Peter Mabala
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 1,216
- 1,680
Shida ipo hapa ni "ubinafsi wa Putin".Kwa mfano Russia,USA akiingia wanapigwa asubuh kwa sababu si tuu hawapendi vita bali wanamchukia Putin ndio maana kila sehemu wanaandamana.
Pili makamanda wa Russia wakiona hakuna mafanikio mstari wa mbele lazima wamwambie Mzee tafuta ceace fire vinginevyo watamgeuka, watoto wao wafe Kisa kumfurahisha Putin?
Na vikwazo vikibana zaidi lazima wataomba poo.
Sent using Jamii Forums mobile app