LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
What if Ukraine wana secret nuclear warhead wakaamua kufanya suicide wakapiga Moscow??... 😀 😀
Ndicho ninachomweleza.

Anachokifanya huyu ni kusema sitapata ukimwi sababu nilimuandaa vya kutosha. Ni kweli unaweza usipate ila chances zipo ukapata, kinachotakiwa ni usifanye kama unajua upo.
 
Mi naona Urusi afanye yake tu. Mbona USA kafanya ujinga marakibao tuna hakuna alomzuia?

Rejea uvamizi wa Iraq ya Saddam Hussein, Libya e.t.c
 
Hukuliona hili ilipovamiwa Iraq, Libya na Afghanistan, tena wao wameuliwa maelfu na mali kuharibiwa
 
Huyo ni mbwa asiye na meno mkuu
 
Wewe unaniona Pro-American? Kuna wakati niliwahi kuonekana humu kama Anti-US ama Pro-Russian. Mara nyingi nimekuwa nikiandika michango yangu humu kwa kile ambacho ninakiamini. Haijalishi kiko upande gani.
Ukweli hata Mimi nakuamini,mara nyingi hua unajitahidi kueleza ukweli Fulani hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…