The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Wewe hiyo geresha ya nukes kamtishie Mkeo wa Russia,awali Ukraine alikataa mazungumzo ya Minsk kwa sababu Belarus ametoa wanajeshi kuivamia akataka eneo huru na akapendekeza sehemu.Ukraine imetangaza kukubali mazungumzo na Russia nchini Belarus. Haya ya nakuja muda mfupi baada ya Putin kuamuru Vikosi vya Nuclear kujiweka TAYARI.
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Hata hivyo Rais wa Belarus alimpigia simu Zelezinky na wakakubaliana wafanye mazungumzo kwenye Mji wa mpakani na hivyo wajumbe wa pande zote wameekea huko.