Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,906
- 9,731
Wakati urussi ikivamia Ukraine 2014, walikua hawana mpango wa kujiunga NATO kabisa. Huo mpango uliiamshwa baada ya Crimea Invasion.Urusi kavumilia sana, hizo zilizojiunga akawa analalamika na kupeleka malalamiko yake UN ni kuonyesha uvumilivu mkubwa sana, sasa kama Ukraine ingejiunga nayo ingelikua ni kuzungukwa na maadui, pia kuna mkataba umevunjwa ndio maana kashindwa kuvumilia, akaona huu utakua ujinga