Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Au anakufananisha ma Mwanamkiwi 🤣🤣🤣Kama ID yangu eti uifananishe na Coco baby utakuwa unanikosea sana
Mungu awashindie mashoga!!!Kuanzia leo usiku wa manane leo saa sita usiku hadi kesho usiku wa manane tumshukuru Mungu kuwashindia vita wayahudi wa Ukraine tusile chochote wala kunywa chochote
Tusiombe kuwa awashindie Mungu alishajibu watashinda tumwamwambie tu Mungu asante kwa kujali agano aliloongea na baba wa wayahudi Ibrahim ambaye ni baba yetu pia wa imani
Kibaya zaidi wanawaombea Waisraeli mchongo.Kwa kifupi wewe mtoa mada leo hii ni Mkristo kwasababu Wayahudi walimkataa Yesu, ukachukua nafasi yao. Sasa naposkia watu wana funga na kuomba kwaajiri ya Israeli, sjui wayahudi nasikitika mnoo!
you are right. more correctly it was WFP.I'm curious how WHO promises to end hunger in the world. Isn't that supposed to be FAO's thing!?
Kweli kabisaMkuu tukio la kimataifa hilo hadi babu yao biden lazma aangalie[emoji28][emoji28] watu wazma wakiwa kazini. Macho na masikio yatakua Russia
Unajua kua Urusi inapambana na NATO?Binafsi naona intelligence ya Russia ilikuwa overrated. Wangekuwa na intelligence makini yasingetokea haya ya kuzamishwa kwa Meli zao mbili. Jamani kuzamishwa meli sio tukio dogo.
Sijakuelewa kabisa Yani.Imani ni faraja kubwa. Penye imani kali hali halisi haidhuru. Hongera!
Walipigwa "kata funua" kipigo Cha surprise [emoji16]View attachment 2216187
The Ukrainian marines did not prepare for combat operations in Mariupol - there was no such task, follows from the testimony of the captured chief of staff of the 36th Marine Brigade of the Armed Forces of Ukraine, Colonel Dmitry Kormyankov, the video of which was filmed in one of the settlements of the DPR
Usiwe na wasi wasi mzee.Hata kwenye gwaride askari wapo tayari kwa mapambanoBinafsi lakini sina imani na hii day naona kama kuna washenzi watachafua hali ya hewa
Ila acha tuone itakuaje maana sina mashaka na intell ya RUSSIA ila nafsi yangu tu ina walakini
Hawa US wanafiq sana hawa wale kenge wa EU wamefukuza waambata wa RUSSIA huko kwenye viinji vyao wakat Anti yao US hana habari
Ila haya wanamaamuzi yao ila haya maadhimisho haya mwaka huu mmh ila acha tuone
Kila la khairat kwa WARUSIA
Sent using Jamii Forums mobile app