Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Okey mkuu, umekuja kiutofauti kabisa na umeonyesha uhalisia wa tatizo kuwa ni USA na si Ukraine na Ukraine si adui kwa Urusi bali nia ya USA ni kupigana na Urusi nje ya ardhi yake.

Swali: Kama upo sahihi( Na mm naamini USA anataka vita iendelee kwa sababu anachokifanya ni kusaidia vita iendelee) Je, unakubali kuwa urusi asipotangaza vita vya moja kwa moja na USA atakuwa ni mshirika wake katika kutafuta eneo la kupigana nje ya ardhi yake?
Kwamba USA na Urusi huenda hawana tofauti bali ni bullies tu wanaoangalia namna ya kugawana keki ya dunia kwa kuwaaminisha wanadunia wengine kuwa wao ni maadui?

Kama sivyo, ni kwann ampe USA jambo analotaka? Vita vya muda mrefu ndani ya ardhi ya Ukraine nchi ambayo si adui kwake?

Au na yeye ni dhaifu kwa kiwango cha USA kumzidi akili kwa kumbananisha kwenye sehemu ambayo hana ujanja ni lazima acheze ngoma USA anayoipiga ndani ya ardhi ya Ukraine?
Swali lako zuri, sijuwi how much uko detailed kwenye hizi issue za nje...

Kama uko deep utakubaliana na mie kua Western Empires is Falling, tena wanadondoka kwa speed ya 5G.

Western wamepunic tena sana, na njia ya pekee ya kumdhibiti Russia katika kulinda Hegemony yao labda ni kwa kuingia Third World War wapigane Nukes kieleweke [emoji23]

Lile jaribio la wao kuiporomosha Russia kiuchumi hivo kivita lime'fail pakubwa mno.

Sio maneno yangu bali maneno ya wachambuzi wasioshikana upande wowote wanakueleza hivi kua "US na team yake walitegemea kuuvunja vunja uchumi wa Russia, hivo kuleta punic kwa wananchi... then kuzuke chaos washinikize kumuondoa Putin madarakani, then katika Transition ya Power waweze kueka kiongozi wanaemtaka kama walivyofanya kwa Yeltisn miaka hiyo"

Katika kitu ambacho hawakukitarajia ni hiyo counter attack waliyopewa na Russia, Russia imeweza kuresist Economical Shock na wataenda kua Strong zaidi ya walivyo.

Pia naweza kataa maneno yako kua Russia hakuwa weak kuingia kwenye mtego wao... Kwa wenye uelewa juu ya hili jambo na wanao litizama nje ya kile kilichopo Ukraine tunaamink kua Russia na team yake nyuma ya Pazia hapa na maana ya (China na India hasa hasa China) katumia bait aliyowekewa kuiteketeza hii Western Empires...

Hii ipo kama mvuvi aliyetega ndoano kuvua Nyangumi baharini ajabu akavutwa na huyo Nyangumi kwenye maji kupitia ndoano yake.

Ukitaka kuelewa hili na how...
Tizama uchumi wa US unavoporomoka huku wa China ukikua kwa Speed hasa ndani ya hii quarter ya kwanza.

Tizama Ushawishi wa US unavofifia duniani kote day hadi day...

Angalia sarafu ya dollar inavozidi shika speed kwenye mteremko...tena hapa nasikia Uko Iran na Indonesia wamekubaliana kufanya biashara zao kwa their national currency... na Hii trend inaonesha itaendelea kwenye mataifa mengi zaidi.

Mambo mengi mda mchache ila ndio nakwambia hivo jamaa angu Western is Falling no way... Na Western is being trapped kwenye mtego walioutengeneza wenyewe...

Unaweza rudi juu huko sikumbuki ni post ya ngapi nilitoa maoni yangu ya kwanini nahisi hii OP Russia nae azidi kuichelewesha.
 
Okey maelezo yako yako wazi na yanaeleweka sana, lakini kila unaponielewesha napata swali lingine:

Kama USA na West wameingia choo cha kike na mtego wao unawatafuna wenyewe, ni kwanini hawaachi kufanya wanachokifanya?

Kwann wanaendelea kutoa msaada kwa Ukraine? Kwann hawasitishi vikwazo vyote walivyompa Urusi na kujipanga upya ili kusitisha madhara yanayowarudia?

Kwa kawaida ukimpiga mtu na fimbo ya mkono halafu mkono wako ndio ukavunjika badala ya mkono wake, huwezi endelea kuupiga ule mkono. Utaacha kupiga na utajiuliza ni nn kimetokea?😳

Nikiri, sipo deep na haya masuala, natumia tu logic ya binadamu ambaye ana avarge IQ.
Nyamizi na pro nato wengine na wote tulio against putin, kuna darasa linatolewa, embu twendeni naye taratibu tuuone mwisho wake kama kuna hoja zenye ushawishi.
 
Angetaka kuwa aggressive angewatia mabomu 5 tu ya saturn kisha shughuli ingeisha akiwa kaua 98% ya population. Hakushindwa hilo ila tu ametumia busara kuwa evacuate wananchi na kuwahamishia Russia kisha ndio analipua hilo eneo sababu mwanzo wanajeshi wa Ukraine walikuwa wanashikilia wananchi wenzao kama ngao kisha mrusi anashindwa kuwashambulia ila baada ya kuwahamishia raia ng'ambo tumeweza kuyafahamu mabomu ya hypersonic yana ufanisi gani😅😅😅 katika maangamizi.
ndugu una kweli dhana za kitoto vile?? Yale unayotaja ni silaha za nyuklia. Hujui kweli kwamba hatazitumia?? Maana anajua hana njia za kusimamisha majibu. Na pia hana nia ya kurithi ardhi inayojaa mnururisho hata kuwa hatari kwa maeneo ya Urusi ??
Unaamini kweli hadithi hizi kwamba Ukraine inalazimisha wananchi wake kubaki kama ngao? Wanawazuia namna gani?
Halafu acha mambo hayo ya "hypersonic". Huelewi maana yake? Kama roketi inaitwa hypersonic, haina maana kwamba inaleta uharibifu mkubwa kuliko roketi ya subsonic. Bomu la 2 KT ni bomu la 2 KT, kama unaifikisha kwa hypersonic au kwa tolori. "Hypersonic" inahusu tu kasi ya chombo.
 
Mafanikio huwezi kuyaona humu jf kaka[emoji16], hasa ukiwa na ushabiki wa UNato, mnasema jirani mdogo ila mko taari kuona ni taifa linalotumikiwa na nchi za Nato kuidhuru Urusi, mlikua mnafurahi leo warusi wa Crimea kushambuliwa au warusi wanaishi nchini Ukraine kushambuliwa?? Ktk operations inayoendelea Urusi analinda usalama wake, Operations itaendeleaView attachment 2216247
Kaka siwezi kufurahia kama Warusi nchini Ukraine wanashambuliwa. Wanashambuliwa na jeshi la Putin. Hujajiuliza kwa nini miji ambayo ni Kirusi kiutamaduni na kilugha inajitetea kwa nguvu vile dhidi ya jeshi la Putin? Kwa nini maeneo hayo yote (isipokuwa labda Krim) yalipigia kura uhuru wa Ukraine, Zelensky kama rais na kutoshikamana na Putin??
Ukraine ina 1/4 raia ambao lugha ya kwanza ni Kirusi, tena idadi kubwa wanaojua lugha zote mbili. Ila wanaona ni Waukraine Warusi, si Wanarossiya.
 
Kamanda mkuu wa kikosi cha Marine wa jeshi la Ukraine Colonel Volodymyr Baraniuk aliyedakwa na majeshi ya Russia alipojaribu kutoroka toka mafichoni Mauripol asema kuwa Kyiv iliwadanganya kikosi chake kilichokuwa kimejificha kwenye mashimo Mauripol kuwa wasijisalimishe wanatumiwa kikosi kingine kuwaokoa...ila hakuona kikosi chochote toka Kyiv kilileta pua kwa wajeda wa Russia

Hii vita Mrusi inaifilisi USA ukitazama Kila ikichelewa Mrusi anazidi watia hasara. Mrusi hasara Hana zaidi ya wanajeshi wake tu. Silaha anazotumia zote zinalipwa na faida ya bei ya gas na oil sababu sa ivi mafuta na gas bei zipo juu.
Hakuna vita duniani haina hasara acha ushabiki wa kijinga na wakitandale wewe be a MAN
 
Hana uwo uwezo wewe hata yeye uchumi anapigika my son yuko anasoma Urusi wanakosa mkate sasa madukani mpaka mline up na hela uwezi kumtumia na kutoa bank ni kama 10,000 ya Tz tu kwa siku unaruhusiwa so what is the point ya yeye kupigana muda mrefu so rubbish
Na unasema una mtoto Urusi aseee .... Jaribu kuficha upumbavu wako kidogo ....
 
Kaka siwezi kufurahia kama Warusi nchini Ukraine wanashambuliwa. Wanashambuliwa na jeshi la Putin. Hujajiuliza kwa nini miji ambayo ni Kirusi kiutamaduni na kilugha inajitetea kwa nguvu vile dhidi ya jeshi la Putin? Kwa nini maeneo hayo yote (isipokuwa labda Krim) yalipigia kura uhuru wa Ukraine, Zelensky kama rais na kutoshikamana na Putin??
Ukraine ina 1/4 raia ambao lugha ya kwanza ni Kirusi, tena idadi kubwa wanaojua lugha zote mbili. Ila wanaona ni Waukraine Warusi, si Wanarossiya.
Kisanga kilianza pale Yule aliekua rais wa Ukraine kupinduliwa na mamluki wa Nato, Urusi kitu kile hakukubaliana nacho, tusisahau Urusi kivyovyote ktk history ya Ukraine anahusika pakubwa, tena yeye ndie alieijenga Ukraine
 
Hii vita Mrusi inaifilisi USA ukitazama Kila ikichelewa Mrusi anazidi watia hasara. Mrusi hasara Hana zaidi ya wanajeshi wake tu. Silaha anazotumia zote zinalipwa na faida ya bei ya gas na oil sababu sa ivi mafuta na gas bei zipo juu.
😂😂😂😂 Unakili kweli Ndugu yangu?

Kifaru kimoja tu unavokiona ni Karibu na zaidi ya Billion 14 ya Tanzania na vingine ni Zaid hata mara 5.

Unaiona Ile Meli iliyozama?, Ni zaidi ya Billion 100 ya Tanzania...

Unaona yale makombora yote yanayotumika ni mamia ya mamilioni yanateketea Kila saa...

Zile Ndege zinazongushwa ni mamia ya Mabilioni ya fedha, Kila inarushwa kwenda Kufanya mashambulizi inatumia mamilioni ya Mafuta.

Mwaka 2014 jeshi la Tanzania lilitumia 20K kwa Kila Kuruta kwa Kila Siku ya Mungu, now fikiria mwaka 2022 Russia itatumia kiasi gani kwa Askari kamili?

Asilimia 40-60 ya gesi na Mafuta ya Urusi yanauzwa Ulaya ambayo inataka kuondokana na Utegemezi wake mwisho wa mwaka huu kwa zaidi ya 80%

India na China ndio watumiaji wengine wakubwa wa Fossil fuels lakini India anunua only less than 5% ya Mafuta ya Russia....

Please mkiwa mnatoa hoja muwege na some common senses, hakuna faida ya Kutumia pesa nyingi kupigana vita visivyo vya maana ukasema unapata Hasara ndogo uta recover...

Yaani una akili timamu Karne ya 21 unaenda kuvamia nchi unasema unaenda kuwalinda watu wanaongea Lugha Yako
 
Mimi sina knowledge ya masuala ya kivita. Ila nimepata elimu kubwa sana kwa kupitia mabandiko ya wajuvi wa haya mambo humu ndani.
Kuhusu hii vita kwa muono wangu naona yanayozungumzwa humu is like Russia nao wanahali ngumu. Ila kila nikisikiliza vyombo vya habari km Aljazeera inaonesh Uclain wanapata shida sana. Vifaa vita vinakuwa destroyed massively. Habari ya leo naona wanasema pamoja na kudestroy alot of missels wame destroy warships 2 za uclain na wamerusha makombora mandari huko Odesa.

20220508_170733.jpg
 
Kaka siwezi kufurahia kama Warusi nchini Ukraine wanashambuliwa. Wanashambuliwa na jeshi la Putin. Hujajiuliza kwa nini miji ambayo ni Kirusi kiutamaduni na kilugha inajitetea kwa nguvu vile dhidi ya jeshi la Putin? Kwa nini maeneo hayo yote (isipokuwa labda Krim) yalipigia kura uhuru wa Ukraine, Zelensky kama rais na kutoshikamana na Putin??
Ukraine ina 1/4 raia ambao lugha ya kwanza ni Kirusi, tena idadi kubwa wanaojua lugha zote mbili. Ila wanaona ni Waukraine Warusi, si Wanarossiya.
Ndugu yangu you are misinformed ...Ni kweli wapo Warusi ambao ni Waukraine na ambao wako upande wa Zelensky..lakini siyo wengi...eneo Hilo la majimbo mawili ya Donetsk na Luhansk ambalo ndilo la Warusi ndani ya Ukraine lilikuwa linanyanyaswa na wale Azov waliopiga kambi huko for almost eight years...Na tayari Zelensky alishaamua kuwa kuwa maeneo yaliyokuwa yanashikiliwa na 'wapigania uhuru' wa majimbo hayo Ni lazima 'yakombolewe' na kuwateketeza 'wapigania uhuru' hao na kuendeleza mapambano na 'kuikomboa' Crimea...lakini kabla ya mpango huo kutekelezwa Russia ikawawahi...
Suala la Ukraine ni complex, siyo rahisi kulielewa kwa 'macho' ya kawaida na huku Western media zikipiga tarumbeta zao...
Na ukumbuke pia watu wengi wa majimbo hayo wamehamishiwa Russia kuwaepusha na kipondo kinachoelekezwa kwa majeshi ya Ukraine...baada ya Vita miji hiyo itaengwa Tena na Russia...yaani kutakuwa na Reconstruction kama USA and its allies walivyofanya huko Iraq baada ya Vita..
 
Halafu acha mambo hayo ya "hypersonic". Huelewi maana yake? Kama roketi inaitwa hypersonic, haina maana kwamba inaleta uharibifu mkubwa kuliko roketi ya subsonic. Bomu la 2 KT ni bomu la 2 KT, kama unaifikisha kwa hypersonic au kwa tolori. "Hypersonic" inahusu tu kasi ya chombo.
Acha blaa blaa

SmartSelect_20220508-165341_Chrome.jpg
 
Kisanga kilianza pale Yule aliekua rais wa Ukraine kupinduliwa na mamluki wa Nato, Urusi kitu kile hakukubaliana nacho, tusisahau Urusi kivyovyote ktk history ya Ukraine anahusika pakubwa, tena yeye ndie alieijenga Ukraine
Kaka hujui kwamba rais wa Ukraine aliondolewa na bunge la Ukraine tarehe 22 Februari 2014 ?? Mamluki gani?? Wabunge 328 walipiga Ndiyo, hakuna aliyepinga kuondolewa kwa rais.
Nani alijenga Ukraine kivipi?? 1930-1932 utawala wa Moscow uliua mamilioni Ukraine wakati wa Holodomor. Hii unaita kujenga?
Halafu - kama nchi ina mapinduzi je hii ni kazi ya nchi husika au kazi ya majirani? Tena baada ya mapinduzi ya Februari 2014 wananchi wa Ukraine walikuwa na uchaguzi huru kabisa mara mbili.
Ambayo si kweli kuhusu Urusi ambako Putin alidanganya.
 
😂😂😂😂 Unakili kweli Ndugu yangu?

Kifaru kimoja tu unavokiona ni Karibu na zaidi ya Billion 14 ya Tanzania na vingine ni Zaid hata mara 5.

Unaiona Ile Meli iliyozama?, Ni zaidi ya Billion 100 ya Tanzania...

Unaona yale makombora yote yanayotumika ni mamia ya mamilioni yanateketea Kila saa...

Zile Ndege zinazongushwa ni mamia ya Mabilioni ya fedha, Kila inarushwa kwenda Kufanya mashambulizi inatumia mamilioni ya Mafuta.

Mwaka 2014 jeshi la Tanzania lilitumia 20K kwa Kila Kuruta kwa Kila Siku ya Mungu, now fikiria mwaka 2022 Russia itatumia kiasi gani kwa Askari kamili?

Asilimia 40-60 ya gesi na Mafuta ya Urusi yanauzwa Ulaya ambayo inataka kuondokana na Utegemezi wake mwisho wa mwaka huu kwa zaidi ya 80%

India na China ndio watumiaji wengine wakubwa wa Fossil fuels lakini India anunua only less than 5% ya Mafuta ya Russia....

Please mkiwa mnatoa hoja muwege na some common senses, hakuna faida ya Kutumia pesa nyingi kupigana vita visivyo vya maana ukasema unapata Hasara ndogo uta recover...

Yaani una akili timamu Karne ya 21 unaenda kuvamia nchi unasema unaenda kuwalinda watu wanaongea Lugha Yako
Sikubaliani na lugha unayoitumia kwenye andiko lako la kuhoji akili ya mwenzako anapotoa au kuwasilisha hoja...unataka kutuaminisha kuwa kwa hoja yako wewe kwamba eti Russia imeingia Ukraine kuwalinda watu wanaoongea kirusi ndiyo kusema wewe una akili zaidi?! Russia imeingia Ukraine kwa sababu nyingi...mojawapo ni hiyo ya kuwalinda Warusi wa huko...lakini nyingine ni strategic kiulinzi kwa Russia....
Nchi za West zinaitumia Ukraine against Russia na Russia haiwezi kukubali...
 
Mimi sina knowledge ya masuala ya kivita. Ila nimepata elimu kubwa sana kwa kupitia mabandiko ya wajuvi wa haya mambo humu ndani.
Kuhusu hii vita kwa muono wangu naona yanayozungumzwa humu is like Russia nao wanahali ngumu. Ila kila nikisikiliza vyombo vya habari km Aljazeera inaonesh Uclain wanapata shida sana. Vifaa vita vinakuwa destroyed massively. Habari ya leo naona wanasema pamoja na kudestroy alot of missels wame destroy warships 2 za uclain na wamerusha makombora mandari huko Odesa.

View attachment 2216901
1. Russia ni taifa kubwa kuliko Ukraine, kiuchumi, kijeshi hata na kiushawishi.. so Russia by default anauwezo wa kuishambulia Ukraine kuliko yeye kushambuliwa.

2. Ukraine kwenye hii vita yeye amevamiwa, hajawahi kurusha hata jiwe Urusi, anachofanya yeye ni kujilinda na hataki kuwa chini ya ushawishi wa Russia na siasa zake.

3. Russia 24 Feb aliivamia Ukraine kwa kila njia unayoijua wewe kwenye vita na Putin akataka Askari wa Ukraine wajisarimishe na kuipindua serikali

4. Licha ya ugumu wote huu Ukraine ameweza kuilinda nchi yake, Russia alipeleka msafara wa vifaru km zaidi ya 64 lakini wote ulirudi nyuma, Leo ni karibu mwezi tangu Russia atangaze phase II lakini progress ni very sluggish , why Ukraine wasisifiwe kwa hili?
 
Ndugu kama huelewi unachonakili heri uombe msaada. Tabia ianyotafutwa katika roketi hizo ni uwezo wa kubadilisha njia (cruise missile) kwa kasi juu ya mach 5. Hii inaleta ugumu kwa mifumo ya kuzuia roketi kuzitambua mapema na kuziharibu.
Nukuu yako ya juu ni bure kwa mfano niliyoleta. Uharibifu wa 2 KT unaongezwa asilimia ngapi ukirusha bomu hilo kwa mach 5 au polepole?? Swali hili huwezi kujibu (sina uhakika kama unalielewa?).
ukitaka habari jaribu hapa: A matter of speed? Understanding hypersonic missile systems | SIPRI
 
Okey maelezo yako yako wazi na yanaeleweka sana, lakini kila unaponielewesha napata swali lingine:
Kama USA na West wameingia choo cha kike na mtego wao unawatafuna wenyewe, ni kwanini hawaachi kufanya wanachokifanya? Kwann wanaendelea kutoa msaada kwa Ukraine? Kwann hawasitishi vikwazo vyote walivyompa Urusi na kujipanga upya ili kusitisha madhara yanayowarudia? Kwa kawaida ukimpiga mtu na fimbo ya mkono halafu mkono wako ndio ukavunjika badala ya mkono wake, huwezi endelea kuupiga ule mkono. Utaacha kupiga na utajiuliza ni nn kimetokea?[emoji15]

Nikiri, sipo deep na haya masuala, natumia tu logic ya binadamu ambaye ana avarge IQ.
[emoji23][emoji23] Hatari...

Hapana Jamaa angu, na hatutegemei hata siku moja kuona "mtu mwenye jeuri" akikubali kushindwa. There's no way to defeat Russia in Ukraine, nao wanalijua hilo fika Lakin hawawezi kukubali kushindwa kamwe.

Jarib kuwatizama EU, Ona namna wanavotaka kufanya economical suicide kumkomoa Russia kisa Ukraine... Unaamini kweli ni kwasababu ya Ukraine ndio watake kwenda that far?

Duniani kote huwa tunaamini hakuna adui wala rafiki isipokuwa kwenye maslahi, na hii ndio hulka ya mwanadam. Sasa mie na wewe tuulizane kwanini wanataka kwenda this far katika mapigano yao na Russia?

Nchi za EU zinaongoza kwa Tax, na yote hii ni kwasabab nchi hizi hazina rasilimali za asili hivo pato kubwa la serikali linatoka kwa Raia wao. Mfano Denmark, France na Austria inaenda zaidi ya 50%... Na ni nchi tu kama Hungary, Czech na Estonia zenye lowest tax rate. Sizani kama na haja ya kukuelezea kodi ni nini.

Sasa angalia ukubwa wa hizo kodi kisha fikiria mfumuko wa bei za bidhaa unavowakamua Raia wa kawaida. Zote hizo ni outcomes za matendo ya viongozi wao kisha wanaisingizia Russia...

Katika kulielewa hilo chukulia mfano wa hapo TZ... bei za vitu zilivyopanda. Ongeza tozo za kila sampuli kisha piga hesab kwenye mshahara ule ule ambao haujaongezeka hata thumuni, 10k ya jana sio 10k ya leo.

Sasa huo Ugumu unaoufikiria ndio Ugumu unaowakumba Raia wa EU na Western kwa ujumla... na ni vitu ambavyo media inaficha haizungumzi. Na hawazungumzi kwasabab media zote kubwa zinafanya kazi za hawa walioko nyuma ya hizi "morons" tunaowaita viongozi.

Ni Raia hao wa nchi hizo wanayatamka pembeni, wanaugulia ila hawana jinsi. Viongozi wao hawapo kwa ajili yao wapo kwa ajili ya Master wao wanaemtumikia. So kushindwa ama kushinda kwao hawajali... What matters kwao ni kutengenza Crisis then through that Crisis wajanja wanatengeneza Pesa.

Kuna maandamano kila kukicha ila hayapewi headlines, hizi kauli za "Media are lying" hatuzitoi tandale... tunazitoa kwa Raia wa nchi hizo. Majuzi kati Huyo Papa wa Katoliki alinukuliwa akisema kua Harakati za NATO kwenye mipaka ya Russia ndio zimepelekea mzozo huo uliopo hivi sasa.

Hio taarifa haikupewa kipaumbele kabisa kwasabab haiwafurahishi wakubwa.

Kwa kifupi tu issue ya wao western kukiri kushindwa sizani kama kutatokea, wako ready ku'fight Russia to the last man Standing. Na wakishindwa Ukraine, watazua sehem nyingine na nyingine...

Na nirekebishe kauli vizuri... tatizo sio US bali hicho kikundi kilichopo nyuma ya serikali ya US ndio tatizo ulimwenguni. Binafs sio mdau sana wa hizi State Affiliated Media. Obviously ukijikita kwazo unakuwa much disinformed.

Ukitaka kuyaona ama kufaham mengi ya nje basi tengeneza Connection na watu wa kawaida tu kwenye maeneo unayotaka kujua habari zake ama fatilia yanayojiri ulimwengunki kwa waandishi wa habari wana harakati.
 
Back
Top Bottom