Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa unahasira na NATO kiasi kwamba unatype huku umekaza meno kwa hasira.Tulia unyolewe kwa wembe butu, si unasema Mara zote hawezi kufanya lolote. Alishasema NATO wasiingilie hiyo vita lakini hawaelewi, wanatoa kauli za vitisho na kuona kama Russia inatishika sasa kaamua kufanya kweli.
Siku Russia akiona usalama wake unawekwa rehani lazima atumie hayo madude hapo ndio tutachora upya ramani ya dunia na ulaya hatutaiona tena.
🤣🤣🤣🤣Mkuu babu Putin ana mbwembwe za kufa mtu ukisikiliza maneno yake wakati vita imeanza utadhani vita ingekuwa ya siku moja now mpaka muda huu kyeiv inamtoa jasho na Netherland Germany now wanawapelekea silaha Ukraine sasa Putin kama ana ubavu aguse hizo nchi. Huku benki mbli kubwa za china nazo zimeanza punguza biashara na Russia maana zinahofia US.
Wakomunisti huwa na mbwembwe sana ni waongo sana na mikwara miiiingi ndiyo maana hata Tz ina viongozi waongowaongo na wenye mikwara mikwara si unamkumbuka marehemu jiwe
Putin keshabanwa mbavu, wenzake hata habari ya nuclear hawana, yeye linakimbilia hiyo misilaha why? hii inanikumbusha ugomvi wa shule ya msingi unapigana na mwenzio mkono kwa mkono uvyoanza mzidi nguvu mwenzio unashangaa katoa wembe. ndicho Putin anachofanya sasa keshaona umoja wa NATO hauwezi iwe jua iwe mvua. Huu ukichaa wake unaenda icost dunia kiuchumi vibaya sana.Wewe inaonekana taarifa unapata hapahapa JF. UK, SWEDEN, UHOLANZI, POLAND, UJERUMANI WAMESEMA WANATUMA MSAADA WA ASKARI KWA UKRAINE. PUTIN AMEWAAGIZA MAKAMANDA WAKE WAWE MGUU SAWA KWA NYUKLIA KUPAMBANA NA VITISHO HIVYO.
Kwenye vita hatuchagulian silaha.Putin keshabanwa mbavu, wenzake hata habari ya nuclear hawana, yeye linakimbilia hiyo misilaha why? hii inanikumbusha ugomvi wa shule ya msingi unapigana na mwenzio mkono kwa mkono uvyoanza mzidi nguvu mwenzio unashangaa katoa wembe. ndicho Putin anachofanya sasa keshaona umoja wa NATO hauwezi iwe jua iwe mvua. Huu ukichaa wake unaenda icost dunia kiuchumi vibaya sana.
Niliweka uzi hapa nikasema ukiona mtu ana vitisho na mikrwa mingi, ujue uwezo wake wa kukabiliana na adui ni mdogo na anatoa vitisho kujihami tu.Ndio maana Nuklia haitakiwi kumilikiwa na vichaa, hayo ndio madhara yake..
USA kapigana vita nyingi miaka mingi hajawahi kuzungumzia nuklia kabisa, sasa huyu na kaukraine tu tayari anazungumzia Nuklia..
Tulia uone umuhimu wa kuheshimu makubaliano. Historia inatuambia vita ya kwanza na ya pili ya dunia chanzo chake ni kutumia ubabe kuminya maslahi ya ujerumani na kumuona kama fara sasa NATO Inarudia makosa Yale Yale ya kumuona Russia fara lakini ikumbukwe tu ikitokea vita Russia akalazimika kutumia hayo madude ulaya itaangamia yote.Mikwara yote kwisha! Kiburi kitapungua kama sio kwisha kabisa.
Sijui Elimu yako ikojePutin keshabanwa mbavu, wenzake hata habari ya nuclear hawana, yeye linakimbilia hiyo misilaha why? hii inanikumbusha ugomvi wa shule ya msingi unapigana na mwenzio mkono kwa mkono uvyoanza mzidi nguvu mwenzio unashangaa katoa wembe. ndicho Putin anachofanya sasa keshaona umoja wa NATO hauwezi iwe jua iwe mvua. Huu ukichaa wake unaenda icost dunia kiuchumi vibaya sana.
Nani wewe,Warussia au Puttin? Mkuu tuachene na mambo ya nukes kwani wewe hupendi kuendelea kusoma comment humu JF?Kwenye vita hatuchagulian silaha.
Putin kakukosea nin mkuu?Natamani kusikia habari kama hizi tu namchukia sana putini
Hapo umeshiba dagaa zako unahara tu... JF watoto ni wengi sana.Tulia unyolewe kwa wembe butu, si unasema Mara zote hawezi kufanya lolote. Alishasema NATO wasiingilie hiyo vita lakini hawaelewi, wanatoa kauli za vitisho na kuona kama Russia inatishika sasa kaamua kufanya kweli.
Siku Russia akiona usalama wake unawekwa rehani lazima atumie hayo madude hapo ndio tutachora upya ramani ya dunia na ulaya hatutaiona tena.
Putin kwa sasa ana tatizo la kiakili..Huenda ikawa ni vitisho tu... Na tukumbuke Germany alishasema jamaa (Putin) kwasasa hatabiriki kabisa
KwakweliMaana mbongo mpe mada, mengine atayajazia mwenyewe si umeona wanavyodanganyana kama wapo Moscow na Ukraine wanavyo shusha mawasiliano.
Atayatumia kuficha aibu ya kushindwa vita na si kwasababu nyingine yoyote ile.Tulia uone umuhimu wa kuheshimu makubaliano. Historia inatuambia vita ya kwanza na ya pili ya dunia chanzo chake ni kutumia ubabe kuminya maslahi ya ujerumani na kumuona kama fara sasa NATO Inarudia makosa Yale Yale ya kumuona Russia fara lakini ikumbukwe tu ikitokea vita Russia akalazimika kutumia hayo madude ulaya itaangamia yote.
Adhibitiwe kabla hajatuletea balaa.Putin kwa sasa ana tatizo la kiakili..