Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Anayeifundisha Tanzania kuvua ni US, Russia haina mchango wowote kukuendeleza.
Jeshi la Tanzania huwa linafanya mafunzo ya pamoja na majeshi ya USA na China.
Mbwa wa kukamata dawa za kulevya ili msiwe mateja wanafundishwa na USA.
US anatoa hadi misaada ya kutahiri magovi ili kupunguza maambukizi ya Ukimwi.
Mafunzo ya kupambana na majangili hutolewa na US na UK.
Scholarships nyingi zaidi nchi ni kutoka nchi za NATO.
 
Polish general accuses Boris Johnson of disclosing military secrets

UK Prime Minister Boris Johnson is “tempting evil” with his statements about the training of Ukrainian troops abroad amid the conflict with Russia, Polish General Waldemar Skrzypczak, who advises the defense minister, said on Friday.

During a visit to India earlier this week, Johnson told journalists that “we are currently training Ukrainians in Poland in the use of anti-aircraft defense, and actually in the UK in the use of armored vehicles.”
 
Nilichokiona wewe jamaa ni mjuaji tu ila kiuhalisia wala haujui kitu, unajudge kitu kwa picha ya nje bila kufanya reasoning ns critical thinking. Kwa akili yako wewe iwe marekani au china au ulaya anapokuja kukufundisha kuvua, au kufanya mazoezi na jeshi lako, kutahiri magovi au kuwaletea vyandarua au msaads wowote inakua ni bure ??
 
Puuz la dunia
 
Da safi sana hii.
Usichezee Red army bana.
 
Tupikie data zako tukuamini wewe mmarekani.
 
Hiyo sio sababu maana hata CNN ukiangalia makala yake nyingi huwa ina egemea upande wa parestina lakini ni chombo cha kimagharibi.
 
Shell loses about $ 5 billion due to the exit from the Russian market, writes the Financial Times.

The company is trying to return at least some of this money in negotiations to sell its 27.5% stake in the Sakhalin-2 oil and gas project, the newspaper writes. However, negotiations with potential buyers from China have become "nightmarish."

An FT source says the deal with Chinese companies is likely to come at a deep discount.
 
Ha ha haa,😂🤣
NATO kupigana na Urusi ni sawa nakujitoa mhanga TU,
EU kuiwekea vikwazo Urusi au kuitenga ni sawa na kujinyonga wenyewe TU.
Urusi kwao ni kama maji,usipoyaoga utayanywa TU.

Sasa Dunia imeelewa umuhimu wa Urusi.

Hata wakiiweza kwenye vikwazo vya kiuchumi na kuitenga kwa Kila kitu bado wataihitaji kwa usalama wa Dunia.
 
Wakati huo silaha wanazo tumia hao wanajeshi wako wanao pewa mafunzo na Marekani zime tengenezwa na Urusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…