Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Eiwaaa ndo ile jana nikawa namwambia Tsh kua Russia kuingia Ukraine lilikuwa ni swala la mda tu.

Kaanza kuvutwa hapo kitambo na lengo ni US apigane ukooooo mbali sio kwenye ardhi yake... Wamenukuliwa mara kibao tu wakisema wazi juu ya hilo. Na moja wapo ni hii video nitaiweka hapa chini.

Your browser is not able to display this video.


Kwenye hio Video hapo Juu utawasikia wanasema "...United State Aid Ukraine and her people, so we Can fight Russia Over there, We don't need to fight Russia here"

Na si hiyo tu, kuna hii nyingine pia inagoma ku'upload ungemsikiliza Lindsay Graham na John McCain nao wakiwahamasisha wale Azov tena wakiwaambia kua La kwao La US na La US ni La kwao... na katika maelezo yao hao wawili haitamkwi Russia mara kwa mara bali Putin [emoji23]

Af eti kuna vijana bado wanahisi Putin kakurupuka from no where kuvamia Ukraine

Na Russia kuingia hapo hadi stage aliyofikia hivi sasa kwa wenye mitizamo kama mie tunaona kama ni kaamua kutumia ile bait aliyokuwa anaandaliwa kuwabomoa wao wenyewe...

Angalia tu namna wanavyohaha sasa hivi. Na kibaya zaidi Putin na team yake ya sasa ni Unpredictable na ndicho kinawachowakosesha amani, wakati wanamwazia hivi ye anatokea vile, wakitoka pale walipokuwa wanamsubiri kwenda kwingine ye ndio anaibukia hapo.

Western is Falling [emoji23] no way!

Hayo maelezo kwenye ile post huko juu nimeyatoa makusudi kupiga ndege wengi kwa jiwe moja...

[emoji95] Kueleza wenzangu na mie kile ambacho tunachokiona kama tafsiri ya US kutaka kuirefusha hii Vita...

Nothing special just same old trick with old sh!t...

Kuvunjika kwa USSR kumeacha funzo kubwa kwa Russia ambalo baadhi tunaamini hawatokaa warudie makosa.

[emoji95] Kingine kuna kundi nilitaka kuwajuza kupitia hiyo post ni team flan hivi wanaishabikia ikiongozwa na Yule kiranja wao toka 2001 hadi 2021 hawajaambulia kitu hapo Afghanistan...

They failed so inashangaza much kuona wakimsema huyu mwingine ndani ya miezi miwili tu... Real battle sio Video game unakamata Pad unachezesha midoli kwenye TV.

[emoji95] Nikaongeza na Picha ya Osama ambae tumeishi tukiwambiwa ni Gaidi, kumbe waliwahi kumtumia mwanzo katika harakati zao za kuibomoa USSR... Tena vyombo vyao vya habari vikimpamba kwa kumwita ANTI SOVIET WARRIOR.. the same way kama wanavofanywa kwa huyu Comedian.

[emoji95] Na hiyo U Turn walioionesha kwa kwenda kupigana na lile lile kundi walilokuwa wanalifadhili awali tena kwa miaka 20 [emoji23] napata mashaka kuamini huwa kuna kitu kinaitwa Ugaidi kama wanavyodai.

Hii yajionesha kuna vikundi tu ambavyo huwa wanavitengeneza kwa maslah yao tu hamna lolote nyumbu hawa.

I do remember enzi zile za ISIS, some Patriots wanadai kua ISIS was created and organized by CIA... Na hii haileti kigugumizi kukubali kwa kuyatizama matendo yao.

Can you count ndani ya hii miaka 20 hapo Afghanistan zile Military Complex za US zimetengeneza pesa kiasi gani?
 
The Baltic States this year "especially" prepared for the Victory Day - bans on Soviet symbols and St. George ribbons, increased police patrols and proposals to demolish monuments.

Taking advantage of the Ukrainian events, the authorities of Latvia, Lithuania and Estonia tried to belittle the significance of this memorable date as much as possible and legitimize the Russophobic policy.

“The Baltic states are fighting not only with the geopolitical and ideological enemy in the person of Russia, but also with“ dissidents ”from among their own citizens,” said Boris Mezhuev, an associate professor at Moscow State University, in a conversation with RT.

According to him, the EU does not condemn such a course in any way, so as not to play into the hands of Russia, which is presented as a common enemy: “Therefore, all those forces that historically have a Russophobic orientation today enjoy freedom of maneuver.”
 
The Baltic States this year "especially" prepared for the Victory Day - bans on Soviet symbols and St. George ribbons, increased police patrols and proposals to demolish monuments.

Taking advantage of the Ukrainian events, the authorities of Latvia, Lithuania and Estonia tried to belittle the significance of this memorable date as much as possible and legitimize the Russophobic policy.

“The Baltic states are fighting not only with the geopolitical and ideological enemy in the person of Russia, but also with“ dissidents ”from among their own citizens,” said Boris Mezhuev, an associate professor at Moscow State University, in a conversation with RT.

According to him, the EU does not condemn such a course in any way, so as not to play into the hands of Russia, which is presented as a common enemy: “Therefore, all those forces that historically have a Russophobic orientation today enjoy freedom of maneuver.”
 
The RUTUBE website was subjected to a powerful cyber attack.

According to the press service of the video hosting, at the moment it is impossible to enter the platform, work to restore access to the service is already underway.
 
Putin said that the authorities will provide support to the children and families of the military who died during a special operation in Ukraine:

“The death of every soldier and officer is a grief for all of us and an irreparable loss for relatives and friends.

The state, regions, enterprises, public organizations will do everything to surround such families with care and help them.

We will give special support to the children of the dead and wounded comrades. The Presidential Decree has been signed
 
Negotiations between Russia and Ukraine have not been terminated, they are taking place remotely, Medinsky said.
 
The Russian ambassador to Poland was attacked, he was doused with red paint while trying to lay a wreath at the cemetery of Soviet soldiers in Warsaw, RIA Novosti reports.
 
Naomba majibu, hivi lengo ya huyu jamaa kwenda kuivamia Uraine ilikuwa lipi?
1. Kutaka kuiondoa Serikali ya wa- Uktraine na kupandikiza ya kwake
2. Kuyalinda majimbo mawili yaliyokuwa yamejitanga
3. Kutaka kuondoa harufu ya NATO karibu na himaya yake

Lengo ni lipi hasa? maana sasa yupo anahangaika tu pale kwenye yale yale majimbo yaliyokuwa yamekwisha jitenga kitu ambacho sidhani ndilo lilikuwa kusudi lake - kule kwingine wanaendelea kumfurushwa.

Leo kasema kwamba watu wa Magharibi wanataka kumletea chochochoko, ila leo kaongea na adabu kidogo.

Tuchangie matusi tuache.

Mrusi mkeleketwa akiwa Tanzania.
 
2 na 3
 
Uchambuzi mbovu kupata kutokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…