lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Tusi Gani nimetoa hapo?
Mbona nimeandika kiungwana sana?
Mweupe nimefafanua kua maana yake hajui.
Je kitokujua ni tusi?
Tusi Gani nimetoa hapo?
Haya bana.
hatujaona jibu lako mbali na kushambulia wasifu wakeTusi Gani nimetoa hapo?
Mbona nimeandika kiungwana sana?
Mweupe nimefafanua kua maana yake hajui.
Je kitokujua ni tusi?
Kwa kweli Yesu hakuuliwa na wayahudi Bali aliuliwa na Wamakua.Wayahudi Kukataa Yesu sio kesi watamalizana na Mungu ila hawakumuua Yesu Bwana wangu aliuawa na warumi
Mimi myahudi mtanzania ngozi nyeusi kwa kupitia Ibrahim baba yangu wa Imani ndio maana nimeleta mada sio kesi ukitaka kushukuru Mungu sawa usipotaka sawa tuachie wayahudi watoto wa Ibrahim kwa Imani ufanye hilo.
Aisee askari wa Ukraine walipata tabu sanaSniper Wali, yule sniper namba moja kwa ubora Duniani aliyeenda Ukraine kuisaidia Ukraine, anasema kwa muda wa miezi 2 aliyokaa vitani Ukraine wapiganaji wa Ukraine walikuwa wakienda vitani na njaa. Serikali ya Zelensky haikuwa ikiwapa chakula wala mafuta ya petrol kuendeshea magari vitani. Wapiganaji vita wa Ukraine waliishi kwa kutegemea kuwaomba raia wa Ukraine wawape msaada wa chakula na pia mafuta ya petrol.
Halafu Zelensky na shoga zake NATO pamoja na kina BBC, CNN n.k. wakawa wakipiga propaganda kuwa ati wanajeshi wa Russia ndio hawana chakula na mafuta, kumbe ni wanajeshi wa Ukraine ndio wenye ukosefu wa chakula na mafuta
=====
![]()
Retour du tireur d'élite Wali | « La guerre, c’est une déception terrible »
Deux mois après avoir répondu à l’appel du président Volodymyr Zelensky, le tireur d’élite Wali est de retour au Québec – indemne, bien qu’il ait failli y laisser sa peau « plusieurs fois ». Mais la plupart des combattants étrangers qui se sont rendus en Ukraine comme lui en sont revenus...www.lapresse.ca
View attachment 2217594
Jesus Mlokozi ,Lete updates mkuu,Sisi warusi wa naliendele tunaadhimisha V-day!🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺President of the Russian Space Agency: “If there is a nuclear war, we will wipe out NATO countries from the world in 30 minutes.”
Aisee ! Hii kauli ya hatari. NATO inaonekana hawajaelewa somo. Sasa sijui wanataka waambiweje.🇷🇺President of the Russian Space Agency: “If there is a nuclear war, we will wipe out NATO countries from the world in 30 minutes.”
Wewe jamaa akili yako ndogo Sana unaongea kwa kukaza shingo as if unapata habari moja kwa moja kutoka uwanja wa vita. Watu kama nyie ni hasara kwa taifa kuwa ni vibwengo kama wewe. Unafikili Russia hawezi kufanya propaganda ila western wanaweza. Ushabiki mwingine unatia kinyaa yaani unaona uharibifu wa miundombinu ya ukraine ndio ushindi wa Russia, ningekuona una akili angalau ungesema ukraine imevunjwa nguvu zote za ulinzi kiasi kwamba majeshi ya urusi yanasonga mbele with little resistance. My remarks, wanaume wa ukraine ni wanaume haswa wenye pumbu za chuma sio waoga kama wa sehemu flani wanaogopa mpaka panya roadHivi bado unaamini Russia anapambana na Ukraine?? Sio NATO??
Hizo propaganda za vifaru kurud nyuma sio kweli achana na propaganda dogo huko field Ukraine ana hali mbaya.
Ukraine ameilindaje nchi yake wakati kila siku Russia wanachukua miji huko upo serious kweli?? Na kumbuka Russia kasema hio miji haiji rudi ukraine ndo kwaheri nyie endeleni na propaganda sisi ni kazi tu.
Kaka malighafi anazo ila uwezo? (Siyo hata Tanzania kuna malighafi?).
Hadi sasa Putin ameleta vifaru vya kale kibao (T72, 80, hata T-64) . Wengine hapa wanadai hajaleta vifaa vipya kwa sababu ataleta baadaye.
Ila naona wengi wanaosema hajaleta kwa sababu hana. Maana vifaru vya T-90M vinasemekana hadi sasa viko chini ya 200 na hivi vipya T-14 Armata viko kwa paredi tu, idadi haizidi 40-50.
Vivyo hivyo ndegevita na roketi. Nimeona taarifa kwamba sasa Putin ameanza kurusha roketi za kushambulia manowari; ambazo zinaweza kulenga shabaha kwenye nchi kavu pia, lakini ni ghali mno. Watazamaji wanahisi sababu ni anaelekea kuishia roketi za cruse missile za kawaida.
Na bado Warossiya wanaogopa kutuma ndege juu ya Ukraine kwa sababu wameshindwa kudhibiti mifumo ya kushambulia ndegevita.
Uwezio ni zaidi kuliko malighafi. Silaha za kisasa zinahitaji eletroniki, ambako Urusi hadi juzi alitegemea kununua chipsi za kompyuta nje.
Hao mashetani wakiona binadamu wanafaidika na uhuru Instagram,watalazimisha kuuziwaYes rafiki, na hilo bado halitoshi kutia Alarm kwenye baadhi ya vichwa vya watu.
Ujue kwa mwanadam silaha kubwa aliyonayo ni akili yake. Sio Nuclear wala Hypersonic Missile kwani hizo zote ni Product ya akili yake. So once anapokuwa compromised and manipulated anakua hana tofauti na mnyama wa kufugwa anayesubiri command kutoka kwa mchunga wake.
Tumefika hatua ambayo majority katika sie tuko under control bila wenyewe kujua. Katika aspects nyingi za maisha hasa zile basic needs ziko monopolised. Kiasi cha kwamba aliye top ndio muamuzi wa kila jambo.
Our social life, yani almost everything kuanzia nini tunasikia hadi they way we think. Yah the way think?, why? Kwasababu kuna mahusiano makubwa ya kile macho yanaona na masikio yanachosikia katika uchakataji na utoaji wa maamuzi kwenye ubongo.
Kwa kifupi mfumo wote wa faham unategemea na kile kinachopokelewa na hii milango ya faham.
Hizo media kubwa ndio zile Giants tech companies zilizo under wale wale elites walioko nyuma ya US Government.
Jana kama sio juzi nilisema hapa kuhusu kauli ya H.W Bush na huyu Biden kuhusu NWO. Angalia Biden anaitisha kikao na CEOs wa kampuni zote kubwa hapo US. Kisha anawaeleza ujio wa NWO na kuwaambia kua "they" American should "take a lead"...
Ni hizo sentensi mbili tu zinatosha kukupa majibu ya nini kipo nyuma ya haya matendo yanayofanywa na hizi Taasisi tofauti tofauti kubwa duniani.
So hizo ban na kila aina ya Censorship inayofanywa ni katika mchakato ule ule wa kuhakikisha kile kinacholishwa kwenye bongo za watu kinaendelea kua under control ambayo ipo kwenye interest zao.
Wahenga wanasema "what you feed your mind become the real you" [emoji847]
Wacha tuendelee kujiachia Telegram tu nahisi ndio Mtandao mkubwa wa kijamii ulobaki huru hadi sasa...


I spoke to a US military contact Sunday afternoon and he told me directly:
On a FINAL NOTE:Wewe jamaa akili yako ndogo Sana unaongea kwa kukaza shingo as if unapata habari moja kwa moja kutoka uwanja wa vita. Watu kama nyie ni hasara kwa taifa kuwa ni vibwengo kama wewe. Unafikili Russia hawezi kufanya propaganda ila western wanaweza. Ushabiki mwingine unatia kinyaa yaani unaona uharibifu wa miundombinu ya ukraine ndio ushindi wa Russia, ningekuona una akili angalau ungesema ukraine imevunjwa nguvu zote za ulinzi kiasi kwamba majeshi ya urusi yanasonga mbele with little resistance. My remarks, wanaume wa ukraine ni wanaume haswa wenye pumbu za chuma sio waoga kama wa sehemu flani wanaogopa mpaka panya road
Maneno yanayopaswa kutamkwa na mwanaume. Tena mkamilifu. Asiyesalimia vivuli.[emoji635]President of the Russian Space Agency: “If there is a nuclear war, we will wipe out NATO countries from the world in 30 minutes.”
Huh nachopendea hawa jamaa huwa wanamaanisha wanachokizungumza [emoji23]... No Bullshitting but Sedate.[emoji635]President of the Russian Space Agency: “If there is a nuclear war, we will wipe out NATO countries from the world in 30 minutes.”
Hahah nilifanya kazi world vision miaka 5 pande hizo boss Hahah.Mzee wa shytown kabisa wewe!
Kuna hii Meme[emoji635]President of the Russian Space Agency: “If there is a nuclear war, we will wipe out NATO countries from the world in 30 minutes.”