Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwa reply kama hii inaonesha wewe ubongo wako ni zero kabisaa. Ungekua ulikuja kwa hoja ningekujibu kwa hoja kwakua ulikuja na vihoja na mimi nakujibu kwa vihoja. Ndio ninamafunzo ya jeshi ndani ya 821KJ wewe ndugu yangu mafunzo yako ulipatia wapi??

Ulisema Russia ni bingwa wa Propaganda nikakuuliza naomba uniambie hizo propaganda ni zipi ili humu ndani JF nasisi tuzijue ndugu yangu na sio kubwekabweka kama mbwa koko. Naomba hoja zilizoshiba na mifano halisi.
Kaa kwa kutulia weye bulombora kwangu nikama nyumbani. Tatizo lako bado unahemka kwa mambo ambayo yanaitaji fact checking. The first move of russia invasion alipika propaganda kuwa anaenda kufanya operation but in fact she was going to war against ukraine. Point yangu nikuwa sio mimi wala wewe ambao tunapata access na information zinazotoko mojamoja front zaidi ya zile zinachapishwa na vyombo vya habari vya pande zote ambazo kwa wingi zimejaa propaganda. Kama unataka kehemka endelea tu maana yawezakuwa ndio uelewa wako ulipoishia
 
LoL!
Nimeogopa sana.
Hali ni tete kwa kweli.
Mungu aepushe hilo balaa.
No nuclear war no😩
Mkuu you are damn right,hali ni tete sana!Sijawahi kuona hali tete duniani kiasi hiki.The Cuban Missile Crisis ilikuwa cha mtoto.Mungu aingilie kati kwa kweli,otherwise for humanity there doesn't seem to be hope.
 
Sijamkejeli RTI

Tofauti ya kusoma na kusikiliza au kutazama ni kwamba unaposoma yule character unamtengeneza kwa namna yako mwenyewe.

Mfano: Ukiangalia filamu ya jitu la kutisha unakuwa unaliona linavyotisha huna cha kupunguza au kuongeza, Ila ukisoma kitabu cha jitu la kutisha mtunzi atakupa mwongozo wa lilivyo halafu wewe utaliumba hilo jitu akilini kwako na kwako linaweza likatisha kuliko lile ambalo mtunzi alilidhamiria au lisitishe kabisa. Its all on you.

Sasa mm nasoma namna watu wanavyoumba uwezo wa Russia na Nato ndani ya fikra zao ndo maana nikasema JF kuna burudani.
Ndio hivyo nchi ikisha kuwa na nyukilia imesha pata kinga ya maisha.
 
Kaa kwa kutulia weye bulombora kwangu nikama nyumbani. Tatizo lako bado unahemka kwa mambo ambayo yanaitaji fact checking. The first move of russia invasion alipika propaganda kuwa anaenda kufanya operation but in fact she was going to war against ukraine. Point yangu nikuwa sio mimi wala wewe ambao tunapata access na information zinazotoko mojamoja front zaidi ya zile zinachapishwa na vyombo vya habari vya pande zote ambazo kwa wingi zimejaa propaganda. Kama unataka kehemka endelea tu maana yawezakuwa ndio uelewa wako ulipoishia

Russia wapi katangaza vita zaidi ya operation?? Hio ndo propaganda?? Unajua maana vzr ya propaganda?? Huenda huna uelewa vzr na neno propaganda.
 
Victory Day Parade ndio imeisha dakika chache zilizopita, ilitumia kama dakika 50 hivi. Haikuwa na mambo mengi, silaha sio nyingi, wanajeshi kwenye parade sio wengi, manjonjo kiasi. Angani ndege na helikopta hazijapita wanasema hakukuwa na hali nzuri sana ya hewa.

Putin hajasema lolote la kutishia kama wengi walivyotarajia, alitoa hotuba ya kawaida ila kaitaja Marekani directly. Silaha kama MSTA self propelled howitzer, Bumerang APC, T14 Armata na T34 zilikuwepo.

Ni maadhimisho ya kawaida zaidi tangu nianze kuyatazama 2015
 
Sasa silaha zote zimeharibiwa Ukraine ulitegemea aoneshe kweli?

Hizo ndege kahofia wataalamu wanaweza ziteka na kuzielekeza kwake..
 
Russia wapi katangaza vita zaidi ya operation?? Hio ndo propaganda?? Unajua maana vzr ya propaganda?? Huenda huna uelewa vzr na neno propaganda.
Victim wakwanza kwenye uwanja wa medani ni ukweli, propaganda ni taarifa mbalimbali ambazo zinalengo la kupamba wazo flani au tabia ya kikundi cha watu. Taarifa zinaweza kwenda sambamba na picha au video ili kufikia lengo kwa haraka. Ndani ya uwanja wa medani propaganda hutumika kuchochea au kushusha morale ya askari walihopo ndani na nje ya uwanja wa vita. Katika vita ya kisasa lazima ushinde '' propaganda pressure " hapa ndipo tunaona media war Kati ya Russia na mabeberu. Kuna sehemu Russia alichapisha video ya propaganda kuonesha askari wake wakitoa msaada kwenye wiliya bucha baada ya vikosi kuondoka eneo lile pakaonekana kulikuwa na mauji ya halaiki. Kwenye hii vita kuna propaganda nyingi sana unaitaji kuwa critical thinker kujua ukweli au unaweza usijue ukaamua tu kuwa shabiki kijana wa mujibu wa sheria bulombora
 
Da ila wee jamaa kumbe ni mweupe sana ,ukweli Huwa sisomi komenti zako ila nimeona nijaribu kusoma hii nimegundua kumbe huijui Urusi vizuri.
Nikisema mweupe simaanishi wewe ni mjinga,namaanisha ni mtupu kwenye ufahamu juu ya Urusi.
Ukitaka kupinga, lete namba na vyanzo.
 
Victim wakwanza kwenye uwanja wa medani ni ukweli, propaganda ni taarifa mbalimbali ambazo zinalengo la kupamba wazo flani au tabia ya kikundi cha watu. Taarifa zinaweza kwenda sambamba na picha au video ili kufikia lengo kwa haraka. Ndani ya uwanja wa medani propaganda hutumika kuchochea au kushusha morale ya askari walihopo ndani na nje ya uwanja wa vita. Katika vita ya kisasa lazima ushinde '' propaganda pressure " hapa ndipo tunaona media war Kati ya Russia na mabeberu. Kuna sehemu Russia alichapisha video ya propaganda kuonesha askari wake wakitoa msaada kwenye wiliya bucha baada ya vikosi kuondoka eneo lile pakaonekana kulikuwa na mauji ya halaiki. Kwenye hii vita kuna propaganda nyingi sana unaitaji kuwa critical thinker kujua ukweli au unaweza usijue ukaamua tu kuwa shabiki kijana wa mujibu wa sheria bulombora

Naona unarukaruka kama chura ila bado unakwepa swali langu, umeandika ufaller tu na bado hujui propaganda vzr hapo mimi nikajua unakuja na propaganda za Russia wewe unakuja na mambo ya bucha ambayo kila mtu anajua ni propaganda.

Nilikuuliza Niambie propaganda za Russia hapo ukraine lakin hunipi majibu yaliyoshiba zaid ya kurukaruka tu. Endelea kuangalia tv hapo kwa shemeji mdogo wangu

Hizo media za west mpaka sasa zishapoteza ushawishi kwenye propaganda west mpaka sasa wamefeli kabisa.
 
Umedhihirisha upumbavu wako uliporopoka kuwa nguvu inayoongezeka ni kidogo. Thibitisha porojo yako hiyo kwa kutumia hesabu kuwa nguvu (momentum) inayoongezeka ni kidogo.

Mie nakuonesha kuwa momentum (nguvu) inayoongezeka ni kubwa zaidi kwa kutumia mfano wako wa bomu la 2 KT
View attachment 2217090

Pia mie nilikuonesha chanzo toka kwa watengenezaji wa bomu hilo la hypersonic kuwa lina nguvu zaidi ya uharibifu kutokana na spidi yake kuwa kubwa zaidi. Wewe waleta maneno ya kwenye kahawa yasiyo na sapoti yoyote.

Baada ya kufanya assignment ya kwanza hapo juu, lete chanzo kuthibitisha madai yako.
Pole kwakupoteza muda wako MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kuongezea hapa kwanini ukiwa against unakula ban kwenye social medias kama twitter, fb na instagram?? Ukipost kuhusu kinachoendelea ukraine wanakuban why?? watu wengi wakahamia telegram kutoa tarifa zao.
Wale MBWA wanajifanya kutetea uhuru wakutoa maoni kumbe hawana lolote NGURUWE wakubwa wale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona unarukaruka kama chura ila bado unakwepa swali langu, umeandika ufaller tu na bado hujui propaganda vzr hapo mimi nikajua unakuja na propaganda za Russia wewe unakuja na mambo ya bucha ambayo kila mtu anajua ni propaganda.

Nilikuuliza Niambie propaganda za Russia hapo ukraine lakin hunipi majibu yaliyoshiba zaid ya kurukaruka tu. Endelea kuangalia tv hapo kwa shemeji mdogo wangu

Hizo media za west mpaka sasa zishapoteza ushawishi kwenye propaganda west mpaka sasa wamefeli kabisa.
Wewe jamaa unaakili ndogo sana, nimekupa maana ya propaganda na msingi wake ndani ya uwanja wa medani lakini bado unakaza fovu, ukitoka mstari wa mbele nje kuna vita ya propaganda. Kuna kikundi cha checheny ambacho kinapambana bega kwa bega na Russia wanachapisha sana video za propaganda. Kuna picha zinachapishwa na vyombo vya russia kuonesha namna baadhi ya helicopter zao zinazofanya mashambulizi that is propaganda. Wakati rusia anaenda kuvumia ukraine alisema anaenda kuondoa wanazi ambao ni non existence mpaka kumuomba msamaha waziri mkuu wa Israel. Wewe jamaa wawapi mbona mjinga hivyo, bulombora hawapiti wajinga na waoga kama wewe doso lapale linazalisha wanaume ukweli sio waoga waoga na mashabiki maandazi.
 
america amesogeza rada ya kisasa ukraine jana labda anahofia hilo
Hizo radars za America hazina hiyo range ya kufikia Moscow, na hata hivyo akiziona ndege kwa namna yoyote bado hawezi zishambulia kwa umbali ule. Na angekuwa anaweza kuzishambulia bado asingefanya hivyo maana ingekuwa kutangaza vita na Urusi.

Marekani hawezi kuishambulia Urusi, atatoa silaha kwa Ukraine wapigane au ikibidi sana watapigania Ukraine ila sio kupigana ndani ya ardhi ya Urusi. Hiyo risk ni kubwa
 
Total Oil ban 👇

Screenshot_20220509-122925.png
 
Back
Top Bottom