Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
musiwe na haraka mutaona tu kama mutakua bado mupo haiSo what's Russia's next move after Ukraine?,Latvia,Lithuania,Romania,Slovakia ?????
nakama mtakua mushakufa huko mtakapokua mutasikia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
musiwe na haraka mutaona tu kama mutakua bado mupo haiSo what's Russia's next move after Ukraine?,Latvia,Lithuania,Romania,Slovakia ?????
Hakuna atakayetumia nuclear wakati anajua na mwenzie anayo.Unadhani tukishaanza vita mkafikia point ya liwalo na liwe kuna kitakachozuia? Inatakiwa tulaani vita sababu ya aina za silaha zilizopo sasa.
Jifunze kwanza kuandika kiswahili fasaha,musiwe na haraka mutaona tu kama mutakua bado mupo hai
nakama mtakua mushakufa huko mtakapokua mutasikia
What if Ukraine wana secret nuclear warhead wakaamua kufanya suicide wakapiga Moscow??... 😀 😀Hakuna atakayetumia nuclear wakati anajua na mwenzie anayo.
Wewe ndo unasema hivi. Ila vita ikishaanza ikawa piga nikupige na nani atamuwahi mwenzake kuna chances za nyuclear kutumika. Tunalaani vita kueliminate hizo chances.Hakuna atakayetumia nuclear wakati anajua na mwenzie anayo.
Ni uhalisia. Kuna watu (na mataifa) wana nguvu kuliko wengine.Hii vita haina maana. Ni upumbavu wa watu wachache wanaoamini kuwa wana nguvu na kutaka historia zao zibaki vitabuni kwa kumwaga damu za binadamu wenzao waitwao wanajeshi na raia.
Ndicho ninachomweleza.What if Ukraine wana secret nuclear warhead wakaamua kufanya suicide wakapiga Moscow??... 😀 😀
Na kwenye hii amshaamsha anayeumia na kupoteza zaidi ni Ukraine.View attachment 2129237
Marekani ni hatari! Anachochea vita, then anasema ANAWAOMBEA watu wa Ukraine!
wanajisahsulisha[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] ubaya waliuanza wenyewe
nawewe jifunze kuelewa kupitia makossJifunze kwanza kuandika kiswahili fasaha,
Musiwe =Msiwe
Mutasikia = Mtasikia
Mutaona = Mtaona
etc,etc
Wakina biden...."Mnaona" kina nani?
Mi naona Urusi afanye yake tu. Mbona USA kafanya ujinga marakibao tuna hakuna alomzuia?Hii UNSC wakati mwingine ni 'upuuzi mtupu'. Kama mataifa yanavamiana kijeshi, huku chombo cha kushughulikia usalama wa kimataifa kipo, basi hakuna maana yeyote ile kuendelea kuwa na baraza hilo. Tofauti na hapo, baraza hilo linahitaji marekebisho makubwa (overhaul).
Pole FrancUhuni huu ulianzia enzi za Cold War, USSR ilipoivamia Hungary. Hiki kinachoendelea hivi sasa ni muendelezo tu.
Hio combination ni nomaaaUrusi walisema Watatrade na China, North Korea na Iran.
Hukuliona hili ilipovamiwa Iraq, Libya na Afghanistan, tena wao wameuliwa maelfu na mali kuharibiwaHii UNSC wakati mwingine ni 'upuuzi mtupu'. Kama mataifa yanavamiana kijeshi, huku chombo cha kushughulikia usalama wa kimataifa kipo, basi hakuna maana yeyote ile kuendelea kuwa na baraza hilo. Tofauti na hapo, baraza hilo linahitaji marekebisho makubwa (overhaul).
Huyo ni mbwa asiye na meno mkuuHii UNSC wakati mwingine ni 'upuuzi mtupu'. Kama mataifa yanavamiana kijeshi, huku chombo cha kushughulikia usalama wa kimataifa kipo, basi hakuna maana yeyote ile kuendelea kuwa na baraza hilo. Tofauti na hapo, baraza hilo linahitaji marekebisho makubwa (overhaul).
Ha ha ha haa ,acha uchokozi bana.Mmeanza kulia Lia [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ukweli hata Mimi nakuamini,mara nyingi hua unajitahidi kueleza ukweli Fulani hivi.Wewe unaniona Pro-American? Kuna wakati niliwahi kuonekana humu kama Anti-US ama Pro-Russian. Mara nyingi nimekuwa nikiandika michango yangu humu kwa kile ambacho ninakiamini. Haijalishi kiko upande gani.