nankumene
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 7,355
- 8,149
hahahaa we jamaa utalipuliwa na antimatter uyeyukePut-in hana tofauti na ndugai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaa we jamaa utalipuliwa na antimatter uyeyukePut-in hana tofauti na ndugai
Teh teh mi naombea apoteze kabisa Jf itulie.Na huko Khakhiv kala kichapo hatari,Mji upo under Ukraine control
Vishaanza kuumanaguy, nato Kashinda kwenye hii vita bila hata kurusha risasi moja.
walichofanya nchi za Nato ni kutoa msaada kidogo tu wa silaha kwa Ukraine na kumwekea SANCTIONS za kutosha Urusi.
na SANCTIONS hazijaanza kunga'ta ipasavyo tumeona Kashaanza tishia Nuclear.
dingi alikurupuka na sasa kaumbuka kuwa ni Chai Jaba tu.
na bado sanctions zikianza ng'ata panapo Uma ya Libya yatajirudia ndani ya Urusi.
nipuuze ama ukubali komenti yangu ikumbuke wakati wa kutimia hii prophecy.
Ww mkenya una akili unazo zijua mwenyewe.Leo ni siku ya 4 hakuna Mji Mkubwa wowore wa Ukraine uliotekwa na Russia.
Afadhari waongee yaishe maana hii vita hata sisi tutaathirika pakubwa.
Yes yaan NATO walipanga hivyo vikwazo. Usiku huu naomba URUSI ashushe kichapo bila kujali jengo lolote yaan ashushe kipigo aache huruma kwa Raia wakati wamepewa Silaha.Cardless ilisemwa vikwazo vingekuwepo tu hawakuwa na namna na wamevizoea na watadeal navyo baada ya vita.
Kwa hiyo kwa kuwa NATO walileta machafuko sehemu mbalimbali maana yake na Rusia ni halali kwake kuleta machafuko sio ?Putin kakukosea nin mkuu?
EU, Nato, USA wameleta machafuko ktk nchi za watu kupelekea kuua mamilion ya watu wasio na hatia e.g
Libya
Iraq
Afghanstan
Syria
Yemen
????
Kwani Russia kapeleka robots Ukraine?Bado una ushabiki maandazi vita ipo katika ardhi ya ukrein hivyo muathirika mkubwa ni Ukrein sio Russia mbona USA +NATO na ubabe wao wote wameshindwa hata kutuma Askari hata mmoja kumsaidia ukrein hivi vitu bila objective ni ngumu kuona hata ukweli ulio wazi
Kama yupo serious wamfunge tu kamba wapeleke Mirembe ya huko!ni kweli but huyu mtu ana behave kiajabu, watu wa kremlin huko walijua ule mkusanyiko wa majeshi mpkn ni mikwara tu na vitisho ila jamaa akaamuru wavamie kila mtu bado haamini huko sasa wakati wanaendelea huku jamaa anawambia waandae nukes jamaa sasa wanahisi anything can happen
Utawaweza hawa Pro Putin wa kingorowilaNani wewe,Warussia au Puttin? Mkuu tuachene na mambo ya nukes kwani wewe hupendi kuendelea kusoma comment humu JF?
Anazungumza lakini huko. Wakiafikiana inabidi aondoke. Tegemea lolote.Yes yaan NATO walipanga hivyo vikwazo. Usiku huu naomba URUSI ashushe kichapo bila kujali jengo lolote yaan ashushe kipigo aache huruma kwa Raia wakati wamepewa Silaha.
Amka acha ndoto za mchanaAcha kudanganya na kujidanganya. Rais Ukraine alikataa mazungumzo kufanyikia Belarus. Baada mkong'oto kuendelea amekubali. Na anaenda kwa terms za Russia. Na hapo utakuwa ni ushindi kwa Russia, NATO watakuwa wameshindwa rais atalazimishwa ku step down.
Hahaha..hahahaa we jamaa utalipuliwa na antimatter uyeyuke
Wana hasira😀😀Utawaweza hawa Pro Putin wa kingorowila
Sasa huyu bibi sinaumpiga na kitako cha bunduki tu afu unamvutia kichakani unamla nyamaView attachment 2133116So this is where i pull if i saw a non Ukrainian creature in Ukraine?
Morale ipo juu.
Akiamua kutafuta ushindi kwa nyuklia, dunia itakuwa salama kama ambavyo unataka?Ili Dunia iwe salama ,Urusi inabidi ashinde hii vita , akishindwa madikteta wote mmekwisha , Demokarsia fake zote zitapigwa, Hawa NATO si watu wazuri, ni wazee wa kuvuruga,
Kwa hiyo kama walifanya hivyo ni zamu ya Urusi naye kuua watu? hivi akili huwa mnaziachaga wapi?Putin kakukosea nin mkuu?
EU, Nato, USA wameleta machafuko ktk nchi za watu kupelekea kuua mamilion ya watu wasio na hatia e.g
Libya
Iraq
Afghanstan
Syria
Yemen
????
mim namkubali sana haya ndio maamuz ya kiumeNatamani kusikia habari kama hizi tu namchukia sana putini