Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hakuna Mkristo aweza vamia wayahudi kwa lipi ? wayahudi hawakuua Yesu.

Mkristo yeyote popote alipo awe Russia au nchi yeyote au mshika dini dhehebu lolote la Kikristo ambako hiyo nchi yupo Raisi myahudi hawezi vamia nchi yenye Raisi myahudi awe orthodox Or whatever.

Wayahudi wengi sio wakristo lakini heshima toka kwa wakristo iko pale pale ndugu yao Yesu myahudi ndio alitupa ukristo

Putin kafiri
Hiv unajua jews wako wengi urusi tena waliomzunguka Putin uongozin ni jews. Ni kama iran vile
 
Kuanzia leo usiku wa manane leo saa sita usiku hadi kesho usiku wa manane tumshukuru Mungu kuwashindia vita wayahudi wa Ukraine tusile chochote wala kunywa chochote

Tusiombe kuwa awashindie Mungu alishajibu watashinda tumwamwambie tu Mungu asante kwa kujali agano aliloongea na baba wa wayahudi Ibrahim ambaye ni baba yetu pia wa imani
Kweli kabisa, taifa la Mungu Yehova libarikiwe.
 
vipi ushawahi kununua bangi kwenye hiyo mitaa
Maadili hayaniruhusu socially & religiously.
Ila naifahamu kwa harufu, kwa macho nimeiona siku moja tu kwa Askari Polisi mmoja nilikuwa ninaishi nae aliikamata wakati anatoka lindo. Badala ya kuipeleka kituoni yeye alikuja nayo nyumbani kwa sababu watuhumiwa hakufanikiwa kuwakamata walikimbia.
 
Hata Mimi Nina wasiwasi huenda kukatokea shambulio la kigaidi toka kwa wa Ukraine kwa ufadhiri wa USA
Ni jambo gumu sana, na kama ikitokea hakika jua Ukraine inaenda kuwa majivu yote, yaani maghara yataisha mabomu kwa tukio hilo ni sawa kumshika makalio putin alafu unajimwamba fai 😂😂😂 hii itakua Vita kamili. Na hata nuclear huenda ikatumika.
 
kwa taarifa kutoka vyanzo vya uhakika zinatanabaisha kuwa melivita ya Urusi(Admiral Makarov) iliyokuwa ikipambana na manazi huko bahari nyeusi imefanikiwa kurejea salama kwenye base yake huko Sevastopol, Crimea kinyume na ilivyodaiwa na vyombo vya habari vya magharibi vinavyotumiwa kama vifaa vya propaganda vya Ukraine kuwa jeshi la Ukraine limefanikiwa kuizamisha melivita hiyo kwa kutumia makombora yake ya Neptune
Jiongopee soma hapa[emoji116][emoji116]



 
Ukraine sio watu wazuri.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_2022-05-08-01-28-00-82_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
Back
Top Bottom