Mwanamkiwi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 2,023
- 2,402
Bwana wa Majeshi???My problem is which God of zelensky.
Bwana wa Majeshi???My problem is which God of zelensky.
kaka heri usimwige mtu anayesababisha fujo la aina hiyo. Anatuma jeshi dhidi ya jirani mdogo na baada ya miezi zaidi ya miwili bado mafanikio?? Pamoja na kubomoa uchumi wa taifa?? Kiongozi wa kuigwa kweli???Putin ni mtu mzuri sana, ni kiongozi wa kuigwa kwa dunia ya sasa, nyinyi hamumpendi kwa sababu mnasuport marekani ambao wao wanadamu za binaadamu wengi, wao ni chanzo cha migogoro yote duniani, sisi wenye akili tunawapongeza sana kwa kufyeka magaidi
Imani ni faraja kubwa. Penye imani kali hali halisi haidhuru. Hongera!Habari hizi ndio Huwa zinanipa raha.
Iskander" in the areas of the railway stations of Krasnograd and Karlovka, Kharkiv region, destroyed large accumulations of weapons and military equipment delivered from the United States and Western countries, as well as the personnel of units of the 58 motorized infantry brigade of the Armed Forces of Ukraine.
The Ukrainian Air Force is still active on the Eastern front - this Su-25 jet with interesting weaponry was captured flying over somewhere in the East recently.
We katoto unajua sniper bora wa NATO ni nani??? Mtaalamu wa utwita.Yule Sniper bora kabisa kutoka NATO nzima, aliyeenda Ukraine kwa mbwembwe, alishaaga dunia kitambo.
Hichi kiswahili mbona ni kama Roboti, wewe ni mbongo kweli mkuu?Putin anasemekana anahitaji kitu cha kutangaza kwa sherehe yake ya 9 Mei. Kiwanda cha Feleji cha Azov Steel inamsumbua. Baada ya miezi 2 bado hakufaulu kumaliza upinzani huko Mariupol.
(Binafsi ninashangaa, sikutegemea wanaendelea hadi leo)
Anataka kweli kutuma vijana wake kupigania kwenye vilindi chini ya kiwanda hicho??? Wafe ili apate kitu cha kujivunia?
Jamani.
Kwa nini asiwaache huko chini na kuridhika alikamata Mariupol asilimia 90 tu??
Kama alivyowashindia Watanzania tarehe 17/03Kuanzia leo usiku wa manane leo saa sita usiku hadi kesho usiku wa manane tumshukuru Mungu kuwashindia vita wayahudi wa Ukraine tusile chochote wala kunywa chochote
Tusiombe kuwa awashindie Mungu alishajibu watashinda tumwamwambie tu Mungu asante kwa kujali agano aliloongea na baba wa wayahudi Ibrahim ambaye ni baba yetu pia wa imani
Mimi roboti asilimia 120%Hichi kiswahili mbona ni kama Roboti, wewe ni mbongo kweli mkuu?
Ni kama google translate, mkuu nihibitishie wewe ni mbongo.
Ndo Vizur hivyo,The good news is that all women, children and elderly people from "Azovstal" have been evacuated[emoji110][emoji110][emoji110]
Deputy Prime Minister of Ukraine Irina Vereshchuk reported.
If this is true "Azov" have lost human shield(free builders for repairing and rebuildingDonbass)[emoji118]
Aisee,[emoji636][emoji1255] Briefing of the Russian Ministry of Defense (05/07/2022)
[emoji829]️ The Armed Forces of the Russian Federation continue a special military operation in Ukraine.
[emoji95] High-precision long-range air and sea-based weapons at military airfields in the areas of the settlements of Artsyz, Odessa and Voznesensk destroyed aviation equipment of the Ukrainian Air Force, including unmanned aerial vehicles, as well as aviation weapons.
[emoji95] Operational-tactical missile systems "Iskander" in the areas of the railway stations of Krasnograd and Karlovka, Kharkiv region, destroyed large accumulations of weapons and military equipment delivered from the United States and Western countries, as well as the personnel of units of the 58 motorized infantry brigade of the Armed Forces of Ukraine.
[emoji95] High-precision air-launched missiles of the Russian Aerospace Forces hit 42 areas of concentration of manpower and Ukrainian military equipment in the area of the Volcheyarovka settlement of the Lugansk People's Republic, as well as two ammunition depots in the area of the Seversk settlement of the Donetsk People's Republic.
[emoji95] Operational-tactical and army aviation hit 26 military facilities of Ukraine during the day. Among them: two command posts, 21 areas of concentration of personnel and military equipment, two ammunition depots and an artillery battery in firing positions. As a result of the strikes, up to 210 nationalists were killed, 39 units of weapons and military equipment were disabled.
[emoji95] In the area of the SNAKE island, a Ukrainian Su-24 bomber, a Su-27 fighter, three Mi-8 helicopters with troops and two Bayraktar-TB2 unmanned aerial vehicles were shot down in the air. The Ukrainian assault boat "Stanislav" was also destroyed.
[emoji95] During the day, missile forces and artillery hit 31 command posts and 245 strongholds, areas of concentration of manpower and military equipment of the Armed Forces of Ukraine.
[emoji408] In total, since the beginning of the special military operation, 154 aircraft, 115 helicopters, 764 unmanned aerial vehicles, 296 anti-aircraft missile systems, 2902 tanks and other armored combat vehicles, 333 installations of multiple launch rocket systems, 1378 field artillery guns and mortars, as well as 2728 units of special military vehicles.
#Ministry of Defense #Russia #Ukraine @mod_russia
Angetaka kuwa aggressive angewatia mabomu 5 tu ya saturn kisha shughuli ingeisha akiwa kaua 98% ya population. Hakushindwa hilo ila tu ametumia busara kuwa evacuate wananchi na kuwahamishia Russia kisha ndio analipua hilo eneo sababu mwanzo wanajeshi wa Ukraine walikuwa wanashikilia wananchi wenzao kama ngao kisha mrusi anashindwa kuwashambulia ila baada ya kuwahamishia raia ng'ambo tumeweza kuyafahamu mabomu ya hypersonic yana ufanisi gani😅😅😅 katika maangamizi.kaka heri usimwige mtu anayesababisha fujo la aina hiyo. Anatuma jeshi dhidi ya jirani mdogo na baada ya miezi zaidi ya miwili bado mafanikio?? Pamoja na kubomoa uchumi wa taifa?? Kiongozi wa kuigwa kweli???
Mbona kakimbia mapema wkt Vita haijaisha aisee? [emoji3]View attachment 2215538
The [emoji1063]military Vali returned home and told about what is happening in [emoji1255]
"I'm lucky that I'm still alive, death was close," he said in an interview to the publication "La Presse".
He returned home after being hit by tank fire.
He realised is not Iraq to fire at civilians
Walegee kivipi, buying without breaching sanctions ni kununua kwa Ruble mzee😅 hio ni technical language tu imetumika.
Ni wazi sasa USA ameamua kutia mguu sasa ngoja tuone kama putin ataitikisa USA maana si alisema yeyote atakaye ingilia chamoto ata kionaView attachment 2214717huko mnyamwezi anazidi kuweka vyombo....mamaee yaani lazima itajulikana wapi panavuja🤣🤣
Radia kusoma.kaka heri usimwige mtu anayesababisha fujo la aina hiyo. Anatuma jeshi dhidi ya jirani mdogo na baada ya miezi zaidi ya miwili bado mafanikio?? Pamoja na kubomoa uchumi wa taifa?? Kiongozi wa kuigwa kweli???
USA anatengeneza pesa tu hasaidii ukraine. Anajua siraha zinapigwa na russiaNi wazi sasa USA ameamua kutia mguu sasa ngoja tuone kama putin ataitikisa USA maana si alisema yeyote atakaye ingilia chamoto ata kiona
Ngoja kwanza tumalize wale wa kwenye kiwanda, ebu acheni kulia lia kama watotoMtu anapasuka huko full midamu Babu Putin anakimbilia mawe[emoji1787]