LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
⚡️FIFA bans Russian national anthem and flag from international football games - future matches to be played at a neutral venue without spectators.
 
Putin alivyotangaza kuingia Ukraine maazimio aliyoyataja ni nini? Au Operation hiyo ilikuwa inahusu nini?

Naomba unijibu tafadhali!

Kisha ndiyo tuje kwenye malengo yamefanikiwa au hayajafanikiwa? Na hapa naomba unijibu tafadhali.
Ngoja nikusaidie Kidogo.

Kiufupi,Malengo ya Putin hayajatimia hata Kidogo.

KIUCHUMI

Marekani ilipotangaza kwamba itaweka vikwazo,Russia ilisema haitishiki na Vikwazo. Hapa,Russia alijua kwamba Ulaya haitaungana na Marekani kuuwekea vikwazo Russia Kama ilivyokuwa mwaka 2014 baada ya kuichukua Crimea ambapo Ujerumani na nchizo zote za Ulaya isipokuwa TU Uingereza zilikataa kutii vikwazo vya Marekani,MATOKEO Yake yamekuwa tofauti,Bomba la Gas limepigwa Chini(Putin hakuamini make alijua German atagoma shinikizo la marekani),Mali zote za Urusi na Matajili wa Urusi Duniani kote(Marekani,Canada,Japan,S.Korea, na Ulaya yote) zimegandishwa/Freezed. Bank karibia zote za Urusi zimepikwa mkasi. Putin mwenyewe Binafsi na waziri wake wa Mambo ya nje Mali zao zimetaifishwa Ulaya,Canada,Japani na Marekani.

KIVITA

Urusi ilikuwa na lengo la Kuisambaratisha Serikali ya Ukraine na kuweka Rais Mwingine,Ndio maana Putin aliwaambia Wanajeshi wa Ukraine waipindue Serikali,lakini Waligoma badala yake wakaenda Frontline kupigana Kama Zelensky alivyowaamrisha. Lengo la Putin Limegoma.

Pia,Mpaka Sasa Russia wameshindwa kabisa kuuteka mji Mkuu wa Ukraine,Kila wakienda wanakutana na Upinzani mkubwa Sana. Mpaka wameshaanza kusema eti Kuna Mamluki kutoka Marekani na Uingereza wanapigana sambamba na Wanajeshi wa Ukraine.

Kuhusu kutumia Nyuklia,hivyo ni vitisho vya Putin ili Ulaya wagawanyike katika kuiadhibu Urusi kiuchumi. Hiyo inaitwa DIVIDE AND RULE. Nalo hatafanikiwa. Endapo kweli atawaagiza Majenero wake warushe Nukes kuelekea nchi yoyote ile ya Ulaya au Marekani,hapo ndipo atakapojua jua kwamba maamuzi ya uvamizi wake kwa Ukraine yalikuwa kichwani mwake TU,Watampindua na Kumuondoa Madarakani.
 
IMG_4851.jpg
 
Ujinga wa Putin ana jeshi kubwa alafu anawatawanya wanajeshi vikundi vikundi ili amalize hesabu haraka... basi hivyo vikundi waukraine wamevitight na kuviteketeza vyote ndio kaona atishie Nuclear hahahaha.. mento kabisa yule mzee
 
Kama hadi kesho Kyiv itakuwa haijatekwa Urusi hataiteka, maana nimeona reinforcements
 
Kuna mazungumzo yatafanyika kwenye mpaka wa Belarus na Ukraine hapo kesho, lakini mzee Putin anaandaa mamitambo ya nuclear ingawa amesema haimaanishi atayatumia.View attachment 2133114

Mwenyewe anadai eti ana mtambo akiutupa atamallza Ulaya yote . Na kuna watu team Putin wanaamini hilo.

Muulize hiyo Testing ya kumaliza Ulaya nzima alifanya wap?

Kama kweli yeye anaweza afanye. Kwanza Russia ni nchi ya uchumi wa kawaida sana .

Moscow inaweza kufanywa kuwa ni uwanja w vumbi. Aache kutisha watu , Ukraine ni Kitaifa kidogo but anatumia nguvu nyingi , leo hii ndio aipige ulaya yote

He is mad
 
Kwani kuna RAIA wa USA walikuwa wanataka USA avamie Iraq,ukweli ni kuwa western ndio wanamiliki vyombo vya habari na wanatumia kila aina ya propaganda kumchafua Russia.
Na kweli lazima watumie hizo propaganda maana wanajua uwezo wa Urusi na wasipofanya hivyo Ukraine itakuwa majivu.
hii ndani ya Russia

790C968A-5EAE-46BD-9053-5AFFC75FC4D4.jpeg


0A2DCF49-8F87-4124-8BDA-A122B3CB2252.jpeg
 
Mwenyewe anadai eti ana mtambo akiutupa atamallza Ulaya yote . Na kuna watu team Putin wanaamini hilo.

Muulize hiyo Testing ya kumaliza Ulaya nzima alifanya wap?

Kama kweli yeye anaweza afanye. Kwanza Russia ni nchi ya uchumi wa kawaida sana .

Moscow inaweza kufanywa kuwa ni uwanja w vumbi. Aache kutisha watu , Ukraine ni Kitaifa kidogo but anatumia nguvu nyingi , leo hii ndio aipige ulaya yote

He is mad
Wacha porojo

Mbona ulaya hawajapeleka jeshi?
 
Sio kila vita unaingilia tu wenzako wana maono ya miaka elfu mbele hapo wamemchokoza Putin maksudi ili aingie kichwa kichwa vitani wamnyuke vikwazo ili kuuporomosha uchumi vizuri.

Ndo maana Putin amegundua hilo ameanza kuomba poo ya mazungumzo.

Gharama ya vita kwa siku inakadiriwa kufikia dollar billion 15 sawa na takribani trilioni 43 za Kitanzania.

Putin amewekewa vikwazo na karibu kila nchi hata ndege zake haziruhusiwi kukatiza anga la EU.

I ddnt ask this lakin naona umejiongelesha tu nimekwambia uweke hayo maelezo ya Biden smh
 
Back
Top Bottom