Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wale Pro Ukrainians wako wapi mbona siwaoni tena sikuhizi[emoji23] humu, maana wa Ukraine wa Buza walikuwa viherehere sana
Wapo huku nauzi wao
 
Ukraine wamekiri kupokea spea na vifaa mbalimbali vya ndege kutoka kwa marekani na Washirika kadhaa wa NATO, ila sio NDEGE MPYA.

Habari Hii inakinzana na ile ya mapema Leo asubuh kutoka marekani PENTAGON kwamba ukriane wamepokea ndege mpya pamoja na shehena ya spea na vifaa mbalimbali vya ndege

Mamlaka za Ukraine zimekana taarifa hizo zikisema hazijapokea ndege yoyote mpya kutoka mshirika wake yoyote wa kivita.
 
Norway ametuma vifaa 100 vya kudungulia ndege nchini ukraine,

Akizungumza waziri wa ulinzi wa Sweden, Bjon gram amesema nchi Yake imejitolea msaada wa short range missile sysytem zilizotengenezwa Ufaransa kwa ajili ya Ukraine ambazo kwa Sasa hazitumiki Tena na Jeshi la Norway, ila bado ni za kisasa na zinaweza kuwafaa Ukraine kwa sasa
 
Tatizo mnafanya propaganda za Kitoto. Ndo maana huwa nawaangalia tu mnavyojiliwaza. Hatuwaambii Silaha mpya tulizo nazo tukiwafyatua ndo mtajua.

Mnataka tuwaambie silaha mpya tunazopokea ili mjihami. Kama hatuna silaha mpya, nini kimewakimbiza katikati ya Nchi na kukimbilia Mashariki Mpakani Mwa Urusi kwenye Mikoa ya Donbas na Mariupol?

Au ngoja nikudokeze. Marekani katoa Silaha ambazo hata Urusi haijawahi kuona wala hawajui waizue vipi. Inaitwa Switchblades drone.
 
Uzi kabaki nao mtoa mada peke ake[emoji23]
 
Mkuu,
Sio Mimi nmesema,
Iyo habari imetolewa na chombo Cha serikali kuu ya mji wa kyiv ndani ya serikali ya ukriane. "The kyiv independent" verified

Hiyo Ni HABARI YENU mkuu , usiikane.
SIO VIZUR kuvikashifu vyombo vyenu wenyewe eti vinaleta propaganda.

Au tuseme Basi navyo vimeshaasi na kua upande wa urusi[emoji4]
 
Kwa akili yenu mnajua Denis na Azov Wanajisalimisha? Wanatekwa au kuuawa? Mtasubiri sana na bado. Subiri hiyo last day. Baada ya siku tatu nitakuja kukuuliza last day haijafika. Denis ni Komando na ana mbinu nyingi tu
Mpaka Raisi wenu kichwa ngumu zelensky

Keshakubali wanajeshi wake na Raia wamezungukwa, na sahv anaomba waachiwe kwa ahadi ya kuwaachia mateka wa urusi (ombi ambalo urusi hawajaomba)

Wewe Ni Nani sasa mpaka umbishie Raisi wako comedian[emoji2]
 
Uzi kabaki nao mtoa mada peke ake[emoji23]
Kumbe nawe umeupitia ukaona ee? Sasa angalia Views za Wafuasi wa Urusi wanavyoupitia kimya kimya bila kukomenti wala kulike. Endelea kupata Update. Sihitaji like wala komenti ya mtu. Najitosheleza na ninajua kila kinachojiri iwe upande wa Urusi au Ukraine. Someni kimya kimya.
 
Mpaka Raisi wenu kichwa ngumu zelensky

Keshakubali wanajeshi wake na Raia wamezungukwa, na sahv anaomba waachiwe kwa ahadi ya kuwaachia mateka wa urusi (ombi ambalo urusi hawajaomba)

Wewe Ni Nani sasa mpaka umbishie Raisi wako comedian[emoji2]
Hujui chochote. Kama mumewazunguka si muwakamate? Mnashindwa nini? Ngoja niache thread yenu ili uendelee kuwashika watu masikio na kuwadanganya. Manake hamkawii kurusha matusi na mimi sina tabia hizo za kishenzi za kutukana mtu kisa kakushinda kwa hoja.
 
Leo umepost vifaru vingapi mkuu,

Maana naona Kichapo kimezidi,
mpaka umekosa kifaru Cha kupost ukahamia uku rasmi.

Karibu Sana mkuu,
Hata saa mbovu Kuna MDA inasema ukweli[emoji16]
 
Hutukanwi mtu Hapa,
Hapa unapewa fact juu ya fact,
Na uzur wa fact za Sasa, zinatoka kwenye vyombo vyenu pro-NATO nyie wenyewe,

Ukiamua navyo kuvilaumu vinaeneza propaganda feki, Hilo litakua tatizo lenu na sio letu tena[emoji16]
 
Atakuwa ameathiriwa na mahubiri ya nabii Titto

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
UNAAMBIWA NA NANI?
Nani amewaambia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…