ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 11,016
- 9,722
Eheeee huku ndio kupagawa
In Britain, against the backdrop of anti-Russian sanctions, electricity has risen in price for 83% of residents who pay monthly bills.
The Daily Mail writes about this, citing a study by the financial company GoCompare. In an attempt to find a way to spend less, up to two-thirds of study participants turned off their lights and appliances more frequently.
The publication analyzed the next tips for saving energy, but considered some of them to be myths. Among other things, people are advised to:
- when leaving the room, turn off the light;
- do not fill the kettle to the top;
- wash clothes at low water temperature;
- take a shower faster.View attachment 2215730
Hakuna Mkristo aweza vamia wayahudi kwa lipi ? wayahudi hawakuua Yesu.Unamaanisha tushukuru kwa ushindi wa Wayahudi dhidi ya Wakristo wahafidhina (Orthodox Christians)?
Wayahudi Kukataa Yesu sio kesi watamalizana na Mungu ila hawakumuua Yesu Bwana wangu aliuawa na warumiKwa kifupi wewe mtoa mada leo hii ni Mkristo kwasababu Wayahudi walimkataa Yesu, ukachukua nafasi yao. Sasa naposkia watu wana funga na kuomba kwaajiri ya Israeli, sjui wayahudi nasikitika mnoo!
Sniper Wali bado yupo... hajafa kuna video moja nimeiona jana akizungumza.Yule Sniper bora kabisa kutoka NATO nzima, aliyeenda Ukraine kwa mbwembwe, alishaaga dunia kitambo.
Chief.....Manowari ya Mrusi iliyozamishwa inajulikana kwa jina la Moscova.....na ndio ilikuwa meli kuu ya kirusi katika bahari nyeusi .....au iyo nyingine ni habari mpya ambayo sisi hatuna..
Binafsi naona intelligence ya Russia ilikuwa overrated. Wangekuwa na intelligence makini yasingetokea haya ya kuzamishwa kwa Meli zao mbili. Jamani kuzamishwa meli sio tukio dogo.Mkuu naiamin sana intelligence ya Russia hakuna kitu kama hiko na wakitaka nuclear itumike wafanye huo ujinga. Hakuna hata nzi wa kugusa hio parade