LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Na huko Khakhiv kala kichapo hatari,Mji upo under Ukraine control
Teh teh mi naombea apoteze kabisa Jf itulie.
kuna memba Jf wamekariri link za silaha za Urusi hadi kero.
ukimbishia kidogo atakuletea link kibao za silaha za Urusi na kukutajia majina mengine majina diyo unayasikia toka tuzaliwe.
utasikia Urusi ana milki highpersonic sijui nini vile ilimradi akuvuge akili ili ashinde Argument 😂😂😂
 
guy, nato Kashinda kwenye hii vita bila hata kurusha risasi moja.
walichofanya nchi za Nato ni kutoa msaada kidogo tu wa silaha kwa Ukraine na kumwekea SANCTIONS za kutosha Urusi.
na SANCTIONS hazijaanza kunga'ta ipasavyo tumeona Kashaanza tishia Nuclear.
dingi alikurupuka na sasa kaumbuka kuwa ni Chai Jaba tu.
na bado sanctions zikianza ng'ata panapo Uma ya Libya yatajirudia ndani ya Urusi.

nipuuze ama ukubali komenti yangu ikumbuke wakati wa kutimia hii prophecy.
Vishaanza kuumana
Screenshot_20220227-182400.jpg
Screenshot_20220227-182453.jpg
 
Cardless ilisemwa vikwazo vingekuwepo tu hawakuwa na namna na wamevizoea na watadeal navyo baada ya vita.
Yes yaan NATO walipanga hivyo vikwazo. Usiku huu naomba URUSI ashushe kichapo bila kujali jengo lolote yaan ashushe kipigo aache huruma kwa Raia wakati wamepewa Silaha.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Putin kakukosea nin mkuu?

EU, Nato, USA wameleta machafuko ktk nchi za watu kupelekea kuua mamilion ya watu wasio na hatia e.g

Libya
Iraq
Afghanstan
Syria
Yemen
????
Kwa hiyo kwa kuwa NATO walileta machafuko sehemu mbalimbali maana yake na Rusia ni halali kwake kuleta machafuko sio ?

Watu wanaosema wanamchukia rusia wanamchukia kwa sababu ya hii ishu yake na ukraine tu na sio ishu yake ukilinganisha na mataifa mengine.

Sasa sijui mnakwama wapi wakuu
 
⚡️Telegram Chief warns channels in Russia & Ukraine may face a temporary ban during conflict

Pavel Durov explained that some channels are spreading "unverified information" - adding he doesn't want Telegram to be used as a tool of war or to incite hatred.
 
Bado una ushabiki maandazi vita ipo katika ardhi ya ukrein hivyo muathirika mkubwa ni Ukrein sio Russia mbona USA +NATO na ubabe wao wote wameshindwa hata kutuma Askari hata mmoja kumsaidia ukrein hivi vitu bila objective ni ngumu kuona hata ukweli ulio wazi
Kwani Russia kapeleka robots Ukraine?
 
ni kweli but huyu mtu ana behave kiajabu, watu wa kremlin huko walijua ule mkusanyiko wa majeshi mpkn ni mikwara tu na vitisho ila jamaa akaamuru wavamie kila mtu bado haamini huko sasa wakati wanaendelea huku jamaa anawambia waandae nukes jamaa sasa wanahisi anything can happen
Kama yupo serious wamfunge tu kamba wapeleke Mirembe ya huko!
 
Yes yaan NATO walipanga hivyo vikwazo. Usiku huu naomba URUSI ashushe kichapo bila kujali jengo lolote yaan ashushe kipigo aache huruma kwa Raia wakati wamepewa Silaha.
Anazungumza lakini huko. Wakiafikiana inabidi aondoke. Tegemea lolote.
 
Acha kudanganya na kujidanganya. Rais Ukraine alikataa mazungumzo kufanyikia Belarus. Baada mkong'oto kuendelea amekubali. Na anaenda kwa terms za Russia. Na hapo utakuwa ni ushindi kwa Russia, NATO watakuwa wameshindwa rais atalazimishwa ku step down.
Amka acha ndoto za mchana
 
Putin kakukosea nin mkuu?

EU, Nato, USA wameleta machafuko ktk nchi za watu kupelekea kuua mamilion ya watu wasio na hatia e.g

Libya
Iraq
Afghanstan
Syria
Yemen
????
Kwa hiyo kama walifanya hivyo ni zamu ya Urusi naye kuua watu? hivi akili huwa mnaziachaga wapi?
 
Back
Top Bottom