britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
Mchepuko hauepukiki mkuuPesa ikizagaa sana mtaani na gharama za maisha zikawa nafuu , michepuko inaongezeka kwakuwa kuna excess Kwa wanaume wanao earn money !
Na hapa wanawake wanadharau waume zao kwamba utanifanya nini wenye pesa nje wapo!
Ukienda dar mtu kumla Mke wa mtu Kwa sh 200,000 ni jambo la kawaida sana Yaan sana !!
Ukienda Dodoma kumla Mke wa mtu Kwa 30,000 ni jambo la kawaida sana sana ,
Huko Mbeya ni Rift tu ya gari unaangusha !
Sasa iko hivi Mafuta yamepanda bei wanaume hawana Muda wa kuhudumia mahawala!!!
Sipati picha mpaka mwezi wa 12 …
B
Balance of power ije bila kuua binadamu wengine wasio na hatia, mbona china ana mchalenge us kwenye uchumi na innovation.balance of power ni muhimu katika dunia hi.
Ebu siku dunia nzima ikatumia sarafu moja ambayo ni dola.
Jeshi ni nato kote duniani.
Benki kuu iwepo huko ulaya na marekani peke yake.
Silaha zimilikiwe na hao watu peke yake.
Michexo nayo ndio kama hivi tunavyoona sasa.
Media zote ziwe under US and Europe.
Kwa mifano hii.
Uhuru utakuwepo ?
Upingaji wa hoja utakuwepo ? Au ndii ile paaa paaa paaaa
Ikitokea mkwaruzano kwa nchi fulani na mkaambiwa msitumie sarafu yetu na ndio inayotumika mtafanyaje?
Au ndiio muambiwe kuanzia Leo nchi fulani hamchezi mpira ?
Maswali ya mwanzo mlishindwa basi jibuni haya.
pro nato na pro us husika na maswali tajwa hapo juu
Na USA aache kuvamia nchi nyingine kwa kisingizio cha demokrasia. Au kwanini ukatae base ya urusi cuba lakini utake kuweka kwa ndugu wa Russia Ukraine?Balance of power ije bila kuua binadamu wengine wasio na hatia, mbona china ana mchalenge us kwenye uchumi na innovation.
Tafuta tu ushawishi basi uta mbalance mpinzani wako.
Mi sijachagua upande. Hata us akiua watu kisa kumaintain usuper power sio haki na una takiwa kupingwa.Na USA aache kuvamia nchi nyingine kwa kisingizio cha demokrasia. Au kwanini ukatae base ya urusi cuba lakini utake kuweka kwa ndugu wa Russia Ukraine?
Yaani we Britanica huna maana kabisa, unatuombea mabaya sisi watembea zipu wazi...😭😭😭Pesa ikizagaa sana mtaani na gharama za maisha zikawa nafuu , michepuko inaongezeka kwakuwa kuna excess Kwa wanaume wanao earn money !
Na hapa wanawake wanadharau waume zao kwamba utanifanya nini wenye pesa nje wapo!
Ukienda dar mtu kumla Mke wa mtu Kwa sh 200,000 ni jambo la kawaida sana Yaan sana !!
Ukienda Dodoma kumla Mke wa mtu Kwa 30,000 ni jambo la kawaida sana sana ,
Huko Mbeya ni Rift tu ya gari unaangusha !
Sasa iko hivi Mafuta yamepanda bei wanaume hawana Muda wa kuhudumia mahawala!!!
Sipati picha mpaka mwezi wa 12 …
B
Kwa sasa USA na EU washushe ego zao wawe humble. No supply of weapon no plan for NATO expansion which is Military expansion. Waangalie utu wa waukraine kwa kukubali wajisallimishe wale wajeda wa Azovstal. Pia ikubali uchunguzi wa Biolab za kijeshii dunia nzima. PUTIN ahakikishiwe kuwa madai yake yapo ok aache kupakwa na sifa ni mbaya huku hana hila zinazomfikia USA.Mi sijachagua upande. Hata us akiua watu kisa kumaintain usuper power sio haki na una takiwa kupingwa.
Lakini sasa tuongelee ya sasa ivi.
Hv rubo moja sawa na ksh ngapi nianze kuzisaka saka ama bado dolari zipo juu!!!??£& $ naona wanachanganyikiwa wakiona Mambo yanakua hivi
The Russian rouble jumped to around a two-year high against both the dollar and the euro, retaining the support of hefty capital controls as the European Union proposed a new package of sanctions against Russia over events in Ukraine
Hebu tuonyeshe hapa Ni lini uliwahi kupinga matendo ya USA.Mi sijachagua upande. Hata us akiua watu kisa kumaintain usuper power sio haki na una takiwa kupingwa.
Lakini sasa tuongelee ya sasa ivi.
atazunguka kote ila ukweli kwamba urusi hana kosa.Na USA aache kuvamia nchi nyingine kwa kisingizio cha demokrasia. Au kwanini ukatae base ya urusi cuba lakini utake kuweka kwa ndugu wa Russia Ukraine?
sawa tuongee ya sasaMi sijachagua upande. Hata us akiua watu kisa kumaintain usuper power sio haki na una takiwa kupingwa.
Lakini sasa tuongelee ya sasa ivi.
Sikuwahi kuchangia vita za nyuma. Ila kwenye hii nimeona ukrain ana onewa na nikichangia kuhusu military technicalities rusia is not even there.Hebu tuonyeshe hapa Ni lini uliwahi kupinga matendo ya USA.