Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Kwani kuna RAIA wa USA walikuwa wanataka USA avamie Iraq,ukweli ni kuwa western ndio wanamiliki vyombo vya habari na wanatumia kila aina ya propaganda kumchafua Russia.Raia wengi wa urusi wangekuwa wanakubaliana na alichofanya Putin, wasingefungiwa mitandao kma facebook nk
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Na kweli lazima watumie hizo propaganda maana wanajua uwezo wa Urusi na wasipofanya hivyo Ukraine itakuwa majivu.