Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hata mimi na hofu sana. Kunahitajika umakini mkubwa sana. Hili nalo ni jaribio kwa Putin. Yasije kuwa kama yale ya Anwar Saadat wa misri. Alipigwa risasi na mmoja wa wanajeshi waliokuwa kwenye gwaride wakati akilikagua.

Kwa kawaida wakati wagwaride bunduki walizobeba zinakuwa hazina risasi. Ila yule askari aliyemuua Saadat aliweka risasi.

Putin kuwa makini muda huu. Dunia inakuhitaji.
Daaah kwakweli[emoji22][emoji22][emoji22]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Top news for the day:

- pensions will be automatically indexed by 8-9%, no action is required from the citizens themselves, said Svetlana Bessarab, a member of the State Duma Committee on Labor, Social Policy and Veterans Affairs;

- the seizure of Russian assets by the West is chaos and robbery in the best traditions of the Wild West, said Russia's permanent representative to the UN Vasily Nebenzya at a meeting of the organization's Security Council;

- The Russian Embassy in Washington called on the United States to destroy its chemical arsenal, following the example of Moscow.View attachment 2214001
Wacha wee
 
Ndani ya hizi siku 5, toka May 2 hadi Jana May 7 zimetua takribani ndege 100 za kivita zikishusha silaha hapo Poland kuingizwa Ukraine.

Lakini ajabu walioko front wanalalamika silaha hawana, Mmoja wapo ni yule Sniper Wali niliyemnukuu jana kwenye ile video yake...

Kwamba “There was a tank regiment behind the landing. My friend and I only had one Javelin. We were in position when a Russian tank hit us. I was confused for a while. When I came to, my friend was lying next to me. He had no legs, he was bleeding..." Note hapo kwenye Javelin... Hizo silaha zinaenda wapi?

Na kingine ambacho nilisahau kukisema jana kutoka kwenye hiyo Video ya wali, kuna jamaa aliyekuwa pembeni ake, I bet ni his Companion akawa anasema "it's mostly US Marines in our unit getting killed every day and the living US Marines primarily spend days cleaning up the dead."

Ukiiangalia hiyo kauli inatosha kabisa kujieleza kua Russia anapigana na nani Ukraine.

Duh yani 100 ndani ya siku 5, that's an avarage ya ndege vita 20 kwa siku zikitua na silaha. Na hawajawai kukomboa mji hata ule wa kusingizia. Na every day wanadai Russia is Advancing 🙌

Their economies are shrinking more n more kila siku, Yet these morons wanaendelea kutupa pesa zao into a black hole called Ukraine. Sizan hata kama wanajali kuhusu kushinda au kushindwa, zaidi ya kutengeneza pesa tu kwa hawa elites na hizi Military Complexes za US.

Na shida nayoihisi ni nani ataja lipa yote haya? Ukaine huyu anayedai deficit ya budget ya $7B kwa mwezi na $600B kurejesha kila kilichoharibiwa? Ha ha sure as fu*k is not gonna pay yote hayo 😪

The Globalist are pissed, their world domination has been stopped by Jembe Vladeeeeeeeeee Putin...

Zaidi ukitizama namna US na wenzao wanavoshiriki unaweza feel as if tupo kwenye Cold war nyingine. Na this round, I have a feeling that Russia will beat the West... Enzi zile Brezhnev alikuwa weak neither very smart kiviiile... This time they will have to deal with de 🐻, Wakati Putin plays chess while Dementia Joe huko can hardly play checkers...

Oh sh!t wait, Huyu Biden doesn't even remember what checkers are at this point... Serikali iko busy ku'middle in a meaningless war, at the same time hundreds of thousands ya wamarekani wako homeless na Millions kati yao wakiwa hawana health care.

Just imagine kama wangetumia hizo resources zote katika making America a beeter place huku wakiwaacha Russians na Ukrainians mend their problems by themselves?

Na mwisho kwanini tunamwona Putin yuko smart kuliko hiki kikosi cha waimba taarab wa No Action Talk Only? Ni hivi... Wakati Viongozi wao wakiwaambia ni wakati sasa wa kutoka ndani wazime Taa, mara wakitumia Kettels wasizijaze hadi juu...

Putin anawaambia haya watu hao kwa unyenyekevu... Sasa nani kichaa kati yao
View attachment 2216288

Pro puttin watakusifia ila naomba nikupe challange:

Mnaosapoti urusi mnakubali kuwa USA ni wazuri sana katika propaganda, na mm nasema mpo sahihi, sasa kama wote tunakubaliana kuwa USA ni wazuri kwa propaganda tunatakiwa pia tukubali kuwa sio kila tunalosikia ndilo linalofanyika.

Swali la kujiuliza ni, Ukraine bila USA na Washirika wake wangekuwa na upinzani kwa Urusi mpaka sasa?

Swali jingine ni, Urusi anasema nn kuhusu misaada kwa Ukraine kutoka USA na nchi washirika? Lina madhara kwake au halina madhara? Anafanya nini kuhusu hilo?
 
Hata Bawa la Nzi halitapata nafasi ya kusogea pale Ulinzi tulioweka Lile eneo sio wa kawaida ...Jameni Hii ni Urusi sio Zimbabwe....Pale tutatimba vizuri pasi na shaka na baadae tutaendelea kunywa Vodka na nyama ya farasi..Chezeyaaa Russia Wewe??
Hata Mimi Nina wasiwasi huenda kukatokea shambulio la kigaidi toka kwa wa Ukraine kwa ufadhiri wa
 
Usiku wa kuamkia leo, Russia imeichapa makombora melivita ya Ukraine karibu na mji wa Odesa, pia imezidungua ndegevita mbili za Ukraine za aina ya SU-24 pamoja na helikopta moja aina ya Mi-24.

Kwa ujumla ndani ya masaa 24 yaliyopita, jumla ya ndegevita nne za Ukraine, helikopta 4 za Ukraine, pamoja na melivita 1 vimeharibiwa.

====
SmartSelect_20220508-131020_Chrome.jpg
SmartSelect_20220508-131057_Chrome.jpg
SmartSelect_20220508-131205_Chrome.jpg
SmartSelect_20220508-131226_Chrome.jpg
 
Hata mimi na hofu sana. Kunahitajika umakini mkubwa sana. Hili nalo ni jaribio kwa Putin. Yasije kuwa kama yale ya Anwar Saadat wa misri. Alipigwa risasi na mmoja wa wanajeshi waliokuwa kwenye gwaride wakati akilikagua.

Kwa kawaida wakati wagwaride bunduki walizobeba zinakuwa hazina risasi. Ila yule askari aliyemuua Saadat aliweka risasi.

Putin kuwa makini muda huu. Dunia inakuhitaji.
Have you ever heard of an imposter?
The might Russian Federation can never do such a formidable mistake. Assessment can determine Putin or an imposter to attend the occasion.
Worry out
 
Kamanda (kiongozi anayeamuru na kutoa kamandi za kijeshi) wa kikosi cha Marine ktk jeshi la Ukraine Colonel Volodymyr Baraniuk pamoja na afisa mkuu wa kijeshi Colonel Dmytro Kormiankv wamedakwa na majeshi ya Russia walipokuwa viongozi hao wakitoroka toka kwenye kiwanda walipokuwa wamejificha kama panya huko Mariupol.

Aisee wanajeshi wa Russia wanajua kushambulia vizuri, yaani viongozi wa kijeshi wa Ukraine wanaishi kwa kujificha kwenye mahandaki kama panya buku au digidigi, halafu wakipata chansi wanakimbia uwanja wa vita na kuwaacha makuruta🤣😂🤣😆

Taarifa hizo za kukamatwa viongozi hao zimethibitishwa na chombo cha habari cha Ukraine, Pravda, baada ya kuwasiliana na wanajeshi wengine wa Ukraine waliojificha kama panya huko Mariupol.
========

Screenshot_20220508-133301_Chrome.jpg
Screenshot_20220508-133615_Chrome.jpg
Screenshot_20220508-133654_Chrome.jpg
 
Putin ni mtu mzuri sana, ni kiongozi wa kuigwa kwa dunia ya sasa, nyinyi hamumpendi kwa sababu mnasuport marekani ambao wao wanadamu za binaadamu wengi, wao ni chanzo cha migogoro yote duniani, sisi wenye akili tunawapongeza sana kwa kufyeka magaidi
taka taka tupu
 
Naona huujui mgogoro huu kwa undani,chanzo,sababu na haki za Urusi,
Ukraine kaingizwa choo Cha wanawake.
Nilikuambia vita hii Urusi kachokozwa na mchokozi ni Marekani tutakaa mwaka mzima hutanielewa.
Kuna vitu vingine huwezi elewa Hadi ujue historia.
Vizur
 
Kamanda (kiongozi anayeamuru na kutoa kamandi za kijeshi) wa kikosi cha Marine ktk jeshi la Ukraine Colonel Volodymyr Baraniuk pamoja na afisa mkuu wa kijeshi Colonel Dmytro Kormiankv wamedakwa na majeshi ya Russia walipokuwa viongozi hao wakitoroka toka kwenye kiwanda walipokuwa wamejificha kama panya huko Mariupol.

Aisee wanajeshi wa Russia wanajua kushambulia vizuri, yaani viongozi wa kijeshi wa Ukraine wanaishi kwa kujificha kwenye mahandaki kama panya buku au digidigi, halafu wakipata chansi wanakimbia uwanja wa vita na kuwaacha makuruta[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji38]

Taarifa hizo za kukamatwa viongozi hao zimethibitishwa na chombo cha habari cha Ukraine, Pravda, baada ya kuwasiliana na wanajeshi wengine wa Ukraine waliojificha kama panya huko Mariupol.
========

View attachment 2216674View attachment 2216675View attachment 2216676
Habari njema sana kwa kweli, sasa hao makuruta waliobaki humo wanasubiri nini kunyoosha mikono.
 
Pro Russia Kuna hazina ya analyst aisee.
Wewe jamaa hizi akili sio zako aisee.
Kwa kifupi Mimi vita hii ikiisha kwa nmna yoyote ntakua profesa kabisa ,maana sio kwa darasa hili.
Wewe jamaa hujaandika maoni Yako Bali unatufundisha bana.
Hizi ndo facts ninazozisema ambazo watu tunatakiwa tuwe nazo katika mijadala kama hii.
Haya ni maoni mazito sana.kwa kifupi Putin sio mtu Mzuri,kaamua TU kwa makusudi na ukorofi wake kuwavua Boxer Marais takrinan 40 wa "jumuiya ya kimataifa".
Dunia inashuhudia mambo ambayo haikutegemea kushuhudia.

Operation TU hivi,
Vipi Ingekua full scale war?

Rais wa taifa kubwa kabisa duniani anashauri watu wake wapande baiskeli kweli ili kupunguza gharama za mafuta.
Putin baba,acha "kuidhalilisha jumuiya ya kimataifa"
Putin nilisoma nae
 
Back
Top Bottom