safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,837
- 17,412
Sijui katoa wapi utaratibu huo.Kwa hiyo kama walifanya hivyo ni zamu ya Urusi naye kuua watu? hivi akili huwa mnaziachaga wapi?
Kimsingi mrusi hana sababu yoyote ya msingi ya kumvamia ukraine.
Kama kuna ambae anaona ipo sababu ya maana aweke hapa tuichambue kwa kina bila ushabiki maandazi