LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Ukraine imetangaza kukubali mazungumzo na Russia nchini Belarus. Haya ya nakuja muda mfupi baada ya Putin kuamuru Vikosi vya Nuclear kujiweka TAYARI.

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Wewe hiyo geresha ya nukes kamtishie Mkeo wa Russia,awali Ukraine alikataa mazungumzo ya Minsk kwa sababu Belarus ametoa wanajeshi kuivamia akataka eneo huru na akapendekeza sehemu.

Hata hivyo Rais wa Belarus alimpigia simu Zelezinky na wakakubaliana wafanye mazungumzo kwenye Mji wa mpakani na hivyo wajumbe wa pande zote wameekea huko.
 
So this is where i pull if i saw a non Ukrainian creature in Ukraine?

Morale ipo juu.
 
Kuna mazungumzo yatafanyika kwenye mpaka wa Belarus na Ukraine hapo kesho, lakini mzee Putin anaandaa mamitambo ya nuclear ingawa amesema haimaanishi atayatumia.View attachment 2133114
Putin sio wa kumuamini alisema anapeleka wanajeshi wawili kwenye ile miji ikiwemo Donetski iliyojitangaza kutokuwa Ukraine. Akasema anaenda kutoa misaada ya kibinadamu.

Ila Cha kushangaza anazidi kuserereka kuelekea Kiev Sasa sijui na huko nako anenda kutoa misaada ya kibinadamu!!!!


Don't trust Putin ndio maana Raisi wa UKRAINE anagomea hata hicho kikao.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Putin ni mwoga, sasa kwani yeye peke yake ndiye ana nuclear? Alifanya hesabu za kitoto sana kuwavamia Ukraine [emoji1255]. Akirusha hata kombora moja la nuclear atabondwa na inaweza ikawa ndio mwisho wa "balance of power".
Hakuna anayeweza kumpiga usijidanganye hakuna mshindi wa Vita vya nuclear.
 
Kupitia huu mgogoro tutaona unafiki mwingi mno

British MP Jeremy Corbyn says the Israeli occupation of Palestine has left many Palestinians with functional mental health conditions and stress and the state of Palestine should unconditionally and immediately be recognized and supported.
 
Kikao amekubali kitafanyika kwenye mpaka na Belarus lakini upande wa Ukraine.
View attachment 2133129
 
VICHWA MAJI HUMU NI ASILIMIA 99%
Unashindwa kujua kuwa Russia Hatakiwi kutumia Full force, Wanajeshi haswa kwa sababu wakati wa vita unaweza kupata strong resistance kutoka kwa support anayopewa adui yako.

Pili kumbuka utazalisha maadui wapya, Nyumbani unakuachaje? Pia kwenye vita kuna vitu tunaita chambo, lazima utangulize watu wakusogeza Gurudumu kabla ya kutuma Strong one.

Hakupanga kuichakaza Ukraine kwa roho mbaya, Angeua watu wasio na hatia, Watu kutoka nchi mbalimbali wapo bado kule.

So Ukraine anatumia hiyo advantage ku promote kwamba amempiga M Russia in fact m Russia ni kama hajapigana tu

Wengi mliojaa humu kwa mfano mdogo tu, Mkienda sehemu za starehe mnatumia mpaka reserve kuwafurahisha marafiki na watu utakaokua nao siku hiyo, ukisahau kwamba kesho Familia itahitaji hizo pesa iweze kusonga.

The same Russia hajatumia Nguvu ya Vita Ya First Degree wakati Ukraine katumia First Degree na kachanganya na citizens na msaada juu.​

#BUNCH OF BOZOS
 
Kwani aliyemsambaratisha ujerumani during ww1 na 2 ni nani kama siyo usoviet chini ya Russia. Rejea historia yako vzr ujerumaji alitangaza kusarenda baada ya kichapo hevi kutoka usoviet
Ww1 urusi alipigwa na sehem yake kubwa ilichukuliwa, ukubwa wa eneo kama ufaransa, vita ya pili alikuwa anapigwa na german alikuwa ana advance sana ndani mpaka apo marekani alivyoingia ndo urusi nae akapata nguvu kwake
Msichoelewa ni kuwa vita ni uchumi, unaweza ukawa na best weapon ila kama huna uwezo wa mass production ni shida
Katika vita shughuli zote za kiuchumi husimama, hasa kama vita inapigwa kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…