LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
EU na NATO wameshamuona PUTIN kateleza kwahiyo hapa hapa ndio pakummaliza. Putin aliingia vinginene kakutana nahali nyingine, alinua eazy tu anapiga anafukuza raisi anaweka wake, hakwenda kwa total war, akawa anajitahkdi kukwepa kuumiza raia, akajua akikamata viwanja vya ndege, akipiga maghala ya siraha na sekta muhimu tayari kawanyong'onyesha, mambo yamekuwa magumu, hapa ni aidha ajitoe akili apigane total war au akubali kuvuka nguo kitu ambacho sidhani atakubali. sasa kitu kibaya kwamba na raia nao wakuwa wajeda wasaidizi, haoa ndio pagumu.

Marekani hii situation alikuwa anaitaka kwa hali na mali, kote kwake faida urusi akiingia hata akishinda anakula vikwazo si mchezo, wakati huo yeye na washirika wake wanatoa msaada kimya kimya ili kuzidi kumnyong'onyesha mrusi.. Toka awali nilihisi ukraine bila kufanya maamuzi sahihi nchi yao ndio itakuwa uwanja wa vita, watu watakuja kutestia mitambo yao hapo.

Putin hali tete, akichomoka hapa ndio nitajua huyu kichwa.

Nimejifunza vitu viwili, Dunia bila unafiki haiendi mmarekani mtu mbaya sana, ukiwa na pesa hata ukiwa na sura kama ya nani utaambiwa we ni handsome, alichokifanya putin MMAREKANI kaishakitenda mara zisizo na idadi ila wapi, sasa putini kajitela, ananuka ubaya tu.
Kuna msemo unasema "Never interrupt your enemy when he is making mistakes."
 
Wakuu saivi sio utani tena kwa Hali ilivyo kuna kila dalili ya kuzuka kwa VITA kuu ya TATU ya DUNIA. nimeanza kuogopa.

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Ngoja nikuambie hii ilikuwa sio vita ni operation ya kijeshi baadhi ya vifaa ni tishia kumkamata rais na hapo ukraine wapo mamluki wa russia ila USA na NATO ndio wamakuza hii ishu ili jamaa wanapigwa kisaikolojia

Ninachomba putin afanye kweli pelekea moyo kabisa wauwane
 
Nimerudi.
Kuelewana tunaelewana na pia tukubaliane kuwa, Ukraine anastahili heshima. Pamoja na hayo matatizo yaliyomkuta ila na yeye kamuingiza kwenye matatizo makubwa kaka yake Russia mpaka akasema washeni nuclear. Si tunakubaliana?😀😃😃
Sababu ya Putin kusema anatumia nuclear si kwa sababu ya Ukraine bali ni NATO.

Fuatilia kwenye vyanzo vya habari utaona wameelezea na sababu. Soma kichwa cha habari, soma na maelezo yake ya ndani.
 
Sababu ya Putin kusema anatumia nuclear si kwa sababu ya Ukraine bali ni NATO.

Fuatilia kwenye vyanzo vya habari utaona wameelezea na sababu. Soma kichwa cha habari, soma na maelezo yake ya ndani.
Kinginew anatishia kuleta tension
 
Chairman wa UNSC ni Russia na sasa balozi wake nadhani anamaliza muda wake kesho. Kuna uwezekano Russia ikaondolewa kwenye UNSC
Haiwezekani, si jana tu hapa tuliambiwa wanakaa kufanya azimio la kumzuia jamaa asiendelee kuingia Ukraine, Lakini nothing happened.
 
Hawa wabaguzi wa Ukraine wanawazuia waafrika kupanda treni kutoroka mapigano kwenda Poland.

Kinachosikitisha zaidi wanawazuia hadi wanawake na watoto tena wajawazito kisa tu rangi zao za mwili.

Acha tu Putin awaanyooshe. Wengi msiojua tangu Putin angie madarakani Urusi Kaleta mabadiliko makubwa sana kwa watu weusi waishio Urusi kwa kuweka sheria za kuheshimiwa na haki.

WayUkrain wabaguzi sana. Acha wanyooshwe tu.
Yuko madarakani toka mwaka gani na kwanini hataki kutoka?
Hao watu weusi wa Urusi wako wangapi na wamefaidika na vipi kutoka kwake ainisha tafadhali
 


Something massive just exploded in Cherkasy Oblast, Ukraine.
 
  • Kicheko
Reactions: BRB
Ukishaona rais wa nchi awaomba raia wasiokuwa na uzoefu wowote wala mafunzo ya kivita washike bunduki (wakati nchi husika ina wanajeshi wenye mafunzo na uweledi wa vita) ujue tayari jeshi hilo la nchi limeshazidiwa nguvu tayari.
hakuna anaepinga kuwa urusi ana jeshi lenye nguvu kushinda ukraine
na kama jeshi lmezidiwa ni sahihi raisi kuwaambia raia wachukue siraha wajilinde wenyewe,
hapo rais kakosea wap?
kwa mtizamo wangu
nikuwa urusi anakosa sapoti ya raia wa ukraine,
endapo waukraine wangekuwa hawaitaki serikali yao ingekuwa kazi nyepesi kwa urusi
ni kama libya na iraki
marekani alipozivamia zile nchi alikutana na sapoti ya raia wa zile nchi.
na hii ni tofaut na hali ilivyo pale ukraine,
waukraine wameungana na serikali yao kupambana na adui,
nikuulize swali moja
kama raia wa ukraine wanataka kujiunga na Nato wewe ni nani hadi uwazuie?
 
Bado una msimamo ule ule?
Hakuna vita hapo.
Nitakupa mfano mdogo sana.
Hivi Mike Tyson akisimama ulingoni na Rashi Matumla utasema Kuna mpambano wa boxing hapo? Bila shaka hata mtoto mdogo atajua hilo ni igizo tu!
Lakini Tyson na Evander Hollyfield, yeeees!! huo ndio mpambano!
Tunaongelea USA v/s Urusi!!
 
EU wamesema watatoa fighter jets kwa Ukraine. Huu sasa ujinga kuendeleza mgogoro, hii vita ilibidi iishie kwenye mazungumzo yatakayofanyika ila Westerns wanazidi kutuma silaha. Ukraine hawajui kuendesha ndege yoyote inayotumika na EU members ukiachana na members kama wawili hivi wenye Mig-29 zilizozeeka hazina hata spare parts. Ukraine wanatumia Mig-29 ambazo walirithi baada ya Soviet Union. Sasa hizo ndege za EU nani ataendesha kama sio wao, mbona kama wanalazimisha vita iwe ya Russia vs NATO.

Vita ingeisha mapema kwa mazungumzo
Kuna taarifa kuwa, hizo ndege zitanunuliwa Bulgaria, Poland na Slovakia kisha ziende Ukraine. Bila shaka zitakuwa ni hizohizo MiG-29 za Kirusi. Ila ni upgraded!
 
Wanamjoke Putin, jamaa ni kama kaja kuwazawadia majamaa dhana za kivita, inawezekanaje una run out of fuel means huna calculations, au wanajeshi wake wanamhujumu, kapigika sana hususani jana.

#STOP WAR
Iwe,, kwani Jana wamenfanya Huyu PUTOUT (PUT-IN)
 
Back
Top Bottom