mgen
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 23,255
- 9,174
Urusi njaa kali na anaibebea kwenye mfuko wa rambo[emoji56][emoji12][emoji12]Ahlan wa sahlan,
Ukiwauliza wenyewe humu watakwambia urussi imeivamia Ukraine kwa sababu ya kutaka kujiunga na NATO, sio kweli kabisa.
Ingekua kweli Urussi ingeanza kuivamia Estonia, Latvia na Lithuania waliojiunga na NATO mwaka 2004