Urusi ilianguka yenyewe, na itaanguka tena. Hawa hapa walioinagusha urusi siyo watu wa West:Hakuna kitu kama hicho....hiyo ni Western perspectives...We know why USSR collapsed...The aim of the West and particularly USA has always been to make sure unipolar world where USA is the dominant force is the order of the day...In destroying USSR the West thought mission accomplished....But Russia is back and the West would like this great country to collapse...But in today's Russia there are diehard Patriots who are against Western values and they have prepared for almost 20 years to confront the West hence the present crisis...
Kiukweli West Sasa wanalo...Wameshikwa pabaya kwa lugha ya kihuni...
Mzee unatuchosha na hekaya na malalamiko yako tuletee update kinachoendelea Ukraine.Urusi ilianguka yenyewe, na itaanguka tena. Hawa hapa walioinagusha urusi siyo watu wa West:
View attachment 2210197
Urusi hawawezi kuishika pabaya west kwa kushambulia Ukraine, kama walikuwa na ubavu wangeshambulia angalau Latvia ambayo iko chini ya NATO waone cha mtema kuni. Hata huko Ukraine wanahanganishwa kila siku tunasikia jenerali au kanali anauwawa; juzi tu kuna jenerali mwingine kauwawa na mwingine kaponea chupuchupu. Jeshi lenyewe utadhani jeshi la wayunani wanaopigana vita ya kizamani sana ya kurusha cannon hovyo kubomoa majumba na kuua raia.
Majigambo ni mabaya sana; miaka yote tulikuwa tunaamini kuwa jeshi la urusi ni kali sana, lakini kwa majigambo walipojiingiza kuishambulia Ukraine wamaumbuliwa na kuonekana kuwa ni jeshi dhaifu sana. Special military operation imegeuka kuwa vita ya kutishia matumizi ya Nyuklia. Sasa hivi Putin ahana pa kutolea aibu ya kubanwa na Ukraine, anatafauta kitu chochote cha kusema ni ushindi.
Leo Kuna meja jenerali mmoja kwa jina Valery Gerasmov kaonekana live hadharani wakati Ukraine walitutangazia ashauawa mwezi February.Kama ni hivyo tutajie pia idadi ya majenerali wa Ukraine waliokufa .
Ni kweli kuna wanaoandika kwa kufuata allegiance ya walikosomea lakini vile vile kuna wanaoandika kufuata ukweli halisi. Kama huyu ambaye ni mrusi wa damu aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya nje wa Urusi kwenyewe anasema Putin kafanya makosa, kuna haki gani kuwaamini warusi wa Manzese eti kwa sababu tu walisoma Urusi?😁😀 Ila fahamu tu kuna watu humu ndani wanaufahamu mno mgogoro huu na Russia kwa ujumla....Wengine wako kimya wanapita humu kimya kimya.....kuna kizazi kilisoma huko USSR ikiwemo na Russia na hata Ukraine....hata wakati wa USSR kulikuwa na msuguano Fulani ukihusisha Ukraine...
Huyo jamaa Gerasmov aliponea chupuchupu, hakuuwawa, ikabidi akimbie mara moja kurudi Moscow. Ukraine ilisema aikuwa wounded, haikusema kauwawa. Aliyeuwawa ni Maj. Gen. Andrei Simonov. MtafuteLeo Kuna meja jenerali mmoja kwa jina Valery Gerasmov kaonekana live hadharani wakati Ukraine walitutangazia ashauawa mwezi February.
Ujue nimeshangaa coz pamojA na kuwa alihisiwa amededi na kusikwa haijawahi kusikika sauti kutoka Russia kua hajafa.
Ajabu
Unatuletea ABC, TV ya mabeberu.Ni kweli kuna wanaoandika kwa kufuata allegiance ya walikosomea lakini vile vile kuna wanaoandika kufuata ukweli halisi. Kama huyu ambaye ni mrusi wa damu aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya nje wa Urusi kwenyewe anasema Putin kafanya makosa, kuna haki gani kuwaamini warusi wa Manzese eti kwa sababu tu walisoma Urusi?
Hata huelewekUrusi ilianguka yenyewe, na itaanguka tena. Hawa hapa walioinagusha urusi siyo watu wa West:
View attachment 2210197
Urusi hawawezi kuishika pabaya west kwa kushambulia Ukraine, kama walikuwa na ubavu wangeshambulia angalau Latvia ambayo iko chini ya NATO waone cha mtema kuni. Hata huko Ukraine wanahanganishwa kila siku tunasikia jenerali au kanali anauwawa; juzi tu kuna jenerali mwingine kauwawa na mwingine kaponea chupuchupu. Jeshi lenyewe utadhani jeshi la wayunani wanaopigana vita ya kizamani sana ya kurusha cannon hovyo kubomoa majumba na kuua raia.
Majigambo ni mabaya sana; miaka yote tulikuwa tunaamini kuwa jeshi la urusi ni kali sana, lakini kwa majigambo walipojiingiza kuishambulia Ukraine wamaumbuliwa na kuonekana kuwa ni jeshi dhaifu sana. Special military operation imegeuka kuwa vita ya kutishia matumizi ya Nyuklia. Sasa hivi Putin ahana pa kutolea aibu ya kubanwa na Ukraine, anatafauta kitu chochote cha kusema ni ushindi.
Wewe upo outdated. News hii ilitolewa tangu juzi.Huyo jamaa Gerasmov aliponea chupuchupu, hakuuwawa, ikabidi akimbie mara moja kurudi Moscow. Ukraine ilisema aikuwa wounded, haikusema kauwawa. Aliyeuwawa ni Maj. Gen. Andrei Simonov. Mtafute
View attachment 2210242
Anayezungumza ni mrusi, siyo mtangazaji wa ABC.Unatuletea ABC, TV ya mabeberu.
Ni mpuuzi mmoja hivi ambae hakuwahi ijua JF,basi kaijua kaja na kasi ya 5g,ustaarabu kwake hata wa kujibizana ni 0%.Alinivamia na upuuzi wake nikampa kufuri,imagine mtu anakuja hadi PM kutukana,unaona hapo kuna mtu kweli au ni kichaa flan mwenye access ya bundle na smartphone.Huwezi pata Umaarufu pitia mimi dogo na hutaweza ! Hahaha hahaha never
Huwa sisikilizi news za mabeberu. 100% ni uongo kwa manufaa yao.Anayezungumza ni mrusi, siyo mtangazaji wa ABC.
Inawezekana wewe ndiye hufuatilii habari; hayo ni mashambulizi ya juzi tu, na hiyo taarifa imetolewa siku ya Mei mosi, sasa sijui wewe una taarifa ya lini. Ni siku hiyo hiyo alirudi Moscow; taarifa zilisema alichubuka mkono, kwa hiyo kumwona leo mitaani Mosco lisingekuwa jambo la kukushangaza.Wewe upo outdated. News hii ilitolewa tangu juzi.
Russia waliotakiwa kushinda baada ya Revolution ile ya 1917 walikuwa ni Mensheviks sio hao Bolsheviks kina Lenin. Hata hao kina Lenin baada ya kushinda at least wangebaki na utu sasa Lenin alikufa akaja Stalin akawaua kina Leon Trotsky ambao afadhali walikuwa na uelewa. Tatizo lilianzia hapo, Russia inatawaliwa na authoritarians siku zote na population ya Russia kihistoria ishazoea hivyo tangu enzi za Ivan the Terrible karne ngapi uko nyumaNimesikia anaandaliwa kwenye upasuaji wa saratani hivi karibuni na nchi atamuachia bwana moja ambaye ni katibu wa baraza la usalama anaitwa somebody Nikolai ila wanasema naye ni mnyama tu kama Putin.
Russia iliharibiwa na yale mapinduzi ya akina Vladimir Lenin wakaachana na mfumo wa utawala wenye kuheshimu haki na uhuru wa watu, wakajenga taifa linaloongozwa na propaganda na ambapo watawala huonekana kama miungu watu na kusujudiwa na raia.
As a result the spirit of individual enterprise died when the autocratic regime held the helm of governance after the WW I.
Correction, west wameshikilia 600 bn$ za Urussi sio 300Ujue Russia nae ana Hera zao billion 500 kwake, kwa hiyo hizo blion 300 wachukue tu 🤣🤣🤣
Huwa sisikilizi news za mabeberu. 100% ni uongo kwa manufaa yao.
Mabeberu waliowafundisha kuvaa nguo, usisahau ilo.Huwa sisikilizi news za mabeberu. 100% ni uongo kwa manufaa yao.