Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

kwa taarifa kutoka vyanzo vya uhakika zinatanabaisha kuwa melivita ya Urusi(Admiral Makarov) iliyokuwa ikipambana na manazi huko bahari nyeusi imefanikiwa kurejea salama kwenye base yake huko Sevastopol, Crimea kinyume na ilivyodaiwa na vyombo vya habari vya magharibi vinavyotumiwa kama vifaa vya propaganda vya Ukraine kuwa jeshi la Ukraine limefanikiwa kuizamisha melivita hiyo kwa kutumia makombora yake ya Neptune
 
.
Screenshot_20220507-190845.jpg
 
Umeandika kama vile upo so excited
 
Kim Jong Un... Prezdaa mwenye fujo zake za kimya kimya 🤗😂

IMG_20220507_191012_164.jpg

North Korea tests ballistic missile ahead of Biden's visit to Seoul

🔹North Korea has reportedly fired a second ballistic missile in recent days after US efforts at the United Nations to impose further sanctions on Pyongyang and claiming it may be preparing for a nuclear test.
 
Sawa na hata alishindwa tutafanya analysis.
Nchi moja dhidi ya nchi 40,
Imewekewa vikwazo kuliko nchi yoyote chini ya Jua,aah sorry imewekewa vikwa vingi sana kuliko nchi yoyote duniani na angani.
Hivyo ikishindwa imeshindwa kihalali.
Lkn suala la kushindaa Broo ondoa

Vita kubwa kabisa ikiripuka hapa wote watakaa chini,yaani NATO na Urusi.
Hapa hakuna mswalia mtume.
Mimi ni mkatoliki na kiongozi wa jumuiya ya Mt Tito
Mimi nachotaka heshima iwepo Mambo ya kuburuzwa na US tumechoka.
 
we jamaa si ushajibiwa
umerudi ! Ulinikimbia kuna jamaa kajibu swali la kwanza kama ilivyotakiwa. We umeshindwa hata yalubaki hujajibu kama inavyotakiwa bla bla nyingi kama mwanzo upifeli basi yaliyobaki hutoyaweza. We si unakaza fuvu kifupi hii vita ipo kimaslahi zaidi ya ujuavyo. Hakuna cha kusema oooh kavamia nchi huru hata hao wanaomsaidia wanamaslahi hapo.
 
Binafsi lakini sina imani na hii day naona kama kuna washenzi watachafua hali ya hewa
Ila acha tuone itakuaje maana sina mashaka na intell ya RUSSIA ila nafsi yangu tu ina walakini
Hawa US wanafiq sana hawa wale kenge wa EU wamefukuza waambata wa RUSSIA huko kwenye viinji vyao wakat Anti yao US hana habari
Ila haya wanamaamuzi yao ila haya maadhimisho haya mwaka huu mmh ila acha tuone
Kila la khairat kwa WARUSIA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom