Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja nikusaidie Kidogo.Putin alivyotangaza kuingia Ukraine maazimio aliyoyataja ni nini? Au Operation hiyo ilikuwa inahusu nini?
Naomba unijibu tafadhali!
Kisha ndiyo tuje kwenye malengo yamefanikiwa au hayajafanikiwa? Na hapa naomba unijibu tafadhali.
Kwa uzuri mzuri.Hongera kwa uzuri mzuri. Hakika ni hata mbuyu ulianza kama mchicha
Ukraine wanavibweka sana nadhani Putin huko alipo anajutia sana.
Mkuu hakuna strategic weapons ambazo Russia ametumia mpaka sasa. Na hizo analysis tumefanya sana nyuzi nyingine za kimataifa ila ni mlolongo mrefu kufanya ulinganisho kisiju pwaniToa Ballistic missile, toa Intercontinental missile, hypersonic missile and other strategic weapons, tupe analysis
Makobora/makomboraUnaota wewe.. Israeli iitishe urusi? Akili z waisraeli zitasaidia Nn kwenye kukwepa mako bora!? [emoji23]
Kuna mazungumzo yatafanyika kwenye mpaka wa Belarus na Ukraine hapo kesho, lakini mzee Putin anaandaa mamitambo ya nuclear ingawa amesema haimaanishi atayatumia.View attachment 2133114
hii ndani ya RussiaKwani kuna RAIA wa USA walikuwa wanataka USA avamie Iraq,ukweli ni kuwa western ndio wanamiliki vyombo vya habari na wanatumia kila aina ya propaganda kumchafua Russia.
Na kweli lazima watumie hizo propaganda maana wanajua uwezo wa Urusi na wasipofanya hivyo Ukraine itakuwa majivu.
Kwa nini unamchukia?Natamani kusikia habari kama hizi tu namchukia sana putini
Wacha porojoMwenyewe anadai eti ana mtambo akiutupa atamallza Ulaya yote . Na kuna watu team Putin wanaamini hilo.
Muulize hiyo Testing ya kumaliza Ulaya nzima alifanya wap?
Kama kweli yeye anaweza afanye. Kwanza Russia ni nchi ya uchumi wa kawaida sana .
Moscow inaweza kufanywa kuwa ni uwanja w vumbi. Aache kutisha watu , Ukraine ni Kitaifa kidogo but anatumia nguvu nyingi , leo hii ndio aipige ulaya yote
He is mad
Sawa Mrussia mweusi, naona unamtetea raisi wakoOngeza propaganda na matusi, bado hayatoshi.
Ungem-quote yeye sio mimi..Mbona unajistukia, kwani wewe ndiye Victor Njogu au Abdirahim Hange? Ambao wamesema Putin aendelee kufanya anachofanya Ukraine kwa sababu wa Ukraine wamezuiz waafrika wasitoke nchini humo?
Sio kila vita unaingilia tu wenzako wana maono ya miaka elfu mbele hapo wamemchokoza Putin maksudi ili aingie kichwa kichwa vitani wamnyuke vikwazo ili kuuporomosha uchumi vizuri.
Ndo maana Putin amegundua hilo ameanza kuomba poo ya mazungumzo.
Gharama ya vita kwa siku inakadiriwa kufikia dollar billion 15 sawa na takribani trilioni 43 za Kitanzania.
Putin amewekewa vikwazo na karibu kila nchi hata ndege zake haziruhusiwi kukatiza anga la EU.
Makafiri ni mama ako na baba yako.Yani wa lipo pigwa libiya Iraq Iran Yemen nyote mume nyamaza kimya kwa sababu ni wa Islam na ni wa Arab sahivi wana pigwa makafiri kila mtu a na waonea huruma Tundu lisu aliwahi kusema wa kitu Maliza sisi wa takuja kwenu nyinyi
Unafatilia vizuri hii vita?.maana kila baada ya muda kuna mabadiliko.warusi wanasonga mbele kila upandeLeo ni siku ya 4 hakuna Mji Mkubwa wowore wa Ukraine uliotekwa na Russia.
Kama kuna mpango wa kufanya siege warfare, maana yake kuna uwezekano mkubwa sana wa kuongezeka kwa vifo vya raia endapo wataamua ku-react hapo baadaye. Hata hivyo, bado hakuna taarifa rasmi kuthibitisha suala hilo.