Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
🙏THANK YOU NATO🙏
Taken as trophies from the🇺🇦 in the Izyum region.
LPR and DPR are becoming more armed thanks to the WEST...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Unakili kweli Ndugu yangu?
Kifaru kimoja tu unavokiona ni Karibu na zaidi ya Billion 14 ya Tanzania na vingine ni Zaid hata mara 5.
Unaiona Ile Meli iliyozama?, Ni zaidi ya Billion 100 ya Tanzania...
Unaona yale makombora yote yanayotumika ni mamia ya mamilioni yanateketea Kila saa...
Zile Ndege zinazongushwa ni mamia ya Mabilioni ya fedha, Kila inarushwa kwenda Kufanya mashambulizi inatumia mamilioni ya Mafuta.
Mwaka 2014 jeshi la Tanzania lilitumia 20K kwa Kila Kuruta kwa Kila Siku ya Mungu, now fikiria mwaka 2022 Russia itatumia kiasi gani kwa Askari kamili?
Asilimia 40-60 ya gesi na Mafuta ya Urusi yanauzwa Ulaya ambayo inataka kuondokana na Utegemezi wake mwisho wa mwaka huu kwa zaidi ya 80%
India na China ndio watumiaji wengine wakubwa wa Fossil fuels lakini India anunua only less than 5% ya Mafuta ya Russia....
Please mkiwa mnatoa hoja muwege na some common senses, hakuna faida ya Kutumia pesa nyingi kupigana vita visivyo vya maana ukasema unapata Hasara ndogo uta recover...
Yaani una akili timamu Karne ya 21 unaenda kuvamia nchi unasema unaenda kuwalinda watu wanaongea Lugha Yako
Haya chukua uzito wa kinzhal ambao ni 4300 kg yenye speed ya 10 Mach, halafu onesha kuwa nguvu (momentum) inayochangiwa na speed hiyo ni kidogo tu kama ulivyoropoka huko mwanzoHujaelewa bado KT si masi?? KT ni kifupi cha kiloton kwa maana: mlipuko wa bomu la nyuklia unalingana na mlipuko wa tani 1,000 za baruti kali ya TNT. Kwa hiyo ni kizio cha nishati ya 4.184 terajoules. Si masi !!!
1. Russia ni taifa kubwa kuliko Ukraine, kiuchumi, kijeshi hata na kiushawishi.. so Russia by default anauwezo wa kuishambulia Ukraine kuliko yeye kushambuliwa.
2. Ukraine kwenye hii vita yeye amevamiwa, hajawahi kurusha hata jiwe Urusi, anachofanya yeye ni kujilinda na hataki kuwa chini ya ushawishi wa Russia na siasa zake.
3. Russia 24 Feb aliivamia Ukraine kwa kila njia unayoijua wewe kwenye vita na Putin akataka Askari wa Ukraine wajisarimishe na kuipindua serikali
4. Licha ya ugumu wote huu Ukraine ameweza kuilinda nchi yake, Russia alipeleka msafara wa vifaru km zaidi ya 64 lakini wote ulirudi nyuma, Leo ni karibu mwezi tangu Russia atangaze phase II lakini progress ni very sluggish , why Ukraine wasisifiwe kwa hili?
[emoji23][emoji23] Hatari...
Hapana Jamaa angu, na hatutegemei hata siku moja kuona "mtu mwenye jeuri" akikubali kushindwa. There's no way to defeat Russia in Ukraine, nao wanalijua hilo fika Lakin hawawezi kukubali kushindwa kamwe.
Jarib kuwatizama EU, Ona namna wanavotaka kufanya economical suicide kumkomoa Russia kisa Ukraine... Unaamini kweli ni kwasababu ya Ukraine ndio watake kwenda that far?
Duniani kote huwa tunaamini hakuna adui wala rafiki isipokuwa kwenye maslahi, na hii ndio hulka ya mwanadam. Sasa mie na wewe tuulizane kwanini wanataka kwenda this far katika mapigano yao na Russia?
Nchi za EU zinaongoza kwa Tax, na yote hii ni kwasabab nchi hizi hazina rasilimali za asili hivo pato kubwa la serikali linatoka kwa Raia wao. Mfano Denmark, France na Austria inaenda zaidi ya 50%... Na ni nchi tu kama Hungary, Czech na Estonia zenye lowest tax rate. Sizani kama na haja ya kukuelezea kodi ni nini.
Sasa angalia ukubwa wa hizo kodi kisha fikiria mfumuko wa bei za bidhaa unavowakamua Raia wa kawaida. Zote hizo ni outcomes za matendo ya viongozi wao kisha wanaisingizia Russia...
Katika kulielewa hilo chukulia mfano wa hapo TZ... bei za vitu zilivyopanda. Ongeza tozo za kila sampuli kisha piga hesab kwenye mshahara ule ule ambao haujaongezeka hata thumuni, 10k ya jana sio 10k ya leo.
Sasa huo Ugumu unaoufikiria ndio Ugumu unaowakumba Raia wa EU na Western kwa ujumla... na ni vitu ambavyo media inaficha haizungumzi. Na hawazungumzi kwasabab media zote kubwa zinafanya kazi za hawa walioko nyuma ya hizi "morons" tunaowaita viongozi.
Ni Raia hao wa nchi hizo wanayatamka pembeni, wanaugulia ila hawana jinsi. Viongozi wao hawapo kwa ajili yao wapo kwa ajili ya Master wao wanaemtumikia. So kushindwa ama kushinda kwao hawajali... What matters kwao ni kutengenza Crisis then through that Crisis wajanja wanatengeneza Pesa.
Kuna maandamano kila kukicha ila hayapewi headlines, hizi kauli za "Media are lying" hatuzitoi tandale... tunazitoa kwa Raia wa nchi hizo. Majuzi kati Huyo Papa wa Katoliki alinukuliwa akisema kua Harakati za NATO kwenye mipaka ya Russia ndio zimepelekea mzozo huo uliopo hivi sasa.
Hio taarifa haikupewa kipaumbele kabisa kwasabab haiwafurahishi wakubwa.
Kwa kifupi tu issue ya wao western kukiri kushindwa sizani kama kutatokea, wako ready ku'fight Russia to the last man Standing. Na wakishindwa Ukraine, watazua sehem nyingine na nyingine...
Na nirekebishe kauli vizuri... tatizo sio US bali hicho kikundi kilichopo nyuma ya serikali ya US ndio tatizo ulimwenguni. Binafs sio mdau sana wa hizi State Affiliated Media. Obviously ukijikita kwazo unakuwa much disinformed.
Ukitaka kuyaona ama kufaham mengi ya nje basi tengeneza Connection na watu wa kawaida tu kwenye maeneo unayotaka kujua habari zake ama fatilia yanayojiri ulimwengunki kwa waandishi wa habari wana harakati.
Halafu niongeze kidogo. Tulianza majadiliano kwa #38,140 ya extrovert aliyedai "angewatia mabomu 5 tu ya saturn kisha shughuli ingeisha akiwa kaua 98% ya population." kwa hiyo alijadili silaha za nyuklia.Hujaelewa bado KT si masi?? KT ni kifupi cha kiloton kwa maana: mlipuko wa bomu la nyuklia unalingana na mlipuko wa tani 1,000 za baruti kali ya TNT. Kwa hiyo ni kizio cha nishati ya 4.184 terajoules. Si masi !!!
Ndugu nirudie tu kukuonyesha ramani ya uchaguzi wa rais wa Ukraine mwaka 2019. Utaona maeneo penye Warusi wengi katika ukraine Zelensky alipata kura nyingi. Katika magharibi ambako watu wanaoongea Kirusi ni wachache, alipata kura chache.Ndugu yangu you are misinformed ...Ni kweli wapo Warusi ambao ni Waukraine na ambao wako upande wa Zelensky..lakini siyo wengi...eneo Hilo la majimbo mawili ya Donetsk na Luhansk ambalo ndilo la Warusi ndani ya Ukraine lilikuwa linanyanyaswa na wale Azov waliopiga kambi huko for almost eight years...Na tayari Zelensky alishaamua kuwa kuwa maeneo yaliyokuwa yanashikiliwa na 'wapigania uhuru' wa majimbo hayo Ni lazima 'yakombolewe' na kuwateketeza 'wapigania uhuru' hao na kuendeleza mapambano na 'kuikomboa' Crimea...lakini kabla ya mpango huo kutekelezwa Russia ikawawahi...
Suala la Ukraine ni complex, siyo rahisi kulielewa kwa 'macho' ya kawaida na huku Western media zikipiga tarumbeta zao...
Na ukumbuke pia watu wengi wa majimbo hayo wamehamishiwa Russia kuwaepusha na kipondo kinachoelekezwa kwa majeshi ya Ukraine...baada ya Vita miji hiyo itaengwa Tena na Russia...yaani kutakuwa na Reconstruction kama USA and its allies walivyofanya huko Iraq baada ya Vita..
Yes rafiki, na hilo bado halitoshi kutia Alarm kwenye baadhi ya vichwa vya watu.Kwa kuongezea hapa kwanini ukiwa against unakula ban kwenye social medias kama twitter, fb na instagram?? Ukipost kuhusu kinachoendelea ukraine wanakuban why?? watu wengi wakahamia telegram kutoa tarifa zao.
"Kwa wale baadhi katika sie ambao mind zetu zimejikita na zinaamini baada ya Mungu ni Mzungu hatuezi elewana kamwe nini kile tunachojaribu kukisema"Taarifa zingine za kuhuzunisha...
Another Baltic state suffering consequences of Russian sanctions. Estonia inflation now 18.8%.
Electricity prices risen 119% and gas by 237.2%. Gasoline by 32.5% and diesel 48.6%. Potatoes 134%, vegetable oil 57%, cereals and pasta by 38%.
Hizo asilimia ili zieleweke kwa walio wengi tufanye hivi, Lel say bei ya kila kitu tajwa hapo juu ni 1000... Kwa mfumuko wa bei kwa hizo asilimia maana ake ni kwamba.
1. Bei ya Umeme kutoka 1000 hadi 2190.
2. Gas kutoka 1000 hadi 3372.
3. Gasoline kutoka 1000 hadi 1325
4. Diesel kutoka 1000 hadi 1486
5. Potatoes kutoka 1000 hadi 2340
6. Vegetable Oil kutoka 1000 hadi 1570
7. Cereal and Pasta kutoka 1000 hadi 1380.
Hiyo 1000 nimeitumia kama Illustration kuonesha hizo asilimia zikoje. Sasa fikiria unakaa kwenye nchi ambayo individual tax inafika up to 50%... Hii ni kama mnagawana kipato na serikali yako.
Kwa wenye akili timamu mnaeza feel hali iliyopo kwa Raia wa kawaida ilivo dhidi ya maamuzi yanayofanywa na viongozi wao.
Kwa wale baadhi katika sie ambao mind zetu zimejikita na zinaamini baada ya Mungu ni Mzungu hatuezi elewana kamwe nini kile tunachojaribu kukisema.
Tunamnukuu Henry Kissinger once said kua "It may be dangerous to be America's enemy, but to be America's friend is fatal"....
Na hiki ndicho tunachokishuhudia hivi sasa.
nimefuatilia kidogo habari hii. Kama kawaida Mathanzua ana mwaga copy-paste yake bila kujali uwezekano wala ukweli (jinsi hufanya mara kwa mara - kumbuka hadithi zake za "Khazarian Mafia")Canadian Army Lt. General Allegedly Captured in Mariupol Ukraine
![]()
Unconfirmed reports, from various sources in Ukraine and Russia, claim that Canadian Forces Lt. General Trevor Cadieu has been captured by Russian Forces in Mariupol.
His capture allegedly occurred while he was attempting to escape the encircled Azovstal steel mill facility, through a sewer pipe.
If this report is confirmed, readers should be aware this guy is no average grunt going on an adventure. He was a Brigadier General and “retired” days before being promoted to the highest role in the Army.
UPDATE 9:43 AM EDT --
Additional unconfirmed CLAIMS have now surfaced which allege Lt. General Trevor Cadieu has been taken to Moscow to stand trial. He was also ALLEGEDLY in charge of Biolab No. 1, where 18 people worked with deadly viruses
WARUSI WAMABONDENI NDANI NDANI.
TUNAWAKARIBISHA UKRAIN AMANI IPO YA KUTOSHAView attachment 2217206
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
ndugu una kweli dhana za kitoto vile?? Yale unayotaja ni silaha za nyuklia. Hujui kweli kwamba hatazitumia?? Maana anajua hana njia za kusimamisha majibu. Na pia hana nia ya kurithi ardhi inayojaa mnururisho hata kuwa hatari kwa maeneo ya Urusi ??
Unaamini kweli hadithi hizi kwamba Ukraine inalazimisha wananchi wake kubaki kama ngao? Wanawazuia namna gani?
Halafu acha mambo hayo ya "hypersonic". Huelewi maana yake? Kama roketi inaitwa hypersonic, haina maana kwamba inaleta uharibifu mkubwa kuliko roketi ya subsonic. Bomu la 2 KT ni bomu la 2 KT, kama unaifikisha kwa hypersonic au kwa tolori. "Hypersonic" inahusu tu kasi ya chombo.
Austria imekataa kuweka zuio la kununua gesi ya Russia, na pia imesema haitaki na wala haioni maslahi yoyote yale kujiunga na NATO (Umoja wa nchi dhaifu 30 zinazolalamika kuonewa na nchi moja ya Russia).
View attachment 2217227
View attachment 2217223