Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Upupu
 
Its hard to see through Putin's brain
Wanasema wenyewe.

Ukifikiri atafanya hivi, yeye anafanya vile. Hatabiriki. Pure Chess mastermind.

Walichokitegemea atakitangaza leo atakuja kukitangaza siku ingine kbs wasioitegemea

Putin mwamba
 
Kumbe kushambulia nchi nyingine kwa mashambulizi ya anga sio uvamizi?

Kama Nato walikuwa na haki ya kuzihami kosovo iweze kujitenga ili kuondokana na unyanyasaji wa Serbia, basi na Urusi ina haki ya kuihami Dombas ili iondokane na uonevu wa Ukraine.
Kumbe huna jibu unakimbia kwenye mada tofauti. Pole. Ninaiona kama bendera yako nyeupe. Basi upumzike.
 
Wewe dogo sema kwanza bulombora ulikuwa op gani nikushushe umaarufu kwanza, unavimbisha fovu wakati huna uwezo wakuua hata pacha, ulivyo mjinga hujui social media ndio kama propaganda
machine, kwa mazingira ya sasa social media zinaonekana kuwa na nguvu kuliko hata vyombo rasmi vya habari, kama kuna critical thinkers humu basi wewe haumo ubongo wako uko framed na ujianga. Hujiulizi kwanini mitandao ya kijamii ilifungwa wakati wa uchaguzi, kwa ndugu zako urusi babu yako Putin kafunga mitandao ya kijamii ambayo ni rahisi mno kuoneza propaganda. Nimegundua una inferiority complex ulivyosema naishi kwa shemeji baada ya kukuchallange, unakalili sana ndio maana unahemka tu bila logic. Kuna source nyingi sana za kupata habari lakini taarifa za uwanja wa medani zina upotoshaji mwingi nyingi huwa ni za upande mmoja. Kuwa na heshima na kaka yako kama hujui mambo kuwa mpole ufundishwe
 
Hii ikoje mbona hata hapakani nayo na inaitwa kama nchi gani na zamani ilikuwa sehemu ya wap
Hiyokabla ya vita kuu vya pili vya dunia ilikuwa sehemu ya Ujeruman baada ya vita kuisha akaichukua,zamani wakati muungano wa Soviet upo manaake ilikuwa inafikika vizuri baada ya muungano kuvunjika manaake nchi za katikati zikajipatia uhuru na kufanya eneo hilo kuwa mbali na Urusi, mwanzo walikuwa wanaishi wajerumani lakini baadaye walupelekwa warusi wengi kuishi huko na sasa hivi ni eneo la kimkakati hasa kijeshi kwa vile liko ulaya
 

Jifunze kwanza uandishi una mihemuko sana. Critical thinker hana uandishi mbovu kama huu. Nilikuuliza simple tu nitajie Propaganda za Russia kwenye hii operation nipe na evidence umeishia kujambajamba unakuja na data/source za tiktok.

Kwa akili zako hizi halali kukuambia unakaa kwa shemeji au nyumbani manake mtu mzma anayejitambua hatumii hizo tiktok. Inaonesha wewe bado mtoto hujajitambua bado. Wewe ndo Mtu wa kwanza humu ndani kutuleta taarifa za kutoka tiktok[emoji28][emoji28]. Huon hata Pro NATO wenzako hawakupi like sababu unandika pumba. Msalimie shemeji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…