Kuna mwanamke na mwanaume mengine yote ni Ujanja ujanja wa baadhi ya binadamu kuhalalisha upumbavu. HAYO MAMBO YA ANA HORMON ZA KIKE ILA NI MWANAUME NI UJANJA WA KUHALALISHA USHETANI.Ingawa uzi hauna mahusiano na hii issue, Ngoja nikujuze kwa kifupi tu. Kuna hii kitu Gender na Sex. Hizi term mbili n very complicated na majibu yake kila mtu ana yake yategemea na kile nilichokuuliza kua nini kinakutambulisha kua jinsia ni mbili.....
Jana. Na amepelekwa Moscow. Huyo ni resource muhimu mno. Bado wamo wawili. Mmoja wa USAKuna kamanda wa canad nasikia kakamatwa pale avoz stal
Polish anatafuta kila namna aingie vitaniView attachment 2209039
[emoji298]️ The Polish army is ready to send troops to Western Ukraine[emoji780]
At the disposal of the Main Intelligence Directorate of Ukraine was a document with an order from the General Commander of the Polish Armed Forces, General Jaroslaw Mikax, to inform the entire staff of the readiness to take control of the strategic facilities of two regions - Lviv and Volyn.
The authenticity of the document has not been confirmed.
Unajua huko Ukraine kuna mambo makuu matatu.Polish anatafuta kila namna aingie vitani
Ukraine wana morale ya kazi na nchi yaoNano anaendesha hivyo vifaru. Silaha ukiziangalia in kana kwamba watumiaji ambao no jeshi LA Ukraine linaongezeka badala ya kupungua.
Inamaanisha Poland ataimega Ukraine acha tuone maana ni kama ana support ya NATO kwenye hiliUnajua huko Ukraine kuna mambo makuu matatu.
1. Ni issue ya Ukraine kujiunga NATO hii imesababishwa na mambo mawili.
2. Upande wa Black Sea imegundulika reserve kubwa sana ya mafuta na gas. Na vikevile maeneo ya east of Ukraine Poltava kuna reserve kubwa sana ya Oil.
Upande wa Magharibi mkoa uliokaribu na Lviv nao upo na Reserve kubwa ya mafuta na gas. Sasa Poland ameona kwakuwa upande wa Mashariki anauchukua Urusi yeye anataka kuchukua magharibi na anauhakika ataweza kuanza kuchima mafuta na gas. Na hiyo itamtosheleza kwa matumizi yake. Sasa hii kete inategemea na mpango wa Urusi.
Hatua ya kwanza Urusi alihakiksha anaichukua Crimea na kuwa na uhakika wa black sea yenye reserve kubwa ya mafuta na gas. Hatua ya pili ni kuchukua eneo la mashariki ambalo pia lipo na reserve ya mafuta na gas. Hii itamhakikishia kuwa ulaya inaendelea kuwa tegemezi wa Urusi.
Mistake waliyoifanya wa magharibi ni kushindwa kula na Urusi walitaka wamwingize Ukraine NATO ili wale wao tu na waachane na Mrusi. Bahati mbaya sasa mrusi kaamua kula pekee yake.
3. Unyanyaswaji wa warusi ndani ya ukraine. Hiyo ni sababu nyingine.
LAKINI: Poland kuingia Ukraine, ataingia tu na atapata support kutoka NATO. Lengo lake ni upande wa magharibi. Ndio maana kaamua kukacha malipo ya Ruble ana buy time ili yeye awe mmoja wa wachimba mafuta ndani ya Ukraine.
NGOJA TUONE NGOMA ITAKUWAJE.
Issue ni mafuta na gas. Hakuna kingine. Ukraine walitakiwa kuwa nutral na wangekuka mema ya nchi kilaini. Sasa kihere here chao ndicho kimewaponza. Ukraine itabaki landlocked.Inamaanisha Poland ataimega Ukraine acha tuone maana ni kama ana support ya NATO kwenye hili
Umeandika utoto sana. UPUPU.Unajua huko Ukraine kuna mambo makuu matatu.
1. Ni issue ya Ukraine kujiunga NATO hii imesababishwa na mambo mawili.
2. Upande wa Black Sea imegundulika reserve kubwa sana ya mafuta na gas. Na vikevile maeneo ya east of Ukraine Poltava kuna reserve kubwa sana ya Oil.
Upande wa Magharibi mkoa uliokaribu na Lviv nao upo na Reserve kubwa ya mafuta na gas. Sasa Poland ameona kwakuwa upande wa Mashariki anauchukua Urusi yeye anataka kuchukua magharibi na anauhakika ataweza kuanza kuchima mafuta na gas. Na hiyo itamtosheleza kwa matumizi yake. Sasa hii kete inategemea na mpango wa Urusi.
Hatua ya kwanza Urusi alihakiksha anaichukua Crimea na kuwa na uhakika wa black sea yenye reserve kubwa ya mafuta na gas. Hatua ya pili ni kuchukua eneo la mashariki ambalo pia lipo na reserve ya mafuta na gas. Hii itamhakikishia kuwa ulaya inaendelea kuwa tegemezi wa Urusi.
Mistake waliyoifanya wa magharibi ni kushindwa kula na Urusi walitaka wamwingize Ukraine NATO ili wale wao tu na waachane na Mrusi. Bahati mbaya sasa mrusi kaamua kula pekee yake.
3. Unyanyaswaji wa warusi ndani ya ukraine. Hiyo ni sababu nyingine.
LAKINI: Poland kuingia Ukraine, ataingia tu na atapata support kutoka NATO. Lengo lake ni upande wa magharibi. Ndio maana kaamua kukacha malipo ya Ruble ana buy time ili yeye awe mmoja wa wachimba mafuta ndani ya Ukraine.
NGOJA TUONE NGOMA ITAKUWAJE.
Poa poa mwana. Isiwe issue.Umeandika utoto sana. UPUPU.
Halafu ninaandika na ushahidi ninao kabisa. Ushahidi huu hapa:-Umeandika utoto sana. UPUPU.
[emoji1250] Turkish drone manufacturer Bayraktar suffers substantial reputational losses due to Ukraine conflict; its prospects for new contracts are rather uncertain.
[emoji23][emoji23][emoji23]