Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

⚡️Briefing by Russian Defence Ministry

▫️The Armed Forces of the Russian Federation continue the special military operation in Ukraine.

💥High-precision air-based missiles of the Russian Air Force have destroyed weapons and military equipment from the USA and Western countries, as well as personnel of the AFU reserve units, delivered to Sol railway station near Soledar.

▫️In addition, 19 areas of manpower and military equipment concentration, 1 pontoon crossing for Ukrainian troops near Chuguyev and 6 missile and artillery weapon depots near Krasnaya Gora, Verkhnekamenka, Mayaki in Donetsk People's Republic, Novodruzhevsk in Lugansk People's Republic, Resnikovo and Nikolaevka in Kharkov Region have been destroyed.

✈️💥Operational-tactical and army aviation have hit 77 areas of concentration of manpower and military equipment.

▫️The attacks have resulted in the elimination of more than 380 nationalists and up to 38 armoured and motor vehicles.

💥Missile troops have destroyed 1 Osa-AKM anti-aircraft missile launcher near Nikolaev, 1 Smerch multiple rocket launcer near Soledar, and 1 air target detection radar station near Velyka Korenikha, Nikolaev region.

💥Artillery units have hit 6 command posts, 28 Ukrainian artillery units at firing positions, 179 areas of AFU manpower and military equipment concentration, as well as 2 ammunition depots.

💥Russian air defence means have shot down 1 Bayraktar-TB2 unmanned aerial vehicles near Zmeinyi Island.

▫️1 Su-25 of the Ukrainian Air Force has been shot down near Pogonovka, Kharkov Region.

▫️In addition, 2 Ukrainian UAVs have been destroyed over Mandrykino in Donetsk People's Republic and Peremozhnoe in Lugansk People's Republic.

📊In total, 157 aircraft and 116 helicopters, 768 unmanned aerial vehicles, 298 anti-aircraft missile systems, 2,933 tanks and other armored combat vehicles, 336 multiple launch rocket systems, 1,411 field artillery and mortars, as well as 2,758 units of special military vehicles of the Armed Forces of Ukraine were destroyed during the operation.

#MoD #Russia #Ukraine #Briefing
@mod_russia_en
 
H
Ndugu yangu you are misinformed ...Ni kweli wapo Warusi ambao ni Waukraine na ambao wako upande wa Zelensky..lakini siyo wengi...eneo Hilo la majimbo mawili ya Donetsk na Luhansk ambalo ndilo la Warusi ndani ya Ukraine lilikuwa linanyanyaswa na wale Azov waliopiga kambi huko for almost eight years...Na tayari Zelensky alishaamua kuwa kuwa maeneo yaliyokuwa yanashikiliwa na 'wapigania uhuru' wa majimbo hayo Ni lazima 'yakombolewe' na kuwateketeza 'wapigania uhuru' hao na kuendeleza mapambano na 'kuikomboa' Crimea...lakini kabla ya mpango huo kutekelezwa Russia ikawawahi...
Suala la Ukraine ni complex, siyo rahisi kulielewa kwa 'macho' ya kawaida na huku Western media zikipiga tarumbeta zao...
Na ukumbuke pia watu wengi wa majimbo hayo wamehamishiwa Russia kuwaepusha na kipondo kinachoelekezwa kwa majeshi ya Ukraine...baada ya Vita miji hiyo itaengwa Tena na Russia...yaani kutakuwa na Reconstruction kama USA and its allies walivyofanya huko Iraq baada ya Vita..
Hivi mkuu bado unahangaika na huyo au humjui hao ndo vibwengo wenyewe 😂😂😂
 
Au huenda ikawa "Price for sale" ya Eastern Ukraine ambayo katu haitorudi kwao.

Donbass cities swiftly change to Russian telecommunications, so hivi sasa no longer +380 tena bali +7... Huu upande wa East ndio ambao Oil na resources za Ukraine zimesheheni, without it, Huo upande wa Western Ukraine will be slaves to the west for the next century...

Kuna mdau mmoja alipost hapa Value ya Idadi ya assets zilizopo Russia zao hao Western, ziko worth more than half a Trillion dollar. Na ambazo Russia walisema watazichukua as retaliation endapo Western side wataamua kutorudisha hizo assets za nje za Russia walizochukua.

Sasa piga kwa hesab za kujumlisha na kutoa bado unarudi pale pale Western are LOOSING. Na Ukraine is totally destroyed. Na hapo katika hizo mali wanazodai wanataka kuzi'transfer kwenda Kyiv tusiwasahau wapigaji... Wazee wa katika 10 anakupa 3 zile 7 anaficha kibindoni.

Ila hapo kuna kitu kimenifurahisha kidogo... Assets alizonazo Sweden za Russia ni kidogo mno ukilinganisha na total foreign seized assets za Russia. Aliye na assets nyingi ni US ambazo ni more than $300B...

Sasa kama yuko serious na huo utopolo kwanini asipeleke yeye mwenye kingi kinyume chake anatoa command kwa mwenye kichache tena jiran wa Pua na mdomo na Russia??? Anatafuta nn [emoji23][emoji41]

Huwa nashangaa sana wanaojitia upofu kuuona huu unafiki na uchoko ***** wa Mmarekani [emoji52]
Wacha wee
 
Kwamba USA, EU na think tank wao woote wameamua kupoteza uchumi wa mataifa yao sababu ya jeuri, hii ndio hitimisho la kwann hawaachi iwapo mtego wa vikwazo na msaada kwa Ukraine umeback fire?
je si ajabu? Wataalamu wa nchi 30 + ni wajinga, ongeza wajinga wa Finland na Sweden wanaotaka kujiunga nao - na mtu 1 pekee anaonyesha hekima na utu na upole?
Ajabu Kweli!!! (ukiamini wanachosema hapa marafiki wa Putin..)
 
Duh..
heri ujifunze Warusi wa Ukraine ni Waukraine hawana hamu ya kuwa raia wa Rossiya (Россия - Urusi wa Putin). Walithibitisha hiyo katika kila uchaguzi. tena kura za Ukraine ni huru.
Warusi wa Ukraine ni wengi zaidi katika mashariki, ona jinsi walivyompigia kura Zelensky mwaka 2019! (na Zelenski mwenyewe ni "Mrusi" wa Ukraine - kirusi ni lugha yake ya kwanza).
Uchaguzi wa rais Ukraine 2019: Kijani - Zelensky, dhambarau: Poroshenko
View attachment 2217015
Kumbuka: tofauti na uchaguzi huko katika Rossiya ya Putin, hapa Ukraine ni huru.
...😀😁
 
je si ajabu? Wataalamu wa nchi 30 + ni wajinga, ongeza wajinga wa Finland na Sweden wanaotaka kujiunga nao - na mtu 1 pekee anaonyesha hekima na utu na upole?
Ajabu Kweli!!! (ukiamini wanachosema hapa marafiki wa Putin..)
Mkuu, wakati mwingine unasema ngoja niachane na kidogo ninachojua na niachane na kutumia logic ili nielekezwe, sasa unaanza kuuliza maswali, majibu unayopata sasa.
 
Ukubwa wa mdomo wako unapita mara nyingi uelewa wako. Je katika nishati ya mlipuko wa 2 KT tunajadili bomu ya uzito gani?? Ndiyo nguvu yake unaongezeka kidogo wakati wa kugonga kitu kwa kasi kubwa, lakini nishati hii haina maana ukilinganisha na nishati ya mlipuko wa 2 KT.
Ukiwa na ingine, acha maneno, lete chanzo. na lete tarakimu.
Umedhihirisha upumbavu wako uliporopoka kuwa nguvu inayoongezeka ni kidogo. Thibitisha porojo yako hiyo kwa kutumia hesabu kuwa nguvu (momentum) inayoongezeka ni kidogo.

Mie nakuonesha kuwa momentum (nguvu) inayoongezeka ni kubwa zaidi kwa kutumia mfano wako wa bomu la 2 KT
SmartSelect_20220508-193825_Samsung Notes.jpg


Pia mie nilikuonesha chanzo toka kwa watengenezaji wa bomu hilo la hypersonic kuwa lina nguvu zaidi ya uharibifu kutokana na spidi yake kuwa kubwa zaidi. Wewe waleta maneno ya kwenye kahawa yasiyo na sapoti yoyote.

Baada ya kufanya assignment ya kwanza hapo juu, lete chanzo kuthibitisha madai yako.
 
Wameanza kukumbuka shuka asubuhi

Europe cannot now refuse Russian gas, says Prime Minister of Greece

"We in Europe know very well that we are not in a position to impose sanctions that will ultimately harm us more than Russia, and Greece insists on this position," Kyriakos Mitsotakis said.

Earlier, the head of the European Council, Charles Michel, said that the EU now has no plans to abandon Russian gas.
 
Ahlan wa sahlan,

Ukiwauliza wenyewe humu watakwambia urussi imeivamia Ukraine kwa sababu ya kutaka kujiunga na NATO, sio kweli kabisa.
Ingekua kweli Urussi ingeanza kuivamia Estonia, Latvia na Lithuania waliojiunga na NATO mwaka 2004
 
Ahlan wa sahlan,

Ukiwauliza wenyewe humu watakwambia urussi imeivamia Ukraine kwa sababu ya kutaka kujiunga na NATO, sio kweli kabisa.
Ingekua kweli Urussi ingeanza kuivamia Estonia, Latvia na Lithuania waliojiunga na NATO mwaka 2004
Urusi kavumilia sana, hizo zilizojiunga akawa analalamika na kupeleka malalamiko yake UN ni kuonyesha uvumilivu mkubwa sana, sasa kama Ukraine ingejiunga nayo ingelikua ni kuzungukwa na maadui, pia kuna mkataba umevunjwa ndio maana kashindwa kuvumilia, akaona huu utakua ujinga
 
Hatimae yule Canadian star of Ukrainian propaganda maarufu kama Sniper wali fled to his homeland 🤗

Enzi hizo media zinatwambia “The best sniper in the world”, “immortal soldier” making him a hero of national propaganda na mfano wa kuigwa for all foreign mercenaries.... Sasa karejea nchini kwake 🙌

He is giving interviews that are disappointing for Kyiv.

💥 Katika Interview yake na jarida la "La Presse", Lavigne-Ortiz maarufu kama Wali admitted that he left Ukraine out of fear for his life and a desire to see his family.

💥 Wali swears kua in two months of hostilities he did not kill a single Russian soldier ila ajabu ni media zetu hizi kubwa zilikuwa zinatwambia kua anaua wanajeshi wa Russia 60 kwa siku.... Wali anadai was never on the front line and fired only at the windows of houses "to scare the enemy."

Earlier we wrote hapa kua hapo Ukraine Wali is engaged katika filming za propaganda tu hakuna jipya baadhi ya watu hapa wakaja na matusi ya ziada.

💥 Katika interview hiyo Sniper Wali confirms reports of appalling supply and treatment of foreign fighters.

According to him, the mercenaries had to independently obtain weapons and equipment, huku wakipokea chakula kutoka kwa civilians. Uko nyuma media zikatwambia Russia kaishiwa chakula hivo anaiba kwa Raia...

Anaendelea kusema kua "There are also problems with coordinating actions with the Ukrainian authorities - the officers of the Armed Forces of Ukraine simply do not know how to use mercenaries. Only the best foreigners are recruited by the SBU for special operations."

💥 Wali anaonesha kua disappointed in his journey hapo Ukraine anasema "the fighting in Ukraine is too different from the war in Iraq and Afghanistan"...

"Many volunteers expect it to be safe, but war is the exact opposite, it's a terrible disappointment"

💥 Haiishii hapo tu Wali also talks about the poor training of the Ukrainian army, ambayo significantly inapunguza its combat potential...

Anasema “Ukrainian soldiers suffer very heavy losses from shells and miss many opportunities because they lack technical knowledge."

"If the Ukrainians had the same capabilities with artillery as we have in Afghanistan, we could arrange a massacre.”

💥 Na alipoulizwa kama anataka kurejea tena Ukraine he admits that he still wants to return to Ukraine, but cannot leave his family ha ha ha 😂

Hii fairy tale about Wali, like other myths in the spirit of the “ghost of Kyiv”, turned out to be far from reality... Life liko speed sana.

Ukweli huwa haufichwi bali unacheleweshwa tu.

Mie na wewe tujiulize kama mambo yako hivo na yule Secretary wa NATO anaonya kua "Real Offensive ya Russia" haijaanza bado huku akionya Kyiv Regime wajiandae kwayo... Ikianza itakuaje???

Media are lying... Media are lying... Ukraine hali ni NGUMU ase. They should find alternative kwa hili jambo kuliko kukokea moto kila uchao.
 
IMG_20220508_201426_633.jpg

‼️German Chancellor Scholz stated literally the following: "Fear should not paralyze us. Putin will not win the war"‼️
His SS grandfather would be so proud of him
 
Umedhihirisha upumbavu wako uliropoka kuwa nguvu inayoongezeka ni kidogo. Thibitisha porojo yako hiyo kwa kutumia hesabu kuwa nguvu (momentum) inayoongezeka ni kidogo.

Mie nakuonesha kuwa momentum (nguvu) inayoongezeka ni kubwa zaidi kwa kutumia mfano wako wa bomu la 2 KT
View attachment 2217090

Pia mie nilikuonesha chanzo toka kwa watengenezaji wa bomu hilo la hypersonic kuwa lina nguvu zaidi ya uharibifu kutokana na spidi yake kuwa kubwa zaidi. Wewe waleta maneno ya kwenye kahawa yasiyo na sapoti yoyote.

Baada ya kufanya assignment ya kwanza hapo juu, lete chanzo kuthibitisha madai yako.
Hujaelewa bado KT si masi?? KT ni kifupi cha kiloton kwa maana: mlipuko wa bomu la nyuklia unalingana na mlipuko wa tani 1,000 za baruti kali ya TNT. Kwa hiyo ni kizio cha nishati ya 4.184 terajoules. Si masi !!!
 
Hujaelewa bado KT si masi?? KT ni kifupi cha kiloton kwa maana: mlipuko wa bomu la nyuklia unalingana na mlipuko wa tani 1,000 za baruti kali ya TNT. Kwa hiyo ni kizio cha nishati ya 4.184 terajoules. Si masi !!!
Unalifahamu Jukebox!?
 
Waonekana hujui lolote wewe, wanaotengeneza bomu wenyewe wanasema lina uwezo mkubwa zaidi wa kupenya na pia uwezo mkubwa zaidi wa kusababisha uharibifu ukilinganisha na bomu mfano wake ktk uzito ila spidi tofauti...

Yaonekana hufahamu hata effect ya Mass*Velocity, ndio tatizo la kujadiliana maswala ya silaha na watu waliosoma ungwini (HGL)

Kwa hiyo tuache maelezo ya watengeneza silaha tuchukue porojo zako wewe?!

Akili zingine bwana!
Wewe ndio hujamwelewa jamaa uliye m qoute. Hilo neno hiypesonic ndio mnaahindwa kuelewana. Ila mimi nimemwelewa.
 
Back
Top Bottom