LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Kwa mfano Russia,USA akiingia wanapigwa asubuh kwa sababu si tuu hawapendi vita bali wanamchukia Putin ndio maana kila sehemu wanaandamana.

Pili makamanda wa Russia wakiona hakuna mafanikio mstari wa mbele lazima wamwambie Mzee tafuta ceace fire vinginevyo watamgeuka, watoto wao wafe Kisa kumfurahisha Putin?

Na vikwazo vikibana zaidi lazima wataomba poo.
Shida ipo hapa ni "ubinafsi wa Putin".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
a4e5382a-4298-4cd5-ab2e-cf6944859b02.jpg
 
Kusema ukweli Russia invasion kwa Ukraine italeta uhasama wa milele baina ya hizo nchi mbili. Pia imekuwa unpopular war kwa Russia, maana wenye nchi wameonesha hawataki Urusi aingie.
 
Ndio maana Nuklia haitakiwi kumilikiwa na vichaa, hayo ndio madhara yake..

USA kapigana vita nyingi miaka mingi hajawahi kuzungumzia nuklia kabisa, sasa huyu na kaukraine tu tayari anazungumzia Nuklia..
Ona sasa watoto wa miaka ya 2000+ mlivyo mbumbumbu.

Taifa la kwanza kutumia silaha za maangamizi ni Marekani kule Japan katika miji ya Hiroshima na Nagasaki.
 
Japo sijui kiundani sana

Russia alikuwa anataka miji ya crimea ,donestk, luhansk na donbass naona kashaipata kwanini anenda kiev?

Unaposema ukraine hajazidiwa unamaanisha nini wakati vita inapigwana kwake tena makao makuu ya nchi na tunaona wakiomba msaada na kutumia wanachi?
Tunataka kuing'oa serikali ya vibaraka
 
Niliacha kupigana muda mrefu sana. mpaka leo sipendi ugomvi wowote ule..

Hiyo ni baada ya kupigwa na mtu ambae nilifikiria naweza mpiga hata kwa mkono mmoja. Baada ya dakika tano nikashika mawe kama bwana Putin [emoji3]
kwA akili hizi ulikuwa lazima upigwe
 
Wapi location ya mazungumzo imetajwa. Hiyo ni suggestion ya Ukraine mzee. Na Alexander Lukashenko rais wa Belarus ndiye aliye mshauri dogo kuacha kiburi. Lukasheko na Putin wapo na umoja wao unaitwa Union State. Kitendo cha kukubali kwenda Belarus maana yake amenyosha mikono juu tayari kuhesabiwa. Mzee fuatilia mambo
Ninavyanzo vingi ila naona unatumia kimoja Soma hapa wanasema yatafanyika kwenye karibu na mto pripyat kasome ujue upo upande gani. Chanzo Cha taarifa Ni Moscow today app.

Attachment yapili Ni location ya pripyat river.
Screenshot_20220227-180333.jpg
Screenshot_20220227-180310.jpg
 
Warusi wako busy kwenye ATMs wanatoa hela, thamani ya ruble inashuka kila muda ukienda, volatility ni kubwa na hapa pressure ya nchi kuiondoa Russia kwenye SWIFT inaendelea. Benki kuu yao huwa ni wazoefu wa kufanya intervention na walijiandaa muda ila kuna muda ujanja unatumia gharama.

Hakuna namna Urusi itakwepa vikwazo eti "imevizoea". Vile vilikuwa vinawekwa na Uingereza na USA mara hii wanaoshinikiza ni majirani wa Urusi waoga wanaotaka kuiangusha. Hapa ndio shida kwa wanasiasa kina Lavron inakuja, wao walidai vikwazo tulijipanga navyo. Extent inayokuja sidhani kama walijipanga nayo. Jeshi lao limechelewa hivyo linazidi kuwaumiza. Kila projection waliyokuwa nayo walikosea. Should we say tha this is the beginning of the end?

Ningependelea Urusi iwepo imara. Hawa NATO watatutia vidole machoni wakiachwa wenyewe
Lakini vikwazo kama hivi viliwekwa dhidi ya Iran mpaka watu wakaanza kutabili kuanguka kwa utawala wa Ayatullah lakini mwaka wa tano huu Iran inadunda na takwimu za mwaka huu zina onesha uchumi wa Iran umeimalika kwa asilimia 4 licha ya kuwa yuko nje ya mfumo wakifedha wa dunia ,una dhani wanatumia mbinu gani?

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
Ona sasa watoto wa miaka ya 2000+ mlivyo mbumbumbu.

Taifa la kwanza kutumia silaha za maangamizi ni Marekani kule Japan katika miji ya Hiroshima na Nagasaki.

Unajua kwanini USA alirusha Atomik Japani?..

Rudi kasome historia halafu ufananishe na hili la Putin na Ukraine...

Kukusaidia: Kamsome Mjapana akiitwa, the giant of Pacific akiwa na miguvu zama hizo, kasome kisa cha Pearly harbour...utapata uelewa mzuri.. Mjapani enzi za red army na askari wake Kamikaze..
 
Tulia unyolewe kwa wembe butu, si unasema Mara zote hawezi kufanya lolote. Alishasema NATO wasiingilie hiyo vita lakini hawaelewi, wanatoa kauli za vitisho na kuona kama Russia inatishika sasa kaamua kufanya kweli.

Siku Russia akiona usalama wake unawekwa rehani lazima atumie hayo madude hapo ndio tutachora upya ramani ya dunia na ulaya hatutaiona tena.
empty head
 
Ndio maana Nuklia haitakiwi kumilikiwa na vichaa, hayo ndio madhara yake..

USA kapigana vita nyingi miaka mingi hajawahi kuzungumzia nuklia kabisa, sasa huyu na kaukraine tu tayari anazungumzia Nuklia..
... Wehu lile! Zama zake zimefika mwisho.
 
Back
Top Bottom