Unapotaja hasara usiache kutaja na faida [emoji41]Putin kakukosea nin mkuu?
EU, Nato, USA, Israel wameleta machafuko ktk nchi za watu kupelekea kuua mamilion ya watu wasio na hatia e.g
Libya
Iraq
Afghanstan
Syria
Yemen
Palestine
Ongezea
Naangalia mechi ya simba mkuu. Nikitulia ntasoma. Weshafungwa 2Ukifikiria kama hivi basi utaingia kwenye matatizo kama yaliyomkuta Ukraine. Russia haitaji uwe mshirika wake. Anachohitaji ni usalama wa nchi yake; lielewe dhumuni na mantiki ya Russia. Na hakuna anayepinga kama Russia naye kijeshi ni mkubwa kama huyu mkubwa aliye na ushawishi.
Nimejaribu kuirejea historia lengo ni kupata kujua endapo ukiwa kwenye nafasi kama ya Ukraine uishi vipi! Historia inatufunza kwa Cuba baada ya kumkaribisha Soviet aweke makombora yake. Cuba ni pua na mdomo na US. US kwake ikawa ni tishio. Alichokifanya aliwapiga vikwazo Cuba. Haikutosha akajaribu kufanya mapinduzi ila yakashindwa.
Huyu ni mwenye nguvu ya kijeshi na ushawishi alitumia nyenzo zake. Mwenye nguvu ya kijeshi peke yake unafikiri atatumia nguvu ipi?
Kingine umezungimzia vikwazo kwa Mrusi tambua ya kwamba havitomuathiri peke yake. Kwa namna moja na nyengine vita athiri na wengine kwa sababu: Russia ndiyo nchi ya 3 duniani (kama sijakosea) inayozalisha mafuta kwa wingi baada ya mashariki ya kati. Russia naye ni mzalishaji mkubwa wa ngano duniani. Russia ni miongini mwa nchi zinazozalisha gesi kwa wingi duniani.
India, Misri, China n.k zinategemea ngano ya kutoka Russia. Misri inatumia takribani $ billion kadhaa kununua ngano Russia. Bara la ulaya wanategemea gesi kutoka Russia kwa % kubwa. Kuna nchi nyengine zinategemea kwa 100% gesi ya Russia zipo Ulaya na huku wanataka kumtoa kwenye mfumo wa SWIFT hayo malipo mtayafanya kwa njia gani? Ukraine yenyewe inategemea gesi ya Russia.
UK anatumia sana anga ya Russia kwenda New Zealand, Australia n.k Russia naye kampiga vikwazo vya kutotumia anga yake. Ina maana UK ata-change route ambayo itakuwa ni ndefu sana (hapa gharama za mafuta zitaongezeka) itasababisha gharama kwa mteja kuwa juu sana.
Hivyo haya masuala ni mapana. Russia wataathirika ila Russia hatoathirika peke yake. Unampiga vikwazo huku unategemea gesi kutoka kwake naye akiongeza gharama za mauzo ya gesi mtafanyaje?
Nafikiri kwa kiasi fulani tumeelewana?
sio wanajinyoosha wenyewe russia? baada wapigana kuupandisha uchimi waoHawa wabaguzi wa Ukraine wanawazuia waafrika kupanda treni kutoroka mapigano kwenda Poland.
Kinachosikitisha zaidi wanawazuia hadi wanawake na watoto tena wajawazito kisa tu rangi zao za mwili.
Acha tu Putin awaanyooshe. Wengi msiojua tangu Putin angie madarakani Urusi Kaleta mabadiliko makubwa sana kwa watu weusi waishio Urusi kwa kuweka sheria za kuheshimiwa na haki.
WayUkrain wabaguzi sana. Acha wanyooshwe tu.
Yote haya unayajua wewe ila uk wenyewe hawayajui daah hiinchi uhuru umezidi sana aiseeUkifikiria kama hivi basi utaingia kwenye matatizo kama yaliyomkuta Ukraine. Russia haitaji uwe mshirika wake. Anachohitaji ni usalama wa nchi yake; lielewe dhumuni na mantiki ya Russia. Na hakuna anayepinga kama Russia naye kijeshi ni mkubwa kama huyu mkubwa aliye na ushawishi.
Nimejaribu kuirejea historia lengo ni kupata kujua endapo ukiwa kwenye nafasi kama ya Ukraine uishi vipi! Historia inatufunza kwa Cuba baada ya kumkaribisha Soviet aweke makombora yake. Cuba ni pua na mdomo na US. US kwake ikawa ni tishio. Alichokifanya aliwapiga vikwazo Cuba. Haikutosha akajaribu kufanya mapinduzi ila yakashindwa.
Huyu ni mwenye nguvu ya kijeshi na ushawishi alitumia nyenzo zake. Mwenye nguvu ya kijeshi peke yake unafikiri atatumia nguvu ipi?
Kingine umezungimzia vikwazo kwa Mrusi tambua ya kwamba havitomuathiri peke yake. Kwa namna moja na nyengine vita athiri na wengine kwa sababu: Russia ndiyo nchi ya 3 duniani (kama sijakosea) inayozalisha mafuta kwa wingi baada ya mashariki ya kati. Russia naye ni mzalishaji mkubwa wa ngano duniani. Russia ni miongini mwa nchi zinazozalisha gesi kwa wingi duniani.
India, Misri, China n.k zinategemea ngano ya kutoka Russia. Misri inatumia takribani $ billion kadhaa kununua ngano Russia. Bara la ulaya wanategemea gesi kutoka Russia kwa % kubwa. Kuna nchi nyengine zinategemea kwa 100% gesi ya Russia zipo Ulaya na huku wanataka kumtoa kwenye mfumo wa SWIFT hayo malipo mtayafanya kwa njia gani? Ukraine yenyewe inategemea gesi ya Russia.
UK anatumia sana anga ya Russia kwenda New Zealand, Australia n.k Russia naye kampiga vikwazo vya kutotumia anga yake. Ina maana UK ata-change route ambayo itakuwa ni ndefu sana (hapa gharama za mafuta zitaongezeka) itasababisha gharama kwa mteja kuwa juu sana.
Hivyo haya masuala ni mapana. Russia wataathirika ila Russia hatoathirika peke yake. Unampiga vikwazo huku unategemea gesi kutoka kwake naye akiongeza gharama za mauzo ya gesi mtafanyaje?
Nafikiri kwa kiasi fulani tumeelewana?
Pale hiroshima na Nagasaki marekani walirusha mavy yako?[emoji3525]teh teh dingi kajivua nguo, dunia imeona kuwa ni debe tupu. sasa ameanza tishia nyuklia teh teh Jinga sana ilo lizee. hata ukilalingalia usoni tu unajua hakuna timamu pale.
US kashapoteza vita vingi ila wanakibali rudi nyumbani na kuruhusu maisha mapya yaendelee hawajawai tishia matumizi ya nyukilia .. sasa huyu mweu anaona aibu ya kupoteza na kumbuka kuwa ni kubwa Jinga sasa ameanza tishia nyuklia.. anamuambia mkuu wa naje. shi ajiandae kubinya batani.
Shame on him
Wapuuzi hao Dunia haitaki ubabe warudi mezani waendane na dunia, ndio tatizo unakuwa na kiongozi kazi yake ni kubadilisha katiba tuu ili aongoze yeye.Russian state TV: manuari zetu pekee zinaweza ku launch zaidi ya 500 nuclear warheads, ambayo tunawahakikishia kuiharibu US na NATO kwa uzuri tu. Kanunini yetu ni rahisi tu "kwanini Tunahitaji Dunia wakati yenyewe hitaki Russia IWEPO"?
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Ngoja waipate ya jiwe,walifata nini? Miafrika bwana hawataki kuthamini vya kwao ona sasa kinachowapata.Mbona Hanna Raia wa Ukraine anayesoma Tanzania.
Trump angemfuata Putin na kumalizana nae au wangekutana sehemu kama alivyomfuata Kim na kumalizana nae.Kwa hiki kinachoendelea hivi sasa kati ya Ukraine na Russia nadhani lama raisi wa Marekani angekuwa Donald Trump saa hizi Russia ingekuwa imeshafutika kwenye uso wa dunia hii
Kwahiyo unataka kuniambia angefyata mkia mwenyewe Russia?Binafsi nafikiri kusingetokea chochote
Kwanza tambua Ukraine sio.mwanachama wa NATO ndio maana Russia ana tamba
Kuna mwaka kama sikosei 2015, Russia alishambulia vikosi vya Turkey vilivyokuwa Syria Then Turkey akapiga ndege za kivita za Russia na akaua marubani wa zile ndege hizi fujo zilifanyikia Syria mpakan na Turkey
Basi the next morning Turkey akaamkia Brussel akafanya vikao na NATO aisee Russia alifyata mkia kimyaaaa japo scenarii hii ni tofauti na ya Ukraine
Changamoto zipo! Baadhi ya miundombinu zimeharibiwa, hasa viwanja vya ndege. Silaha zinaingizwa hasa kupitia Poland, magharibi mwa Ukraine.Nchi imezungukwa, airport zote,anga lote zimepigwa Pini na warusi.
Hizo silaha zinaigizwaje mkuu
kwaiyo unataka kunambia angefyata mkia mwenyewe russia?
maana trump yule ni chizi kabisa angeshaanza kuichapa russia
Tuko pamoja kuwa kuna wanaume waliogeuzwa wanawake,na kuna wanaume wamebaki kuwa wanaume leo na hata milele,na wote nimewatolea mfano kwa majina na kwamba kilichoandikwa na Hilda ni sahihi kwa kuwa wanaume wa aina hiyo wapo.Sema wanaume unaowajua wewe ndio waligeuzwa wanawake
Maana Wanaume wengine wamebaki kuwa wanaume jana leo na milele
Hawajageuzwa
Ni upo sawa kabisa yupo front PolandMr President yuko front
Azitumie sasa Kisha nae ahame dunianiKitu ambacho ni tishio kwa dunia na sikulifahamu ni kuwa Russia ndio nchi yenye stock kubwa zaidi ya Nuclear
View attachment 2133274