Ukraine
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Silaha hata Id amini alipewa ila kwenye vita huuwezi kushinda kwa kutegemea silaha za msaada. Atapewa ma G3 tu basi ambayo hata walinzi wa guest hapa bongo wanazo
Baada ya kibano kutapa tapa kumeanza 😄😄😄😄😄.

Hii mikwara alianzaga Saddam Hussein 😬😬

Screenshot_20220227-170506.png


Screenshot_20220227-170343.png
 
Nakurekebisha Ukraine wanazo nuclear

Russian troops strike a deal with Ukrainian soldiers to jointly maintain the safety of reactors at the Chernobyl nuclear power plant, according to Russian Defense Ministry.


Na kuna moja jana ilichukuliwa na Urusi kisha ikarudi tena kwa Ukraine
Asante mkuu. Ila hawajaonyesha nia ya kuzitumia pamoja na kuvamiwa.
 
IRAN, INDIA, CHINA na NORTH KOREA wako upande wa URUSI.
Hapa kuna kitu kama nakiona ila sina uhakika.
NAONA DUNIA INATAKA KURUDI MIKONONI MWA BARA LA ASIA. Kwa sababu kijografia URUSI iko bara la Asia.
Sijui ila nimehisi kitu far deep.
Haupo sawa Urusi upande moja ipo bara la Ulaya na upande mwingine ipo bara la Asia.
 
Ukraine wanasema Belarus hawako neutral wameruhusu Russia kurusha mizinga toka kwao kwa hiyo wako tayari mji wowote iwe Turkey, Baku au hata Warsaw sababu Belarus imechaguliwa na Russia sio wao wala Belarus. Ndio sababu kuu katoa Rais wa Ukraine kama saa moja lililopita.
Sasa kwa mtu ambaye yuko weak na anipigwa hadi kachakaa,hiki kiburi cha kuchagua wapi mazungumzo yafanyikie anakitoa wapi?
 
IRAN, INDIA, CHINA na NORTH KOREA wako upande wa URUSI.
Hapa kuna kitu kama nakiona ila sina uhakika.
NAONA DUNIA INATAKA KURUDI MIKONONI MWA BARA LA ASIA. Kwa sababu kijografia URUSI iko bara la Asia.
Sijui ila nimehisi kitu far deep.
Russia uchumi umeshatikiswa.

Sasa atakuwa chini ya wahindi .

Putin hakutegemea kama hata Mjerumani angemgeuka.

Wajerumani wamesema gesi watanunua kwingineko duniani siyo Urusi tena hapo ndio Putin pichu imembana!
 
Africa! wewe na nani![emoji16]

Aliewaambia Russia ni mwema kwa ngozi nyeusi ni nani?

Calc misaada mingi unayopata inatokea wapi..
Kwa akili yako misaada inatokana na kodi za wazungu au makombo ya zile mali walizoiba
ili waibe zaidi?
Ukitaka kujua mchango wa russia militry ndio wanajua.
 
Back
Top Bottom