Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
Ndio maana sipendi kujadiliana na mtu ambaye hasomi. Nenda kafungue hiyo document nimekupatia link. Inaeleza kuwa Yes Hitler alitambua kuwa yeye ni muyahudi.so what? aliwaua wayahudi sababu ni wayahudi wenzake? ndio maana niliuliza yeye alijitambua kama Myahudi? naona umeamuwa kuwa kama mtaro, yaani kama maji, chochote unachosikia, you can not reason, you can not question, you can not even keep quite and think, namna kilivyoingia ndio unavyokitoa. sad.
Mpumbavu ni wewe ambaye umeacha kuleta reference inayosema Hitler alijitambua kama Myahudi alafu unaleta inayodai tafiti zinadai Hitler ni Yahudi.Ndio maana sipendi kujadiliana na mtu ambaye hasomi. Nenda kafungue hiyo document nimekupatia link. Inaeleza kuwa Yes Hitler alitambua kuwa yeye ni muyahudi.
Isijibu vita wakati hujasoma. Huo ni upumbavu.
Basi mzee tuketee tafiti zako zinazosema Hitler siyo Myahudi.Mpumbavu ni wewe ambaye umeacha kuleta reference inayosema Hitler alijitambua kama Myahudi alafu unaleta inayodai tafiti zinadai Hitler ni Yahudi.
Pathetic, naona umeamua kumfananisha Hitler na akina Nape, Mwigulu na akina Bashite.Basi mzee tuketee tafiti zako zinazosema Hitler siyo Myahudi.
Mzee huna hoja unabweka. Wapi nimesema Hitler anafanana na Nape!?Pathetic, naona umeamua kumfananisha Hitler na akina Nape, Mwigulu na akina Bashite.
Hao UN ni wazushi, a couple of months ago, last year to be specific waliomba matajiri wajitokeze kusaidia kuepusha Janga la njaa duniani, yaani walipiga kelele kwelikweli.🌍 There is no true solution to the global food security crisis without bringing Ukraine, Russia and Belarus back into world markets, UN chief Antonio Guterres says.
The UN secretary general on a visit to Nigeria vowed to “do everything” to facilitate a dialogue that can help achieve this objective.
wewe ndio uliyeta hizo habari, habari za uzushi. then unataka mimi nilete evidence hahahahaha aiseeMzee huna hoja unabweka. Wapi nimesema Hitler anafanana na Nape!?
Hapa tunajadiliana. Unatakiwa kuleta evidence yako. Leta Evidence inayosema Hitler is not a Jewish.
Mbona unambweka tu mwana. Utafit unapingwa kwa utafiti. Kama ni uzushi leta taarifa ambazo siyo uzushi. Mbona unang'aka sana kusema Hitler ni Myahudi!? Nilidhani unahoja kumbe huna unapoga vijembe. Hahahahahaha!!wewe ndio uliyeta hizo habari, habari za uzushi. then unataka mimi nilete evidence hahahahaha aisee
Kwahiyo na UN Secretary unambishia. Duh!!! Yaani ni wewe pekee duniani unajua. Unamzidi hadi UN secretary. Hahahahaha. Atumia za Malawi au Arusha!?Hao UN ni wazushi, a couple of months ago, last year to be specific waliomba matajiri wajitokeze kusaidia kuepusha Janga la njaa duniani, yaani walipiga kelele kwelikweli.
Elon musk akawapa offer ya $6 Billion, on two conditions, first they have to write to him to explain how they are going to use it and second, they will have to account for it.
wakaingia mitini, yaani they expected musk will just give them the money because they are a WHO. By then Russia, Eukraine and the Tanzanian Southern highland region were all pumping food into the food market.
ni waongo, they just want to fund raise.
Ukweli siku zote huuma sidhani kama huyo mtu wakiroho uliemweka dp.alifurahia Vita ? Jichunge Sana na huo ukatoliki wako usije ukawa mshenga wa shetani .#ACHA KUFURAHIA UMWAGAJI WA DAMU MUNGU HAPENDI NA KANISA KATOLIKI LA ROMA HALIFUNDISHI HIVYOUmemaliza kufoka,basi naomba ufunge Novena ile ya mateso makali ya Bwana Yesu Kristo ili uombee Dunia na pia ujiombee mwenyewe uweze kupunguza hasira na kufokea watu usiowafahamu,ni nzuri kwa afya yako ya kimwili na roho [emoji4]
ndugu we ni kilaza kweli kweliNdio maana ninakwambia akili zako zinazidi kidooogo za kuku.
Finding zimeonesha na percentages zimeonesha. Kuwa watu wenye hiyo mark kwenye DNA ni watu wa wapi.
Sasa unakuja kupiga kelele watu eti wafanye conclusion. Hujui kuwa Hitler aliwaua sana wayahudi!?
Hitler father was not a European. Findings zinasema hivyo. Na percentage kubwa ya findings zinaonesha ni muyahudi. Mambo mengine ni siasa tu mzee.
8.6 per cent to 30 per cent of Sephardic Y-chromosomes, appears to be one of the major founding lineages of the Jewish population.
Hittler ni muyahudi.
Same person different ID. Hahahahaha!! Huwezi hata kujificha mwana.ndugu we ni kilaza kweli kweli
Haya Chora 7 umwagiwe uji wa protein mzito.kawaida yenu, wanawake wa siku hizi mmefanya kukazwa ni kazi ya kuwaingizia kipato, naona uko obssessed na kukazwa leo, the good side of it ni kwamba bila siye wanaume kuwakaza nyie sisi wote tusingekuwapo hapa duniani.