LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Kwa hiyo kama walifanya hivyo ni zamu ya Urusi naye kuua watu? hivi akili huwa mnaziachaga wapi?
Sijui katoa wapi utaratibu huo.

Kimsingi mrusi hana sababu yoyote ya msingi ya kumvamia ukraine.

Kama kuna ambae anaona ipo sababu ya maana aweke hapa tuichambue kwa kina bila ushabiki maandazi
 
Acha kudanganya na kujidanganya. Rais Ukraine alikataa mazungumzo kufanyikia Belarus. Baada mkong'oto kuendelea amekubali. Na anaenda kwa terms za Russia. Na hapo utakuwa ni ushindi kwa Russia, NATO watakuwa wameshindwa rais atalazimishwa ku step down.
Na wewe acha kudanganya wamekubali mazungumzo lakin sio belarusi.
 
Putin kakukosea nin mkuu?

EU, Nato, USA, Israel wameleta machafuko ktk nchi za watu kupelekea kuua mamilion ya watu wasio na hatia e.g

Libya
Iraq
Afghanstan
Syria
Yemen
Palestine

Ongezea
Kwahiyo hayo makosa ya mataifa mengine yana uhusiano gan na uvamizi ukraine ? Tusaidie kdg an african expert [emoji3]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] unachekesha kweli.

Aliyeomba mazungumzo ni Putin wala sio Ukraine.

Putin alipendekeza mazungumzo yafanyikie mji mkuu wa Belarus Minsk ila Ukraine wakakataa ikabidi yafanyikie mpaka wa Ukraine na Belarus upande wa Ukraine.

Hapo mshindi nani?
Lengo la Putin limetimia na huyo Ukraine ataenda kwa terms za putin.

Hivi unaichukulia poa Russia siyo!?
 
Lakini vikwazo kama hivi viliwekwa dhidi ya Iran mpaka watu wakaanza kutabili kuanguka kwa utawala wa Ayatullah lakini mwaka wa tano huu Iran inadunda na takwimu za mwaka huu zina onesha uchumi wa Iran umeimalika kwa asilimia 4 licha ya kuwa yuko nje ya mfumo wakifedha wa dunia ,una dhani wanatumia mbinu gani?

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Iran hakuna mtu ananufaika sana na mfumo wa uchumi uliojiunga na dunia. Iran haina oligarchies, haina bilionea wa wiziwizi waliobebwa na serikali hivyo haina watu powerful wa kuilaumu serikali yao. Ilivyowekewa vikwazo ni aina fulani za mabenki kwao ndio ziliondolewa 2012 ila zikarudishwa nyingi 2016 kama njia ya mazungumzo ya nyuklia.

Alafu wamezoea vikwazo hao tangu early 1970s hivyo kizazi cha sasa hakipati shida sana. Na mtazamo wao umekaa kidini, tunawekewa vikwazo kisa tunaipinga Israel na tunajilinda or something like that. Russia watasema tunawekewa vikwazo kwa sababu Putin ka....
Mawazo ya Putin sio ya Warusi. Mawazo ya Wairan yako kwenye damu wengi wao, sio serikali. Alivyouwawa Soleimani waliandamana kutaka serikali ilipize kisasi, ikafyatua makombora kuwaridhisha na US ilielewa haikufanya retaliation.

Hili suala gumu kwangu kueleza vizuri
 
Jaribu kufuatilia RT wako vizuri sana, ila kama Unafuatilia BBC, CNN na FOx pekee utalishwa habari ambazo wanapenda uzipate....pitia sasa kwenye mitandao ya Twitter, YouTube na Meta vinaonyeshwa vifaru na magari ya urusi tu yanavyoungua huonyeshwi hata kidogo shughuli ya Urusi yanavyochanja mbuga kuelekea makao makuu.
Vinachanja mbuga kuelekea makao makuu, vikifika vinafyekwa. Then over. Nadhani hao RT wao ni warusia Sasa unataka waoneshe wanavyokula kichapo? Russia jeshini hawajui wako Ukraine kufanya Nini, bado wanacheka na nyani wanauawa
 
Hakuna Mji wamefaulu kuchukua licha ya kujitapa,sasa wameanza mikwara ya Saddam eti nukes ya kupiga Dunia nzima,hiyo haipo ila anaweza haribu nchi kadhaa lakini na yeye atafutika kama Hitler na Russia kukamatwa na kuiweka chini ya wababe mazima.

Safi sana wanaume wa Ukraine 👇

View attachment 2133109

View attachment 2133110

View attachment 2133111

View attachment 2133112
Hii ni ambush ukiitizama hiyo video utawaona na wanajeshi wa Urusi wamefanikiwa kutoka na mwengine ameumia.

Licha ya hivyo huo.mji bado haujarudi mikononi mwa Ukraine. Nipo kwenye Account za kivita za pande 2(Ukraine na Russia). Hakuna taarifa iliyosema huo mji umerudi mikononi mwa Ukraine ila hiyo video ambayo taarifa yake ni hiyo!
Screenshot_20220227-190155.png
 
Matarajio au mkakati wa kwanza wa Putin ilikua kuigawa Ulaya na nchi za magharibi. Mpaka sasa matokeo yamekua kinyume. Ulaya na mataifa ya magharibi yameungana zaidi. Amebaki na Belarus huku China akitizama zaidi ya kushirik

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Putin kakukosea nin mkuu?

EU, Nato, USA, Israel wameleta machafuko ktk nchi za watu kupelekea kuua mamilion ya watu wasio na hatia e.g

Libya
Iraq
Afghanstan
Syria
Yemen
Palestine

Ongezea
Hiyo sio sabubu ya yeye kuzifanyia vulugu nchi zingine.Embu panga hoja kama great thinker
 
Nina nyuklia kwa nini nisiitumie? Eti inatengenezwa kwa ajili gani? Yatumike tu

Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
Ok. Kwa mfano Urusi akitumia Nyuklia na yeye akapigwa kwa Nyuklia then? What next. Je warusi wameridhia? Nyuklia sio maandazi, Nina uhakika jeshi la Russia watagoma kutumia Nyuklia. Kitakuwa na mgogoro wa ndani ya nchi ya Urusi hapo Ndio watapotea zaidi.
 
Ila wale walio vamia Iraq kwa kuwaaminisha watu kwamba Sadam Hussein ana biological weapons ndo wa kuwaamini?
ndani ya Iraq kulikuwa na migogoro , wavamiz waliungwa mkono na baadhi ya raia so hiyo scenerio haifanani na hii ya Ukraine
 
Back
Top Bottom