LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Jamaa unahasira na NATO kiasi kwamba unatype huku umekaza meno kwa hasira.
 
🤣🤣🤣🤣
 
Wewe inaonekana taarifa unapata hapahapa JF. UK, SWEDEN, UHOLANZI, POLAND, UJERUMANI WAMESEMA WANATUMA MSAADA WA ASKARI KWA UKRAINE. PUTIN AMEWAAGIZA MAKAMANDA WAKE WAWE MGUU SAWA KWA NYUKLIA KUPAMBANA NA VITISHO HIVYO.
Putin keshabanwa mbavu, wenzake hata habari ya nuclear hawana, yeye linakimbilia hiyo misilaha why? hii inanikumbusha ugomvi wa shule ya msingi unapigana na mwenzio mkono kwa mkono uvyoanza mzidi nguvu mwenzio unashangaa katoa wembe. ndicho Putin anachofanya sasa keshaona umoja wa NATO hauwezi iwe jua iwe mvua. Huu ukichaa wake unaenda icost dunia kiuchumi vibaya sana.
 
Kwenye vita hatuchagulian silaha.
 
Reactions: Tsh
Ndio maana Nuklia haitakiwi kumilikiwa na vichaa, hayo ndio madhara yake..

USA kapigana vita nyingi miaka mingi hajawahi kuzungumzia nuklia kabisa, sasa huyu na kaukraine tu tayari anazungumzia Nuklia..
Niliweka uzi hapa nikasema ukiona mtu ana vitisho na mikrwa mingi, ujue uwezo wake wa kukabiliana na adui ni mdogo na anatoa vitisho kujihami tu.
 
Mikwara yote kwisha! Kiburi kitapungua kama sio kwisha kabisa.
Tulia uone umuhimu wa kuheshimu makubaliano. Historia inatuambia vita ya kwanza na ya pili ya dunia chanzo chake ni kutumia ubabe kuminya maslahi ya ujerumani na kumuona kama fara sasa NATO Inarudia makosa Yale Yale ya kumuona Russia fara lakini ikumbukwe tu ikitokea vita Russia akalazimika kutumia hayo madude ulaya itaangamia yote.
 
Sijui Elimu yako ikoje
 
Mnadanganywa tu, Putin na Biden wote Bosi wao mmoja kama vile Tundu Lisu na Samia wote bosi mmoja nao ni Banksters, mnachezewa akili tu mipango ya corona na walichotaka kukifikia imebumu sasa wanakuja na lingine.

Ulishasikia habari za corona tena ? Unafikiri ni kwa nini ?

Hakuna mjinga anayeweza kwenda vitani huku akijua hatoshinda, Urusi wana uwezo wa kugeuza Ulaya majivu lkn na Urusi nayo haitobakia kitu, sasa ni nani mjinga hivyo ? Acheni ushabiki maandazi.

Ndio maana inaitwa nuclear deterrent doctrine, hakuna nchi inayoweza kukuattack kama una nuclear weapons, Ukraine aliondoa zake ndo maana wamevamiwa.
 
Hapo umeshiba dagaa zako unahara tu... JF watoto ni wengi sana.
 
Atayatumia kuficha aibu ya kushindwa vita na si kwasababu nyingine yoyote ile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…