LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Uko sahihi sana tena sana tofauti na wambea wanaodhani kushabikia vita huku maisha ya watu wasio na hatia yakipotea ndo ujanja.
 
NATO imeshindwa kuutegua ila wewe umeweza😁😁
 
Niliposikia kwamba ^Makubaliano katika mazungumzo ni siri ya pande mbili,^ nikajua ngoma hiyo nzito, Wazaramo pekee ndio wanaoiwezea!
 
Huwezi kulazimisha muungano wa namna hiyo karne hii. Nchi nyingi zilizokuwa ndani ya USSR hazina mahusiano yoyote ya karibu na Urusi. Zingine zimeingia NATO, kujaribu kuzitoa humo ni Vita ya Dunia.
 
Marekani ya sasa hivi ni mbwa asie na meno!

Ulimwengu wa sasa hivi huwezi kumtishia mtu na vikwazo wakati nchi kibao tayari ni super kiuchumi!



Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Anayejazwa upepo ni mamluki mmoja tu mkubwa -- yule jamaa aliyesababisha Trump awe impeached.
 
Kwani kipindi USA na washirika wake wanavamia Libya,Iraq nk ulikuja na swali hili hili au sababu Urusi kafanya hivyo imeuma mkuu

Maana najaribu kusoma michango yako mkuu mingi ume take side Sana (Pro-America)
 
I'm not wishing for anything. The history is just happening right before your little glittering (yet blind) eyes!
Anayefikiria kuwa USSR itarejea kama ilivyokuwa, ni wishful thinking! Nchi kadhaa zilizokuwa ndani yake tayari ziko katika 'bloc' nyingine.
 
Wamarekani na warussia wa humu tukumbushane:

Zamani vita vilipiganwa kwa mawe na fimbo.
Vikaja vya mishale na mapanga na mabomu hafifu ya mawe na lami.
Vikaja vya bunduki na mabomu yenye nguvu kuharibu eneo kubwa.
Sasa hivi mataifa yana nyuklia. Pakitokea vita kubwa, vikimalizika vita vitakavyofuata ni vya mawe na fimbo.

Alisikika mtu mmoja maarufu aliyeona mbali sana.
 
Haahah USA na rafiki zake walivamia Libya ulikaa kimya, walivamia Sirya ulikaa kimya, walivamia Iraq ulikaa kimya, walivamia Afghanistan ulikaa kimya. Sasahivi hilo povu linatoka wapi?
Mkuu kitambo huwa nasoma michango ya huyu mwamba ni Pro-America mzuri Sasa wameanza kushuhudia wasicho kitaka povu linawatoka.
 
Mmeanza kulia Lia [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kwani kipindi USA na washirika wake wanavamia Libya,Iraq nk ulikuja na swali hili hili au sababu Urusi kafanya hivyo imeuma mkuu

Maana najaribu kusoma michango yako mkuu mingi ume take side Sana (Pro-America)
Wewe unaniona Pro-American? Kuna wakati niliwahi kuonekana humu kama Anti-US ama Pro-Russian. Mara nyingi nimekuwa nikiandika michango yangu humu kwa kile ambacho ninakiamini. Haijalishi kiko upande gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…