Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Je, EU na US watabariki kwa mikono miwili hii annexation wanayotaka kufanya Polish...? Au wataiwekea vikwazo Poland..?
 
Mnao jua siasa jamani nataka
Mnieleweshe kuhusiana Na hii vita ya urusi Na Ukraine
Maana Na sikia leo hii urusi anataka kuanza kutumia nuclia Sasa ndo Na jiuliza hivi akitumia nuclia si dunia mzima tutakufa Kweli au
Kama Kweli wachawi jamani fanyeni yenu kwa Huyu Jamaa putin angalau tukasongee kidogo miaka mingine 100 mbeleni uko
 
Je, kitendo cha Ukraine kuwanyanyada na kuwauwa warusi waliondani ya mchi hiyo ni sawa!?
Katika vita kuna kuuwana, hayo ya kunyanyada kama ulimaanisha kufanya vitendo vya kuingilia kimwili basi ni uchafu usiopendeza.
 
Koroo
 
Katika vita kuna kuuwana, hayo ya kunyanyada kama ulimaanisha kufanya vitendo vya kuingilia kimwili basi ni uchafu usiopendeza.

Je, kitendo cha Ukraine kuwanyanyasa na kuwauwa warusi waliondani ya nchi hiyo ni sawa!?

Halafu issue ya ushoga lazima tuizungumze maana ndio inayohusika 100%. Ukraine iligeuzwa dangulo la dunia. Kila aina ya ushetani ilifanywa.
Ukraine ilikuwa kama sodoma na gomola.

Tunaishukuru urusi kwa kuamua kukomesha ushetani huu.

Ushetani ulikuwa unaelekea kusambaa duniani kote huku ngome ikiwa Ukraine.
 
Usodoma na Ugomora wa raia wa Ukraine umeupima kwa kipimo kipi?

Objective ya Urusi ilikuwa ni kufuta ushoga Ukraine?

Sioni umuhimu wa mm na wewe kujadili kiwango cha ufuska unaofanyika ndani ya Ukraine.
 
Issue ni mafuta na gas. Hakuna kingine. Ukraine walitakiwa kuwa nutral na wangekuka mema ya nchi kilaini. Sasa kihere here chao ndicho kimewaponza. Ukraine itabaki landlocked.
Ila sizani kama hiyo ndio sababu...

Reserve iliyogunduliwa hapo Ukraine ni kiduchu mno, not worth a fight kabisa. Sawa na kumwambia mtu mwenye Million aingie kwenye pambano kupigania 500Tsh... Hai make sense kabisa.

2016 ka sikosei ilitangazwa proven reserve ya about 395Mil Barrel, ikishika nafasi ya 51 duniani ukilinganisha na Russia mwenye 80Billion Barrel akishika nafasi ya 8 duniani... ila kwa rate yake ya matumizi kwa siku huyu Ukraine hiyo Oil haina maisha marefu... Less than 5 years to come...

Ukraine sio kwamba hazalishi mafuta, anazalisha tena ana rank 61st duniani (2016 Data) ka kumbu kumbu zangu ziko sawa... Ila anachozalisha ni kidogo mno hivo ana rely kwenye imports kukidhi mahitaji yake. Sawa na China ama US tu, China na US wanazalisha mafuta, ila wanayozalisha hayakidhi mahitaji yao so Importation inawahusu...

Walio na highest reserve ambao tunaweza sema wako worth a fight ni nchi kama hizi
1. Venezuela 299Billion Barrel
2. Saudi Arabia 260Billion Barrel
3. Canada 170B Barrel
4. Iran 157B
5. Iraqi 143B
6. Kuwait 101B
7. UAE 97B kisha Russia nafasi ya 8 akiwa na hizo 80B...

Katika hao 7 juu wana constitutes almost over 74% of proven Oil reserve duniani, ila kinachofurahisha katika hao 7 wa juu tuseme 8 tu Russia akiwemo...

Wa4 wako na mahusiano mabovu na US, yani ni Maadui kwa Mmarekani, Na hao wa4 wamesheheni bakuli la vikwazo toka US. Eti na hii haitoshi kumwelezea US ni wa namna gani unless mtu awe na akili na fikra za kuazima...

Ajab zaidi na hao walio marafiki zake katika hao Top 8 basi wanazalisha kiwango kidogo ukilinganisha na US ijapokuwa wao wana reserve kubwa kuliko yeye... [emoji23][emoji23][emoji23]

Hapa tuweze kutofautisha kati ya ukubwa wa Reserve, na ukubwa wa Uzalishaji, kisha ukubwa wa Consumption ndipo tutapata kujua nani ananufaika na hiyo Oil...

Zaidi pia list ya Oil Reserve iko tofauti na ya Natural Gas kwasabab n products mbili tofauti.
 
[emoji23] Hiyo kumegwa itamegwa tu, na niliona wanazuia Raia kupiga picha shughul zao za kijeshi maeneo hayo... Annexation inaeza fanyika ni swala la mda tu.

Ingawa kwasabab ya Oil inanipa kigugumizi kukubali, bt as far as I know ni kua Polish wanahitaji kurudisha mipaka ya zaman kwa kuitwaa Western Ukraine...
 
Russian military personnel provided medical assistance and delivered more than 40 tons of chemical cargo to residents of the Kharkov region.

Military doctors arrived in the region for the first time: they held appointments and gave civilians the necessary medicines. Local hospitals also received medicines.
 
Jaman tuongeze akili tunavyoanzisha mada hapa jukwaani. Sasa hapa watu wachangie nn
Kikubwa ni sisi kuongeza akili za kuelewa. Mleta mada amekuwa akielezea hali ya vita kwa upande wa Urusi na vile raia wa kawaida hawaungi mkono vita, na pia vita imeleta hali ngumu kwa raia. Baadhi ya watu walipinga wakisema ni muongo, na kwamba taarifa zake ni za kusikia.
Lengo la huo uzi ni kutoa ujumbe kuwa yupo eneo la tukio (Urusi ) na hivyo anaelewa vizuri kile anachokieza kuhusu Urusi katika hivi vita
 
The Investigative Committee opened criminal cases against 75 mercenaries who are participating in hostilities on the side of Ukraine, said the head of the Investigative Committee Alexander Bastrykin in an interview with RT.

According to investigators, they came from the UK, USA, Norway, Canada, Georgia and other countries.

 
If the EU imposes an embargo on Russian oil from 2023, Slovakia will demand an exception for itself.

This was stated by the head of the Ministry of Economy of the country, Richard Sulik. Getting oil from Russia is vital for the Slovak economy, he said.

Earlier, Hungary announced that the country would veto any EU initiative to limit the import of Russian energy resources.
 
Lakini pamoja na hayo ramani hii inanofikirisha sana.
 
Ukrainian refugees are preparing lawsuits against the head of the UK Interior Ministry due to bureaucratic delays in obtaining visas.

Collective statements on their behalf are going to be filed by British public organizations, reports The Guardian.

According to public figures, often refugee families cannot go to the kingdom because the child is not given a visa due to one or another bureaucratic problem.

However, refugees cannot check the status of their applications themselves and often do not receive notification that their documents are ready.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…