Mseleleshaji
Member
- Jun 9, 2020
- 96
- 111
hahaa, wabongo sie? aya sawa wao ndo wanaongoza kwa nyuklia, mfano ndo wanapiga hizo nyuklia zao , ww mwenzangu unahisi utaishi kwa raha hapa duniani?Mkuu URUSI, CHINA, IRAN, INDIA, na N KOREA hao wanaongoza kwa NYUKLIA na wako upande mmoja.
Baada ya kuona hayo ameamua kukubali mazungumzo hapo kesho. Wakati wa mazungumzo hakuna ndege za kijeshi kuruka Wala mijongeo yoyote ya kijeshi.dogo kakaza jamaa anaandaa nuclear hahaaaa
Ngao ya Ukraine hizo, Russia akiwaua waanze kuripoti kuwa wanaua raia wasio na hatia.View attachment 2133116So this is where i pull if i saw a non Ukrainian creature in Ukraine?
Morale ipo juu.
Mjermani kipindi anapigwa, nan alikuwa anaongoza uchumi?Ww1 urusi alipigwa na sehem yake kubwa ilichukuliwa, ukubwa wa eneo kama ufaransa, vita ya pili alikuwa anapigwa na german alikuwa ana advance sana ndani mpaka apo marekani alivyoingia ndo urusi nae akapata nguvu kwake
Msichoelewa ni kuwa vita ni uchumi, unaweza ukawa na best weapon ila kama huna uwezo wa mass production ni shida
Katika vita shughuli zote za kiuchumi husimama, hasa kama vita inapigwa kwako
Naona Ukraine nduiu wanatoa update tu kuwa wamefanya madhara makubwa kwa Urusi
Vita ni vita Mura. Hivyo ni vita vya putin na raia wa Ukraine. Puttin anatakiwa asiwaangushe kwa hicho kisingizio.Ngao ya Ukraine hizo, Russia akiwaua waanze kuripoti kuwa wanaua raia wasio na hatia.
Hilo swali lako halina maana ila nakukumbusha tu kuwa URUSI ni transcontinental country spanning in Eastern Europe and Northern Asia na Makao makuu ya Urusi yapo Moscow,Ulaya.Unajua zamani URUSI alitambulika yuko ASIA??
Na hicho ndio Ukraine walikuwa wanakitafuta sana lakini Russia walikuwa smart wana jengo moja tu lilipgwa basi Media zote wanaonesha hilohilo utasema 9/11 Newyork.Ngao ya Ukraine hizo, Russia akiwaua waanze kuripoti kuwa wanaua raia wasio na hatia.
Utakuwa na tatizo la akili kama Putin.Una akili sawa? Yaan NATO watangaze kupeleke vikosi afu wewe ucheke??
Hawezi kukuelewa hapo Mkuu point yakoNi sahihi. Ila hizo milage anazipata vipi na kazidiwa anapigwa? Ilitakiwa muda huu awe amekubaliana na Puttin kuhusu usalama wake wa kisiasa sababu amezidiwa. Au hajazidiwa bado?
Nyie watu wa ajabu sana..Utakuwa na tatizo la akili kama Putin.
Yani unaona sawa hizo silaha kuanza kusogezwa bila kutazama consequences zake kwa mustakabali wa dunia yote. Taifa gani Ulaya na magaharibi hawana hizo silaha? Wakisema wote wazitoe patakalika?
Acha kuwa na mawazo ya kibinafsi kama ya Putin.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukraine wamehold vizuri hawataki tu kutoa credits. Au bado hawajaamini kilichotokea.Hawezi kukuelewa hapo Mkuu point yako
Acha kudanganya na kujidanganya. Rais Ukraine alikataa mazungumzo kufanyikia Belarus. Baada mkong'oto kuendelea amekubali. Na anaenda kwa terms za Russia. Na hapo utakuwa ni ushindi kwa Russia, NATO watakuwa wameshindwa rais atalazimishwa ku step down.Baada ya kuona hayo ameamua kukubali mazungumzo hapo kesho. Wakati wa mazungumzo hakuna ndege za kijeshi kuruka Wala mijongeo yoyote ya kijeshi.
Kwani Mimi nimezungumza Nini na wewe unazungumzia Nini? Mazungumzo yatafanyika kwenye mpaka na Belarus lakini upande wa Ukraine.Acha kudanganya na kujidanganya. Rais Ukraine alikataa mazungumzo kufanyikia Belarus. Baada mkong'oto kuendelea amekubali. Na anaenda kwa terms za Russia. Na hapo utakuwa ni ushindi kwa Russia, NATO watakuwa wameshindwa rais atalazimishwa ku step down.
ni hatari sana kuwa na kiongozi mchekeshaji. Yeye kila kitu anaona utani hata mambo siliasi
Hakuna Hizo maabara....Hizo Ni propaganda Za urusiWanatumia mabilioni ya dola kungamiza dunia,kwenye hiyo ramani na hapa Tz kuna moja wapo ya hizo maabara,ni hatari sana mara corona mchanje,mara ebola kumbe wenzenu wametulia wakijipongeza kwa kazi kama wallivyotarajia.