LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Hayo mazungumzo hayatokua na tija kwa haraka lazima vikao viendelee next stage labda ndo itapatikana agreement mana kila mmoja ana temper atakuja na masharti kibao,ngumi ziendelee kwanza.
Cha msingi mkuu ni ku ceasefire kwanza raia wa Ukraine wanapitia shida Sana wakati huu uku nchi zilizo chochea raia wake wakipigana Vita ya maneno Twitter
 
Tulia uone umuhimu wa kuheshimu makubaliano. Historia inatuambia vita ya kwanza na ya pili ya dunia chanzo chake ni kutumia ubabe kuminya maslahi ya ujerumani na kumuona kama fara sasa NATO Inarudia makosa Yale Yale ya kumuona Russia fara lakini ikumbukwe tu ikitokea vita Russia akalazimika kutumia hayo madude ulaya itaangamia yote.
Nina nyuklia kwa nini nisiitumie? Eti inatengenezwa kwa ajili gani? Yatumike tu

Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
 
Vita ni mbaya sana jamani,uchumi wa nchi zetu unaenda kushuka mungu atutete mazungumzo ya Marais hao Yakomeshe vita misina furaha ,Nahurumia wanaume walioamriwa kujiunga na jeshi bila ridhaa Yao,watoto ,wazee na wanawake .Wakati huu ni wa kumwomba mungu atusaidie nawala sio kuegemea upande Fulani kwamba ni bora,tuwatie moyo,tuwaombee,vita hii naona itasambaa sana,Leo kwako hatujui kesho wapi.
Hakuna cha Mungu acha mabomu yalipuliwe sasa yalitengenezwa ya kazi gani wanasayansi wameumiza vichwa afu kazi yao isionekane
 
Mzee sote tunaona. Hakuna upinzani wowote. Na lengo la Putin limetimia. Na amewaonya hao NATO atakayesogeza pua ataanza naye.
Jamaa analeta Ushabiki maandazi watu wanashambulia mji mkuu alafu mtu anasema Kuna upinzani ,Mimi binafsi naona hii ni hatua muhimu Sana ku- ceasefire kwanza
 
Too irrelevant 😊😊😊😊
Unajua tofauti ya jeshi na wanajeshi? Ujuaji unatakiwa utangulizwe na ufahamu, bahati mbaya kuna watu wanatumia ujuaji mbele na ufahamu nyuma.

Mfano chuo na wanachuo ni vitu viwili tofauti. Wakati chuo kinapanga kujenga hostel, kununua shuttle, kudaili wanafunzi 15,000 kwenye mwaka mpya wa masomo. Wanachuo huwa wanaambiwa? Sasa hicho ni chuo na ikija jeshi ni maximum ya hapo
 
Na huo ndio Ukweli. Itakuwa chuki ya vizazi na vizazi. Putin amejijengea chuki kubwa sana kwa wazungu wenzake na pia amesababisha Russian walio nje kujihisi kuwa Isolated na kuonekana wa hovyo. Putin anakabiliwa na chuki nje ya mipaka ya nchi yake na inahamia kuchukiwa na wananchi wake. Hakika ANGUKO LA PUTIN LIKO KARIBU
Sawa mtabiri. USA pale syria na Libya kajenga marafikiaana alipeleka zawadi.
 
Mpaka Sasa sio Vita ya Russia vs Ukraine, bali ni Russia vs NATO,,, ndio maana katoa alert kwa vikosi vya nuclear vijiandae.
Ngoma tamu hii

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app

Nato wanaingiaje hapa wakati yeye anapigana ukraine na ukraine....Nachokiona ni Putin kupanic na hii Panic inaweza kuiingiza dunia kwenye shida
 
Hamna kitu kama hcho thus why sasa anashuhudia failure ya Kufa mtu
Yeye kaweka ant-nuclear sema pro NATO mna mhaho.

nuclear.png
 
Mkuu hiki kitu hakihitaji ushabiki maandazi watu wanakufaa na Vita sio kitu Cha kushabikia tumeyaona Libya,Syria,Somalia nk ifike muda tuone utu ni muhimu kuliko ushabiki wa Pro-America+NATO na pro-Russia

ni kweli, hata mimi siungi mkono vita, hapa ninacheka vile baunsa kakalishwa na kimbau mbau.
Putin ni warmonger wakati umemvua nguo yeye na jeshi lake wamapata aibu kuu zile porojo za kutajiwa majina ya silaha anazomiliki zitapungua hapa Jf. 😊😊
 
Upinzan anaokutana nao kule umemtisha.. hakutalajia kuwa ngoma itakuwa ngumu namna ile. wapiga vinubi wake wameshaanza tupa bendera chini na option nyingine sasa ni kutumia nuclear.
sijui hana washauri wazuri wa kumshauri cha kuongea kulingana na wakati aliopo!! just imagine linaongea wazi wazi kuwa linasogeza kidole kwenye nuclear 😂😂
F***k putin anataka kutuchafulia maji ya Ocean na minuclear,walai hatutavua samaki tena😬😬😬
 
Watu wa ukumbi huu muda mrefu naona kimya sijaona thread ya mashambulizi ya russia dhidi ya Ukraine hapa, kama Russia ameamua kusimamisha vita kutoka na ugumu wa Kiev pia andikeni hapa tujue mana wako waliosema Russia ndio baba wa ulimwengu kwamba silaha anatengeneza mwenyewe na hakuna wa kumzia Putini, regarded leo ni siku ya 4 vita lakini bado Zelensky anatamba katika miji ya Kiev ikiwemo ile kauli yake ya maadui hawataona migongo yetu bali nyuso zetu.

Kuna tetesi Russia ana wakati mgumu sana kiev emu leteni hizi taariza hapa tuone, mana leo asubuhi nimesoma kwenye Televishen moja yanapita haya maneno "Pentagon denies Russia's calim that it's "highly likely" US used surveillance drones to help Ukranian Navy".

Natanguliza shukurani
Mlianza kusema hata vamia akavamia sasa mmebadilisha maneno.
 
Yaani RT ambayo ni state media ya Urusi ibalance stories kuliko vyombo visivyo na maslahi na mgogoro? Ushabiki mwingine shida sana
Jaribu kufuatilia RT wako vizuri sana, ila kama Unafuatilia BBC, CNN na FOx pekee utalishwa habari ambazo wanapenda uzipate....pitia sasa kwenye mitandao ya Twitter, YouTube na Meta vinaonyeshwa vifaru na magari ya urusi tu yanavyoungua huonyeshwi hata kidogo shughuli ya Urusi yanavyochanja mbuga kuelekea makao makuu.
 
Back
Top Bottom