Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wewe ndo boga kabisa hujui lolote kuhusu vita ukikaa kwa shemeji yako unaangalia movi za Hollywood unafikiri kila kitu kinakwenda kama movi hapa West walikamata watu wenye akili fupi kama wewe.

Kitendo cha Ukraine kukubali vita ipiganwe kwenye ardhi yake mpaka sasa yeye ni looser na kuharibiwa kwa majengo hayo ndo matokeo ya vita ulitaka majengo yasiharibiwe??? adui ajifiche kwenye majengo afu Russia acheke tu are you serious??

Umeongelea suala la kuvunjwa kwa nguvu za ulinzi Ukraine kwamba Russia anakutana na little resistance. Unajua mbinu za kupambana na adui?? unazifahamu mbinu za vita??wambie na Ukraine wafanye kama wanachofanya Russia kama wataweza, wanasaidiwa na NATO lakini bado hali mbaya wanajeshi wengi wa Ukraine wana salenda sijui unaongelea wanajeshi wapi mkuu.

Naomba uniambie Russia kafanya propaganda zipi mpaka sasa??

Ukini quote siku nyingine make sure una hoja na sio vihoja.
Huna akili ndio maana unaongea kama mtoto mdogo na hujui lolote kuhusu vita coz hata maelezo yako hayaelezi vita in its technical sense, unajifanya unaelewa sana as if una mafunzo yoyote ya kijeshi, ungekuwa ni military analysist tungeona ujengaji wako wa hoja, ungekuwa ni reporter tungeona captions zako zenye picha na video. Wewe unaonekana bado mtoto mdogo na kama ni mtu mzima basi kuna tatizo kichwani mwako. Huna objective information rather unalopoka tu kama kichaa wakati hata uwezo wa kushika hata fimbo upambane na mbweha huwezi.
 
Aminini nawaambia, Hakuna nchi mwanachama wa NATO hata mmoja alie tayari kupigana vita na Russia. Kwasababu NATO wanaujua vyema moto wa nuclear weapons kuliko sisi wakazi wa tandika na kibamba.

Hivyo basi hawapo tayari kupotezwa kwenye uso wa dunia ndani ya 30mins au kurudishwa nyuma kimaisha miaka 100 nyuma au kuishi maisha ya taabu kwa mamia ya miaka mbele kutokana na athari za nukes.

Ndo maana kila siku mnawaona wanaishia kubweka tu kwenye vikao vyao na kulialia kwenye vyombo vya habari bila kusogeza pua zao kwa mrusi.

USA na NATO siyo tu hawataki Vita na Mrusi bali hata against North korea au Irani hawawezi kuziguza kwasababu ya kutotaka kabisa madubwasha ya nukes kutua nchini mwao. Ndo maana Mr kiduku kila siku anatest mabomu yake mpaka yanafika eneo la japan mwanachama wa G7 countries na anaishia kulia lia tu bila hata kuchukua hatua yeyote dhidi ya ukorofi huo wa North korea.

Nchi yako ikiwa inamiliki magobole na mabomu ya kulipulia mawe hawa NATO na USA watajisaidia hadi mlangoni mwa ikulu yako na kipigo wanakutembezea tena mchana kweupe.
Jamii Forum kuna burudani sana😀
 
Jamii Forum kuna burudani sana[emoji3]
Usimkejeli alicho kisema kina mantiki kibwa sana nchi ikisha kuwa na silaha za nyukilia hauwezi kuiletea mazoea ya *******.
Hivi unadhani Ukraine ingekuwa na silaha za nyukilia Urusi ingethubu kufanya huu uvamizi?
Asinge thubutu hata siku moja angeishia kupiga kelele tu kama Marekani alivyo ufyata kwa N.korea.
 
Mkataba gani umevunjwa? Ninajua mkataba wa Helsinki wa 1974 ambako Urusi / USSR ilikubaliana na wengine wa Ulaya
1) mipaka ndani ya Ulaya isibadilishwe tena kwa nguvu
2) kila nchi ina haki kuamua yenyewe kama inataka kushirikiana au kutoshirikiana na nchi nyingine.

NATO hakuvamia nchi nyingine za Ulaya. Lakini nchi nyingi ziliogopa Urusi kwa sababu ziliwahi kuvamiwa na Urusi na kuwa koloni au nusukoloni za Urusi. (Kwa nini hakuna anayejua Urusi ilikuwa na himaya kubwa ya ukoloni???). Urusi ilivamia nchi nyingi tangu 1945.

Hivyo nchi nyingi zilizogopa Urusi ziliomba kupokelewa katika NATU na EU. Ni haki yao au hapana?? Je nchi ina haki kupatana wengine umoja wa kuteteana (si kushambulia)??
Yugoslavia ilivamiwa na baba yako sio?

We jamaa unajitia mjuaji sana.
 
Urussi kuivamia Ukraine ni kutokana na kibaraka wao kuondolewa madarakani na nafasi yake kuchukuliwa na raisi Pro- western. Wao walitaka kuitawala Ukraine kana kwamba bado iko USSR na hili ndilo lengo la Putin kwa nchi zote zilizokua kwa huo muungano.
Acha kupotosha.
 
Usimkejeli alicho kisema kina mantiki kibwa sana nchi ikisha kuwa na silaha za nyukilia hauwezi kuiletea mazoea ya *******.
Hivi unadhani Ukraine ingekuwa na silaha za nyukilia Urusi ingethubu kufanya huu uvamizi?
Asinge thubutu hata siku moja angeishia kupiga kelele tu kama Marekani alivyo ufyata kwa N.korea.
Sijamkejeli RTI

Tofauti ya kusoma na kusikiliza au kutazama ni kwamba unaposoma yule character unamtengeneza kwa namna yako mwenyewe.

Mfano: Ukiangalia filamu ya jitu la kutisha unakuwa unaliona linavyotisha huna cha kupunguza au kuongeza, Ila ukisoma kitabu cha jitu la kutisha mtunzi atakupa mwongozo wa lilivyo halafu wewe utaliumba hilo jitu akilini kwako na kwako linaweza likatisha kuliko lile ambalo mtunzi alilidhamiria au lisitishe kabisa. Its all on you.

Sasa mm nasoma namna watu wanavyoumba uwezo wa Russia na Nato ndani ya fikra zao ndo maana nikasema JF kuna burudani.
 
Acha kupotosha.
Twende taratibu, hivi vita vilianza 2014 na sio mwaka huu kama unavyodhania.
Ukraine kipindi hicho iliiongozwa na kibaraka wa Kremlin kwa jina Viktor yanukovych. Waukraine wakamuondoa madarakani kwa sababu alikataa kutia saini mkataba wa kuingia EU. Jamaa akasepa Moscow ambako anaishi mpaka Leo.
Putin alipoona hivyo, mbio mbio akaivamia Crimea akidai ni yao akisahau kwamba Crimea Tatars ndio wazawa halisi ambao walifurushwa 1945 na Joseph stallin.
Sasa baada kuona hakufanywa lolote 2014 alipovamia Ukraine na 2008 alipoivamia Georgia, akaona ajaribu kuteka Ukraine nzima apachike kibaraka mwengine lakini sote tumejionea alivyofeli.
 
Huna akili ndio maana unaongea kama mtoto mdogo na hujui lolote kuhusu vita coz hata maelezo yako hayaelezi vita in its technical sense, unajifanya unaelewa sana as if una mafunzo yoyote ya kijeshi, ungekuwa ni military analysist tungeona ujengaji wako wa hoja, ungekuwa ni reporter tungeona captions zako zenye picha na video. Wewe unaonekana bado mtoto mdogo na kama ni mtu mzima basi kuna tatizo kichwani mwako. Huna objective information rather unalopoka tu kama kichaa wakati hata uwezo wa kushika hata fimbo upambane na mbweha huwezi.

Kwa reply kama hii inaonesha wewe ubongo wako ni zero kabisaa. Ungekua ulikuja kwa hoja ningekujibu kwa hoja kwakua ulikuja na vihoja na mimi nakujibu kwa vihoja. Ndio ninamafunzo ya jeshi ndani ya 821KJ wewe ndugu yangu mafunzo yako ulipatia wapi??

Ulisema Russia ni bingwa wa Propaganda nikakuuliza naomba uniambie hizo propaganda ni zipi ili humu ndani JF nasisi tuzijue ndugu yangu na sio kubwekabweka kama mbwa koko. Naomba hoja zilizoshiba na mifano halisi.
 
Back
Top Bottom