LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Russia inaonekaneka maji shingoni huko....muda huu atangaza vikosi maalum vinavyoshughulika na nuke kukaa tayar....hii ina maana gani?
Inaonyesha wazi Russia pamoja na jeshi kubwa na lenye nguvu kawashindwa ukraine 1 in 1(ngumi) sasa kaamua au kaweka kusudio la kukimbilia mawe(nuke)[emoji1][emoji1]
 
Hahaha.

Hili ni jibu la pili ambalo linaweza kuwa sahihi baada ya lile nililopewa la kwamba ni pride tu kama ilivyokuwa kwa Sadam alipopewa ofa ya kutoroka akasema atafia nchini.
Hakuna Mji wamefaulu kuchukua licha ya kujitapa,sasa wameanza mikwara ya Saddam eti nukes ya kupiga Dunia nzima,hiyo haipo ila anaweza haribu nchi kadhaa lakini na yeye atafutika kama Hitler na Russia kukamatwa na kuiweka chini ya wababe mazima.

Safi sana wanaume wa Ukraine πŸ‘‡







 
Kwa akili yako misaada inatokana na kodi za wazungu au makombo ya zile mali walizoiba
ili waibe zaidi?
Ukitaka kujua mchango wa russia militry ndio wanajua.
We kwa akili zako, kwanini msigomee hiyo misaada[emoji2955]

Mpaka unajua kabisa unaibiwa kwanini tunatumia misaada ya wizi
 
BREAKING: Putin amekiamuru kikosi cha Urussi kitengo cha "nuclear" kikae TAYARI. [emoji24][emoji24]View attachment 2133099

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Anapiga wanaume mikwara mbuzi

Kashachanganyikiwa huyo,alikua analeta dharau.
Alifikiri angekua kashamaliza kazi,ila mtiti ni mgumu
Yaani ukraine inamtoa jasho mpk ana panick kutishia nuclear,uwezo tulioambiwa ni mkubwa anao kumbe hana.
 
Huenda ikawa ni vitisho tu... Na tukumbuke Germany alishasema jamaa (Putin) kwasasa hatabiriki kabisa
Si wa kumpuuza huyu. Anaweza sema halafu mkadhani anatishia halafu akafanya kweli.
 
IRAN, INDIA, CHINA na NORTH KOREA wako upande wa URUSI.
Hapa kuna kitu kama nakiona ila sina uhakika.
NAONA DUNIA INATAKA KURUDI MIKONONI MWA BARA LA ASIA. Kwa sababu kijografia URUSI iko bara la Asia.
Sijui ila nimehisi kitu far deep.

Kuna mchangiaji na mdau mkubwa humu alinishambulia utafikiri US Chief of Staff
Nilipoandika mwanzo kabisa kuwa China ni rafiki mkubwa wa Russia
Aisee alirukia kama mwewe
 
Africa yote kwa makubaliano gani tuliyofanya, uko pamoja na urusi na China ikiwa misaada ya ARV anatupatia USA kweli unamsaliti mtu huyu leo,[emoji848][emoji848]
Umalaya wako unataka utulazimishe kuunga mkono mashoga? Asilete hizo ARV ukimwi uishe maana tutaogopa

Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
 
Anapiga wanaume mikwara mbuzi

Kashachanganyikiwa huyo,alikua analeta dharau.
Alifikiri angekua kashamaliza kazi,ila mtiti ni mgumu
Yaani ukraine inamtoa jasho mpk ana panick kutishia nuclear,uwezo tulioambiwa ni mkubwa anao kumbe hana.
Fikilia hiyo ni ukraine alafu ndo uje mtiti wa nato mamaee[emoji1787][emoji1787]
 
Jamaa kaonyesha udhaifu sana kuingiza mambo ya nuclear. Yeye amalizie kilichompeleka kama kazidiwa arudi Russia.
 
Huu ni uoga balaa!!

Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
 
Reactions: Tsh
We kwa akili zako, kwanini msigomee hiyo misaada[emoji2955]

Mpaka unajua kabisa unaibiwa kwanini tunatumia misaada ya wizi
Mimi ndio napokea misaada?
Wale wanaopekea misaada si ndio wanaofaidika au hujui nini.
Hata mimi nikiwa napokea 10% kweny nchi ya wajinga kama ninyi nawauza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…