Kwasisi tusio fungamana na upande wowote, tunapenda kukwambia kua. Baada ya mazungumzo ya hao waheshimiwa wawili/wajumbe wao. Wasipo afikiana ni Ww3 ndicho kitu kinafuata. Maana ndio Vita rasmi itaanza Sasa.
NATO kusogeza vifaa, Russia kuvipiga alafu wanaingia na styre ya dog it another 🐕. North Korea anatuma wanajeshi 300,000 huku wengine laki 4 wakisogea mpakani na south. Ila south Korea anamuwahi mchinaamsihi kiduku wao hawafungamani na upande wowote. Kisha Iran inaanza kuzitarget base za NATO middle east. Israel anajiweka 100%military readiness. Hizbullah,Hamas nao wanakaa mguu nje mguu ndani Saudia anakataa kujiunga na Vita pamoja na Sunn country. Ila Egypt inaanza kumlia timing Uturuki Algeria inapewa jukumu la kuingia ulaya kutokea Mediterania akiwa na Tunisia na wanamgambo toka Libya, Mali, west Sahara na nchi za west africa wanaingia morroco mudahuo urusi yupo Berlin.
Finland, Switzerland,luxenburg,wao hawafungamani na yeyote hivyo watabakia Kama Tanzania tu. Wakati marekani inaamua kwenda kuisaidia ulaya China inaivamia Japan ikisaidiana na urusi na North korea. Marekani inakaribia kutia nanga inapewa Habari Saudia,Use,Qatar,Iraq, Afghanistan, Kuwait, Yemen, Lebanon na india, Jordan, Egypt, na Uturuki zimeigeuka na wanaipiga Israel kutokea kote kote, Israel inaona ngoja nife nao inaipiga mecca,tehlan na Cairo atomic bomb. Wakati huo huo manuali za North korea,China na Russia zinaichakaza america. Ndipo hapo unapitishwa uamuzi wa mwisho wa dunia awamu ya kwanza kwa kubofya vitufe vyekundu
Basi mchezo unaishia hapo dunia ikiwa imebaki na Super Powe south africa, Nigeria Tanzania alafu mpinzani Brazil.
Haya wakati yanatokea akina Thailand, south Korea na Australia mungu yupo pata jivujivu.