Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Unazingua, Marekani ametoka wapi hapa
Huyu kamanda ana majibu ya jeuri sana.Katika hali hiyo waliyonayo bado anamuita mrusi mvamizi halafu anasema wamekuwa katika mapigano kwa siku 65.Yaani kila siku anahesabu kuwa wanapigana na Urusi.Sasa ya nini kubembeleza kwa Papa Francis na sasa kwa Erdgogan kwamba asaidiwe kukimbia tena wawe salama. Kama raisi wake hajui diplomasia wakati wa matatizo.Shida nn si wameambiwa wajisalimishe? Na kwann wanaendelea kushikilia kina mama na watoto? Wapambane kiume wafe kiume waache kujificha nyuma ya kivuli cha raia…
Ujerumani eti wanasema watachukua gesi ya kutoka Sweden kutokea Poland. Kumbe Poland yenyewe iko hatarini kupigwa kombora kwenye hicho kituo chake cha kupokelea gesi.Na gesi yenyewe ni ya kunyemelea. Wenye gesi ya kuuza na kugawa wako mbali sana.Watumie akili zao vizuri na waheshimu ujirani mwema.Mkuu Samahani sio tishio hiyo ni serious ishu na Putin hatanii kuna mtu atakula kombora na hakuna watakachofanya tena Poland itakua ya kwanza kula kombora
Ndugu uwe unakaa chini angalau kufanya analysis kujua kwanini russia hawezi kufanya military move against nato member.Ujerumani eti wanasema watachukua gesi ya kutoka Sweden kutokea Poland. Kumbe Poland yenyewe iko hatarini kupigwa kombora kwenye hicho kituo chake cha kupokelea gesi.Na gesi yenyewe ni ya kunyemelea. Wenye gesi ya kuuza na kugawa wako mbali sana.Watumie akili zao vizuri na waheshimu ujirani mwema.
Kama yuko vitani na US/NATO na bado madeni analipa na nchini kwake hakuna kilichotetereka..Kumekucha, urussi imekunja mkia na kulipa madeni yake kwa dollar. Yajayo yanafurahisha
Russia looks to have averted a historic sovereign default on Friday by tapping its domestic reserves and attempting to make overdue dollar payments on its international debt obligations.
Earlier Friday, Russia's Finance Ministry said that it had attempted the dollar payments — a dramatic U-turn after the country had previously sought to make the payments on its dollar-denominated bonds in Russian rubles.
The ministry said it had made a payment of $564.8 million on a 2022 eurobond and a payment of $84.4 million on a 2042 eurobond, according to Reuters, with both in dollars — which was originally stipulated in the debt agreements.
Kuna tetesi kuwa katika askari waliozingirwa wapo “watu wazito sana” toka Ulaya na MarekaniHuyu kamanda ana majibu ya jeuri sana.Katika hali hiyo waliyonayo bado anamuita mrusi mvamizi halafu anasema wamekuwa katika mapigano kwa siku 65.Yaani kila siku anahesabu kuwa wanapigana na Urusi.Sasa ya nini kubembeleza kwa Papa Francis na sasa kwa Erdgogan kwamba asaidiwe kukimbia tena wawe salama. Kama raisi wake hajui diplomasia wakati wa matatizo.
......Sema tu makombora ambayo NATO na US kwa pamoja hawana na haijulikani watafanikiwa lini kutengeneza [emoji3][emoji3]Kumbuka pia Urusi alitumia makambora ya hypersonic ambayo ni tecknolojia latest kwa urusi.
Ujerumani eti wanasema watachukua gesi ya kutoka Sweden kutokea Poland. Kumbe Poland yenyewe iko hatarini kupigwa kombora kwenye hicho kituo chake cha kupokelea gesi.Na gesi yenyewe ni ya kunyemelea. Wenye gesi ya kuuza na kugawa wako mbali sana.Watumie akili zao vizuri na waheshimu ujirani mwema.
$642m sio pesa ya kujigamba kwa nchi ya inayouza mafuta, labda kwa nchi kama somalia tutaelewa.Kama yuko vitani na US/NATO na bado madeni analipa na nchini kwake hakuna kilichotetereka..
Je tuendelee kuamini kuwa Taifa la Russia litafirisika hivi karibuni?
Umeongea kwa uchungu sana.......Sema tu makombora ambayo NATO na US kwa pamoja hawana na haijulikani watafanikiwa lini kutengeneza [emoji3][emoji3]
Ukraine itapoteza zaidi na zaidi wakiendelea kukomaa kupigana kuliko kukaa mezani wayamalize.. Vita hii ikiendelea hivi hivi itakapokwisha Ukraine haitakuwa bandari bahari (sea port) yoyote manake miji yake yenye bandari itakuwa chini ya WarusiNchi inagawanyika hii
Energodar officially introduces payment in rubles — Energoatom
Also, according to the Ukrainian company, it is planned to launch the Sberbank of Russia in the city on the basis of the Ukrainian Oschadbank.
There are already shops in Energodar, Zaporozhye region, where you can buy products brought from the Crimea, Belarus and Russia for rubles.
There are a large number of buyers.
From May 1, they also plan to introduce rubles in Melitopol.
Kama ungejua hiyo pesa ni ndogo kwa Urusi, usingehangaika kuileta habari yake hapa ungeipotezea tu.$642m sio pesa ya kujigamba kwa nchi ya inayouza mafuta, labda kwa nchi kama somalia tutaelewa.
Wamejiunga 30 members dhidi ya nani!!??Ndugu uwe unakaa chini angalau kufanya analysis kujua kwanini russia hawezi kufanya military move against nato member.